MH. PINDA KUWA MGENI RASMI UZINDUZI WA JUKWAA LA KILIMO
Katibu Mtendaji Katibu Mtendaji wa Taasisi isiyo ya kiserikali inayojihusisha na masuala ya kilimo (Ansaf), Audax Rukonge akifafanua jambo wakati wa mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, kuhusu uzinduzi wa Jukwaa la Wadau watakaoangalia mazao ya mikunde na nafaka litakalofanyika Agosti 20 jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Ofisa Masoko wa Taasisi ya Rudi, Sebastian Sambuo na Ofisa Programu wa Women & Youth Development Foundation, Luke Daniel Kifyasi.
Ofisa Masoko wa Taasisi ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog27 Nov
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kuwa mgeni rasmi kwenye uzinduzi wa albamu ‘Usilie’ Desemba 7, 2014
Mkurugenzi wa kwaya ya ‘Family Singers’ Daniel Misheto (kulia). Picha zote na Cathbert Kajuna wa Kajunason Blog.
Na Mwandishi Wetu.
WAZIRI MKUU, Mizengo Pinda ametajwa kuwa mgeni rasmi kwenye uzinduzi wa albamu ‘Usilie’ ambayo itapatikana kwenye DVD Desemba 7, mwaka huu.
Akizungumza Dar es Salaam jana kwenye mkutano na waandishi wa habari, Mkurugenzi wa kwaya ya ‘Family Singers’ Daniel Misheto, alisema hafla hiyo itafanyika kwenye Ukumbi wa PTA uliopo Uwanja wa Sabasaba, Dar es...
10 years ago
MichuziRAIS MSTAAFU,MKAPA KUWA MGENI RASMI KATIKA UZINDUZI WA FILAMU “HAMU YA MAFANIKIO”
9 years ago
Michuzi
PAUL MAKONDA KUWA MGENI RASMI UZINDUZI WA CHAMA CHA WAPISHI WA KEKI NCHINI

Akizungumza na waandishi wa habari jijini DSM, mwenyekiti wa muda wa umoja huo PHILIP MBONDE amesema umoja huo utaweza kuwaunganisha wapishi wa keki na wanaojishughulisha na biashara ya cake nchini na kuweza kujumuika pamoja katika majukumu mbali mbali.
“ Hili ni jambo jipya hapa nchini, wapo wajasiriamali...
11 years ago
Michuzi
Wakazi wa Mtwara na Lindi kushuhudia fursa za Utalii na Uchumi kupitia Tamasha la Utamaduni la Mtwara,Waziri mkuu pinda kuwa mgeni rasmi.

Waziri Mkuu Mizengo Pinda.
Tamasha la Mkoa wa Mtwara, ‘Mtwara Festival’, linatarajia kufungua milango ya fursa kwa wakazi wa mikoa ya Mtwara na Lindi katika kuziona fursa kadhaa kwenye sekta ya Utalii na Uchumi.Tamasha hilo linatarajiwa kufanyika kwa siku mbili kuanzia mwezi Agosti 16 na 17 mwaka huu kwenye uwanja wa Nangwanda Sijaona ulipo Mtwara mjini. Mgeni rasmi katika Tamasha hilo anatarajiwa kuwa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda huku likiwa na kauli mbiu isemayo ‘Fursa Zimefunguka,...
10 years ago
Habarileo06 Mar
Kikwete mgeni rasmi uzinduzi wa studio ya Azam Tv
RAIS Jakaya Kikwete leo atakuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa studio ya kisasa ya Azam Tv itakayojulikana kama Uhai Production iliyopo eneo la Tabata kando ya barabara ya Mandela.
11 years ago
Michuzi.jpg)
DKT BILAL MGENI RASMI UZINDUZI WA MBIO ZA MWENGE WA UHURU
.jpg)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Gharib Bilal, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru 2014, katika uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba, mkoani Kagera Mei tarehe 2. Hayo yamesemwa leo na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dkt. Fenella Mukangara wakati akiongea na Waandishi wa Habari Mjini Bukoba kuhusu Mbio hizo.
Mwenge huo utakaobeba ujumbe usemao “Katiba ni Sheria Kuu ya...
10 years ago
MichuziJK MGENI RASMI UZINDUZI WA KITABU CHA HISTORIA YA NCHI “PHOTOGRAPHIC BOOK”
10 years ago
Michuzi
MEMBE MGENI RASMI UZINDUZI WA MAADHIMISHO YA WIKI YA UKOMBOZI BARANI AFRIKA.

Na Avila Kakingo, Globu ya Jamii.
WAZIRI wa Mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa Mh.Bernard Membe anatarajiwa kuwa mgeni...
10 years ago
GPLUZINDUZI WA BONGO STAR SEARCH 2015 “JUKWAA LAKO- KUWA ORIGINAL”