Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kitabu cha kwanza kinachoeleza Historia ya Klabu ya Simba tangu 1920 hadi sasa chazinduliwa rasmi na Mh. Nkamia

A3 Poster - SIMBA (FR) Flat

unnamed (1)

Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mheshimiwa Juma Nkamia akijiandaa kukata utepe ili kuweza kuzindua rasmi kitabu hicho cha Historia ya Simba,Wanaoshuhudia kulia ni Mtunzi wa Kitabu hicho Mwina Kaduguda akifuatiwa na Bwana Mkuki Bugoya Mkurugenzi wa Mkuki na Nyota ambao ndio wachapishaji wa kitabu hicho.

unnamed (5)

Mwina kaduguda Mtunzi wa Kitabu cha “HISTORIA YA SIMBA” akimkabidhi  Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mheshimiwa Juma Nkamia...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

KITABU CHA KWANZA KINACHOELEZA KWA KINA HISTORIA YA KLABU YA SIMBA TANGU 1920 HADI SASA

                                                 Mwina Kaduguda

 

11 years ago

Michuzi

KITABU CHA "HISTORIA YA KLABU YA SIMBA"KILICHOANDIKWA NA MWINA KADUGUDA CHAZINDULIWA RASMI LEO

 Mwina Kaduguda Mtunzi wa kitabu cha "HISTORIA YA SIMBA" akielezea kwa kina Magumu gani amepitia wakati anaanza kuandaa kitabu hicho,Wa kwanza Kushoto ni Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mheshimiwa Juma Nkamia na Katikati ni Mkurugenzi wa Mkuki na Nyota Bwana Mkuki Bgoya ambao ndio wachapishaji wa kitabu hicho.Akielezea kwa ufupi Mwina Kaduguda amesema kwamba Dhumuni kubwa la Kutunga kitabu hicho ni kutaka kutunza historia ya soka ya Timu hiyo isipoteee ili...

 

11 years ago

GPL

NAIBU WAZIRI WA HABARI, VIJANA, NA MICHEZO AZINDUA RASMI KITABU CHA "HISTORIA YA KLABU YA SIMBA" KILICHOANDIKWA NA MWINA KADUGUDA‏

 Mwina Kaduguda Mtunzi wa kitabu cha "HISTORIA YA SIMBA" akielezea kwa kina Magumu gani amepitia wakati anaanza kuandaa kitabu hicho,Wa kwanza Kushoto ni Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mheshimiwa Juma Nkamia na Katikati ni Mkurugenzi wa Mkuki na Nyota Bwana Mkuki Bgoya ambao ndio wachapishaji wa kitabu hicho.Akielezea kwa ufupi Mwina Kaduguda amesema kwamba Dhumuni kubwa la Kutunga kitabu hicho...

 

11 years ago

Habarileo

Kitabu cha historia ya Karume chazinduliwa

WAZANZIBARI wameshauriwa kusoma vitabu ili kuifahamu historia ya Mwasisi wa Mapinduzi ya Zanzibar, hayati Abeid Amaan Karume ili kuepuka upotoshwaji, unaoweza kufanywa na watu wasioitakia mema Zanzibar. Mwito huo umetolewa na Mwandishi wa Habari Mwandamizi, Ali Shaaban wakati wa uzinduzi wa kitabu chake, kinachoelezea historia ya mwasisi huyo wa Zanzibar.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Nkamia kuzindua kitabu cha Simba

KITABU kilichosheheni historia ya Simba kuanzia mwaka 1920 hadi 2014, kinatarajiwa kuzinduliwa leo makao makuu ya klabu hiyo Mtaa wa Msimbazi, jijini Dar es Salaam. Kwa mujibu wa mwandishi wa...

 

5 years ago

Michuzi

KITABU CHA NIMEJITAKIA CHA MOHAMMED HAMMIE CHAZINDULIWA RASMI NCHINI

Hatimae kitabu cha NIMEJITAKIA kilichoandikwa na Mohammed Hammie kilichokuwa kikisubiriwa kwa hamu na wasomaji wa riwaya nchini Tanzania na Afrika Mashiriki kimetoka rasmi huku kikipokelewa kwa bashasha fasihini.

Akizungumza nasi mwandishi wa kitabu hicho Bwana Mohammed amesema kuwa tayari riwaya hiyo imeshaanza kusambazwa katika baadhi ya maeneo hapa nchini ambapo kwa mkoa wa Dar es salaam kinapatika katika duka la TPH Bookshop lililopo posta, duka la kona ya riwaya lililopo Moroko, pamoja...

 

10 years ago

Michuzi

JK MGENI RASMI UZINDUZI WA KITABU CHA HISTORIA YA NCHI “PHOTOGRAPHIC BOOK”

Mchapishaji wa Kitabu kipya chenye historia ya nchi tangu Muungano wa Tanganyika na Zanzibar mwaka 1964,Javed Jafferji (kulia) akizungumza na Waandishi wa Habari juu ya Uzinduzi wa Kitabu hicho   April 24 mwaka huu katika Hoteli ya Serena  jijini Dar es Salaam,Mhariri Mkuu wa Kitabu Simai Mohammed. Mhariri Mkuu wa Kitabu kipya chenye historia ya nchi tangu Muungano wa Tanganyika na Zanzibar mwaka 1964, Simai Mohammed  akizungumza na Waandishi wa Habari juu ya Uzinduzi wa Kitabu hicho April...

 

11 years ago

Michuzi

Balozi Seif Ali Iddi azindua rasmi kitabu cha Historia ya Vyombo vya Habari Zanzibar

 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akizindua rasmi kitabu cha Historia ya Vyombo vya Habari Zanzibar hapo katika ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Bweach Resort Mbweni nje kidogo ya mji wa Zanzibar. Anayemsaidia kufungua ni Katibu Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania { MCT } Kajubi Mukanjanga na kulia ya balozi ni Mkuu wa Mkoa Mjini Maghribi Mh. Abdulla Mwinyi.  Balozi Seif akinyanyua kopi ya vitabu viwili vinavyoelezea Historia ya Vyombo vya Hbari Tanzania kulia yake ...

 

10 years ago

Habarileo

Kitabu cha Lishe chazinduliwa

Naibu Waziri wa Jamii, Jinsia na Watoto, Dk Pindi ChanaTAASISI ya Bunge ya kushughulika na Usalama wa Chakula, Lishe na Haki za Watoto (PGNFSCR), wamezindua kitabu kinachosisitiza umuhimu wa Ilani za vyama vya siasa nchini, zitakazotumika kwenye uchaguzi mkuu mwaka huu, kuwa na vipengele vinavyozungumzia masuala ya chakula na lishe.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani