JK MGENI RASMI UZINDUZI WA KITABU CHA HISTORIA YA NCHI “PHOTOGRAPHIC BOOK”
Mchapishaji wa Kitabu kipya chenye historia ya nchi tangu Muungano wa Tanganyika na Zanzibar mwaka 1964,Javed Jafferji (kulia) akizungumza na Waandishi wa Habari juu ya Uzinduzi wa Kitabu hicho April 24 mwaka huu katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam,Mhariri Mkuu wa Kitabu Simai Mohammed.
Mhariri Mkuu wa Kitabu kipya chenye historia ya nchi tangu Muungano wa Tanganyika na Zanzibar mwaka 1964, Simai Mohammed akizungumza na Waandishi wa Habari juu ya Uzinduzi wa Kitabu hicho April...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziKITABU CHA "HISTORIA YA KLABU YA SIMBA"KILICHOANDIKWA NA MWINA KADUGUDA CHAZINDULIWA RASMI LEO
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-j4oBJ0lieMw/U6KwhrwkfQI/AAAAAAAFroY/YNy9LjaPxik/s72-c/unnamed+(5).jpg)
Balozi Seif Ali Iddi azindua rasmi kitabu cha Historia ya Vyombo vya Habari Zanzibar
![](http://1.bp.blogspot.com/-j4oBJ0lieMw/U6KwhrwkfQI/AAAAAAAFroY/YNy9LjaPxik/s1600/unnamed+(5).jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-HPEzHAqJ-DE/U6KwhvziseI/AAAAAAAFroM/_vAqHiPOdpQ/s1600/unnamed+(6).jpg)
11 years ago
Dewji Blog17 Jul
Kitabu cha kwanza kinachoeleza Historia ya Klabu ya Simba tangu 1920 hadi sasa chazinduliwa rasmi na Mh. Nkamia
Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mheshimiwa Juma Nkamia akijiandaa kukata utepe ili kuweza kuzindua rasmi kitabu hicho cha Historia ya Simba,Wanaoshuhudia kulia ni Mtunzi wa Kitabu hicho Mwina Kaduguda akifuatiwa na Bwana Mkuki Bugoya Mkurugenzi wa Mkuki na Nyota ambao ndio wachapishaji wa kitabu hicho.
Mwina kaduguda Mtunzi wa Kitabu cha “HISTORIA YA SIMBA” akimkabidhi Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mheshimiwa Juma Nkamia...
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-rLVISgdqld0/VkLphBPskfI/AAAAAAADCG0/SJgF1_06ams/s72-c/MAKONDA.jpg)
PAUL MAKONDA KUWA MGENI RASMI UZINDUZI WA CHAMA CHA WAPISHI WA KEKI NCHINI
![](http://4.bp.blogspot.com/-rLVISgdqld0/VkLphBPskfI/AAAAAAADCG0/SJgF1_06ams/s400/MAKONDA.jpg)
Akizungumza na waandishi wa habari jijini DSM, mwenyekiti wa muda wa umoja huo PHILIP MBONDE amesema umoja huo utaweza kuwaunganisha wapishi wa keki na wanaojishughulisha na biashara ya cake nchini na kuweza kujumuika pamoja katika majukumu mbali mbali.
“ Hili ni jambo jipya hapa nchini, wapo wajasiriamali...
11 years ago
GPLNAIBU WAZIRI WA HABARI, VIJANA, NA MICHEZO AZINDUA RASMI KITABU CHA "HISTORIA YA KLABU YA SIMBA" KILICHOANDIKWA NA MWINA KADUGUDA
9 years ago
VijimamboKATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI MGENI RASMI KATIKA MAHAFALI YA KIDATO CHA NNE SHULE YA SEKONDARI BWAWANI
Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Bw. Mbarak Abdulwakil(pichani) kesho Oktoba 16, 2015 anatarajia kuwa Mgeni rasmi kwenye sherehe za Mahafali ya kumi na mbili ya Kidato cha Nne katika Shule ya Sekondari ya Bwawani iliyopo Mkoa wa Pwani.
Kwa mujibu wa Taarifa kwa Vyombo vya Habari iliyotolewa leo Jijini Dar es Salaam na kusainiwa na Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, John Casmir Minja inasema jumla ya Wanafunzi 95 wa Shule hiyo wanatarajia...
10 years ago
Habarileo06 Mar
Kikwete mgeni rasmi uzinduzi wa studio ya Azam Tv
RAIS Jakaya Kikwete leo atakuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa studio ya kisasa ya Azam Tv itakayojulikana kama Uhai Production iliyopo eneo la Tabata kando ya barabara ya Mandela.
11 years ago
Habarileo16 Jan
Kitabu cha historia ya Karume chazinduliwa
WAZANZIBARI wameshauriwa kusoma vitabu ili kuifahamu historia ya Mwasisi wa Mapinduzi ya Zanzibar, hayati Abeid Amaan Karume ili kuepuka upotoshwaji, unaoweza kufanywa na watu wasioitakia mema Zanzibar. Mwito huo umetolewa na Mwandishi wa Habari Mwandamizi, Ali Shaaban wakati wa uzinduzi wa kitabu chake, kinachoelezea historia ya mwasisi huyo wa Zanzibar.
10 years ago
MichuziMH. PINDA KUWA MGENI RASMI UZINDUZI WA JUKWAA LA KILIMO