Kocha msaidizi wa Simba SC, Selemani Matola aachana rasmi na klabu hiyo!
Kocha Seleman Matola
Na Rabi Hume
Kocha msaidizi wa klabu ya Simba SC, Selemani Matola ametangaza rasmi kuacha kufanya kazi na Simba kufuatia kutokuwepo kwa maelewano mazuri na kocha mkuu, Dyran Kerr.
Matola amesema kuwa kwa kipindi kirefu amekuwa hana maelewano mazuri na kocha huyo kwa kila jambo ambalo anamshauli kocha mkuu Kerr kuwa akikataa na hata muda mwingine kumtolea maneno ya dharau.
Aidha Matola amesema kuonyesha kuwa kocha huyo hakuwa...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/NEC3sUsJox4LTkjAhfmIn0-*M1V8hWF9CWWuwKV-DLh7j8FKflEQk0WmEFVC8MTcdUw9OOTJ2eQgy0RMnUwUvnCMkjgt-1pi/matola.jpg?width=650)
Matola Kocha Mkuu Simba
9 years ago
MillardAyo22 Dec
Baada ya headlines za bilionea wa 24 Afrika kutaka kuinunua klabu ya Simba, hii ndio kauli rasmi ya Simba …
Baada ya stori nyingi kuingia katika headlines kwa siku za hivi karibuni kuhusu uamuzi wa moja kati ya mabilionea wa Afrika kutaka kuinunua klabu ya Simba, mengi yameandikwa na mengi yameongewa, najua unahitaji kufahamu kuhusu stori za bilionea Mohamed Dewji ambaye maarufu kama MO kuweka bayana dhamira yake ya kutaka kuinunua Simba kupitia kipindi cha […]
The post Baada ya headlines za bilionea wa 24 Afrika kutaka kuinunua klabu ya Simba, hii ndio kauli rasmi ya Simba … appeared first on...
5 years ago
BBCSwahili17 Apr
Coronavirus: Klabu za ligi ya Premia zimeamua kwamba zitaendelea na ligi hiyo lakini hazikutoa tarehe rasmi
11 years ago
MichuziKITABU CHA "HISTORIA YA KLABU YA SIMBA"KILICHOANDIKWA NA MWINA KADUGUDA CHAZINDULIWA RASMI LEO
11 years ago
Dewji Blog17 Jul
Kitabu cha kwanza kinachoeleza Historia ya Klabu ya Simba tangu 1920 hadi sasa chazinduliwa rasmi na Mh. Nkamia
Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mheshimiwa Juma Nkamia akijiandaa kukata utepe ili kuweza kuzindua rasmi kitabu hicho cha Historia ya Simba,Wanaoshuhudia kulia ni Mtunzi wa Kitabu hicho Mwina Kaduguda akifuatiwa na Bwana Mkuki Bugoya Mkurugenzi wa Mkuki na Nyota ambao ndio wachapishaji wa kitabu hicho.
Mwina kaduguda Mtunzi wa Kitabu cha “HISTORIA YA SIMBA” akimkabidhi Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mheshimiwa Juma Nkamia...
11 years ago
Mwananchi15 Feb
Kocha Matola amponza kiongozi wa Mbeya City
9 years ago
StarTV26 Nov
Gerefa yaingia mkataba wa mwaka mmoja na kocha Suleiman Matola.
Hatimaye Chama Cha Mpira Mkoa wa Geita Gerefa kimeingia mkataba na Suleiman Matola kuwa kocha Mkuu wa Timu hiyo kwa lengo la kuhakikisha anainoa ipasavyo kwa lengo la kuhakikisha inapanda daraja ambapo kwa sasa timu ya Geita Gold Sports ipo katika ligi daraja la Kwanza Tanzania Bara.
Mwenyekiti wa Chamacha Gerefa Salum Kulunge amesema kocha Matola kwa uwezo alionao wa ufundishaji na mafanikia aliyonayo katika kuinua mchezo wa soka huku akiwaana leseni kubwa ya ufundishaji wa soka hapa...
9 years ago
StarTV02 Jan
Kocha Matola akiri kuwepo na ushindani. ligi dalaja la kwanza Â
Wakati ligi soka daraja la kwanza Taifa itaendelea Jumamosi hii kwenye miji mbalimbali,kocha mkuu wa timu ya Geita Gold Sports Suleiman Matola amekiri michuano hiyo si lele mama kutokana na kila timu kuonesha ushindani.
Mtaalamu huyo wa ufundi amebainisha pamoja na timu yake kuongoza kundi lao C wakiwa na pointi 17 lakini hawatofautiana sana kwa pointi na wapinzani wao kwenye kundi hilo.
Kocha Matola amesema michuano ya ligi daraja la kwanza ushindani wake umechochewa na timu nyingi...