Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kuwa mgeni rasmi kwenye uzinduzi wa albamu ‘Usilie’ Desemba 7, 2014

IMG_2621

Mkurugenzi wa kwaya ya ‘Family Singers’ Daniel Misheto (kulia). Picha zote na Cathbert Kajuna wa Kajunason Blog.

Na Mwandishi Wetu.

WAZIRI MKUU, Mizengo Pinda ametajwa kuwa mgeni rasmi kwenye uzinduzi wa albamu ‘Usilie’ ambayo itapatikana kwenye DVD Desemba 7, mwaka huu.

Akizungumza Dar es Salaam jana kwenye mkutano na waandishi wa habari, Mkurugenzi wa kwaya ya ‘Family Singers’ Daniel Misheto, alisema hafla hiyo itafanyika kwenye Ukumbi wa PTA uliopo Uwanja wa Sabasaba, Dar es...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MH. PINDA KUWA MGENI RASMI UZINDUZI WA JUKWAA LA KILIMO

Katibu Mtendaji Katibu Mtendaji wa Taasisi isiyo ya kiserikali inayojihusisha na masuala ya kilimo (Ansaf), Audax Rukonge akifafanua jambo wakati wa mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, kuhusu uzinduzi wa  Jukwaa la Wadau watakaoangalia mazao ya mikunde na nafaka litakalofanyika Agosti 20 jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Ofisa Masoko wa Taasisi ya Rudi, Sebastian Sambuo na Ofisa Programu wa Women & Youth Development Foundation, Luke Daniel Kifyasi.Ofisa Masoko wa Taasisi ya...

 

11 years ago

Michuzi

Wakazi wa Mtwara na Lindi kushuhudia fursa za Utalii na Uchumi kupitia Tamasha la Utamaduni la Mtwara,Waziri mkuu pinda kuwa mgeni rasmi.

 
Waziri Mkuu Mizengo Pinda.
Tamasha la Mkoa wa Mtwara, ‘Mtwara Festival’, linatarajia kufungua milango ya fursa kwa wakazi wa mikoa ya Mtwara na Lindi katika kuziona fursa kadhaa kwenye sekta ya Utalii na Uchumi.Tamasha hilo linatarajiwa kufanyika kwa siku mbili kuanzia mwezi Agosti 16 na 17 mwaka huu kwenye uwanja wa Nangwanda Sijaona  ulipo Mtwara mjini. Mgeni rasmi katika Tamasha hilo anatarajiwa kuwa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda huku likiwa na kauli mbiu isemayo ‘Fursa Zimefunguka,...

 

10 years ago

Michuzi

Waziri Mkuu kuwa mgeni rasmi mashindano ya Kimataifa ya Wushu

Na Daud Manongi, WHVUM
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mizengo Pinda anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa mashindano ya Kimataifa ya mchezo wa Wushu (Kung fu) yatakayofanyika hapa nchi kuanzia tarehe 30 hadi 31 katika viwanja vya Mnazi Mmoja.
Hayo yamebainishwa na Rais wa Chama cha Mchezo wa Wushu nchini Mwalami Mitete alipokuwa akiongea na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam.
Katika taarifa yake Mwalami alisema kuwa mashindano hayo yatajumuisha...

 

10 years ago

Michuzi

Waziri Mkuu Pinda mgeni rasmi mechi ya viongozi wa dini jijini dar leo.

 Waziri Mkuu Mizengo Pinda akikabidhi Kombe kwa kiongozi wa timu ya Mshikamano,ambapo timu hiyo imenyukwa goli moja dhidi ya timu ya Amani,mchezo huo wenye lengo la kuimarisha na kudumuisha amani na mshikamano tulionao umefanyika katika Uwanja wa Taifa,jijini Dar na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa dini na serikaliWaziri Mkuu Mh.Mizengo Pinda akikabidhi Kombe kwa kiongozi wa timu ya Amani,ambayo imeibuka kinara katika mashindano hayo kwa kuichapa timu ya Mshikamano goli moja.Mchezo huo...

 

11 years ago

Michuzi

Waziri Mkuu Pinda mgeni rasmi mkutano wa mashauriano ya awamu ya kwanza uwekezaji DART leo

Waziri Mkuu Mizengo Pinda anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika mkutano wa mashauriano ya  uwekezaji wa awamu ya kwanza ya Mradi wa Mabasi yaendayo Haraka (DART) unaoanza leo.
Mkutano huo wa siku mbili unawakutanisha wawekezaji mbalimbali wa ndani na nje kwenye kituo cha mikutano Mlimani City, jijini Dar es Salaam.
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Mabasi yaendayo haraka Dar es salaam (DART), Bi. Asteria Mlambo, amewaambia waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam kuwa mkutano huo wa...

 

9 years ago

Dewji Blog

Waziri Mkuu Mizengo Pinda afungua rasmi mafunzo ya Uongozi daraja la kwanza Chuo cha Magereza Kiwira,Mbeya

unnamed (17)Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mizengo Peter  Pinda(katikati) akipokea Salaam kutoka kwa Gwaride lililoandaliwa na Wahitimu wa Mafunzo ya Uongozi Daraja la Kwanza kwa Askari wa Jeshi la Magereza(hawapo pichani). Kushoto ni Kamishna Jenerali wa Magereza, John Casmir Minja(kulia) ni Mkuu wa Chuo cha Magereza Kiwira, SACP. Stanford Ntirundura.

unnamed (18)Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Peter Pinda akikagua Gwaride rasmi lililoandaliwa na Wahitimu wa Mafunzo ya Uongozi wa Daraja la kwanza...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani