Matola Kocha Mkuu Simba
![](http://api.ning.com:80/files/NEC3sUsJox4LTkjAhfmIn0-*M1V8hWF9CWWuwKV-DLh7j8FKflEQk0WmEFVC8MTcdUw9OOTJ2eQgy0RMnUwUvnCMkjgt-1pi/matola.jpg?width=650)
Na Mwandishi Wetu SELEMANI Matola ataonja utamu wa kuwa Kocha Mkuu Simba kwa zaidi ya saa 96 baada mwenye nafasi hiyo kuridhia aitumikie. Kocha Mkuu, Zdravko Logarusic, amekubali Matola apewe nafasi hiyo kuanzia leo Jumatatu hadi Ijumaa asubuhi atakapowasili akitokea kwao Croatia. Chanzo kimesema hali hiyo inatokana na Logarusic kuchelewa kurejea nchini. “Kweli kocha katuambia atachelewa na nafasi ya ukocha mkuu apewa...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog13 Nov
Kocha msaidizi wa Simba SC, Selemani Matola aachana rasmi na klabu hiyo!
Kocha Seleman Matola
Na Rabi Hume
Kocha msaidizi wa klabu ya Simba SC, Selemani Matola ametangaza rasmi kuacha kufanya kazi na Simba kufuatia kutokuwepo kwa maelewano mazuri na kocha mkuu, Dyran Kerr.
Matola amesema kuwa kwa kipindi kirefu amekuwa hana maelewano mazuri na kocha huyo kwa kila jambo ambalo anamshauli kocha mkuu Kerr kuwa akikataa na hata muda mwingine kumtolea maneno ya dharau.
Aidha Matola amesema kuonyesha kuwa kocha huyo hakuwa...
11 years ago
Mwananchi15 Feb
Kocha Matola amponza kiongozi wa Mbeya City
9 years ago
StarTV02 Jan
Kocha Matola akiri kuwepo na ushindani. ligi dalaja la kwanza Â
Wakati ligi soka daraja la kwanza Taifa itaendelea Jumamosi hii kwenye miji mbalimbali,kocha mkuu wa timu ya Geita Gold Sports Suleiman Matola amekiri michuano hiyo si lele mama kutokana na kila timu kuonesha ushindani.
Mtaalamu huyo wa ufundi amebainisha pamoja na timu yake kuongoza kundi lao C wakiwa na pointi 17 lakini hawatofautiana sana kwa pointi na wapinzani wao kwenye kundi hilo.
Kocha Matola amesema michuano ya ligi daraja la kwanza ushindani wake umechochewa na timu nyingi...
9 years ago
StarTV26 Nov
Gerefa yaingia mkataba wa mwaka mmoja na kocha Suleiman Matola.
Hatimaye Chama Cha Mpira Mkoa wa Geita Gerefa kimeingia mkataba na Suleiman Matola kuwa kocha Mkuu wa Timu hiyo kwa lengo la kuhakikisha anainoa ipasavyo kwa lengo la kuhakikisha inapanda daraja ambapo kwa sasa timu ya Geita Gold Sports ipo katika ligi daraja la Kwanza Tanzania Bara.
Mwenyekiti wa Chamacha Gerefa Salum Kulunge amesema kocha Matola kwa uwezo alionao wa ufundishaji na mafanikia aliyonayo katika kuinua mchezo wa soka huku akiwaana leseni kubwa ya ufundishaji wa soka hapa...
10 years ago
Mwananchi31 Jan
Matola ajiuzulu ukocha Simba
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/p9piKYn1mVKQj4dz0IqAZbIMbdneiK1R50aGHOq4fy249mJbGHLMXfaE0g-I9Kh4sfRdzCzf9-3Z-6lRN8yCN5*byu9s5x5*/Untitled1.jpg)
Mkenya atua Simba SC, Matola out
9 years ago
Habarileo13 Nov
Matola abwaga manyanga Simba
HALI si shwari ndani ya timu ya soka ya Simba, baada ya jana Kocha Msaidizi Suleiman Matola kujiuzulu wadhifa huo. Matola, kiungo mahiri na nahodha wa zamani wa Simba na timu ya taifa ya Tanzania `Taifa Stars’, alisema jana jijini Dar es Salaam kuwa, amechukua uamuzi huo kutokana na kutokuwa na maelewano na Kocha Mkuu wake raia wa Uingereza, Dylan Kerr.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Dy9ynGgwNlSby1nVIIa6a0oQBmQL3fwXRlEMZYa6wijBtJ7PoeT-DiAUkHcFqZu0bdl7RQHAlwYS16Lc5EEin9vfsUXaQFu2/matola.jpg)
Matola, Pazi wachunguzwa Simba