Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA MGENI RASMI KATIKA BARAZA LA EID EL FITR 2014

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kuwa mgeni rasmi kwenye uzinduzi wa albamu ‘Usilie’ Desemba 7, 2014

IMG_2621

Mkurugenzi wa kwaya ya ‘Family Singers’ Daniel Misheto (kulia). Picha zote na Cathbert Kajuna wa Kajunason Blog.

Na Mwandishi Wetu.

WAZIRI MKUU, Mizengo Pinda ametajwa kuwa mgeni rasmi kwenye uzinduzi wa albamu ‘Usilie’ ambayo itapatikana kwenye DVD Desemba 7, mwaka huu.

Akizungumza Dar es Salaam jana kwenye mkutano na waandishi wa habari, Mkurugenzi wa kwaya ya ‘Family Singers’ Daniel Misheto, alisema hafla hiyo itafanyika kwenye Ukumbi wa PTA uliopo Uwanja wa Sabasaba, Dar es...

 

11 years ago

Dewji Blog

Waziri Mkuu mgeni rasmi Baraza la Eid- ElL-Fitri

pind02

Na Hassan Silayo-MAELEZO

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Mizengo Pinda (pichani) anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Baraza la Eid- ElL-Fitri.

Kwa mujibu wa Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu wa Baraza Kuu la Waislam Tanzania (BAKWATA) Suleiman Lolila baraza hilo litafanyika katika viwanja vya Karimjee kuanzia saa kumi kamili alasiri.

Aidha taarifa hiyo imesema kuwa Sikukuu ya Eid-EL-Fitri inatarajiwa kuwa tarehe 28 au 29 julai 2014 kulingana na mwandamo wa mwezi.

Sikukuu...

 

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI MKUU MHE. MIZENGO PINDA AKUTANA NA MAKAMU MWENYEKITI WA BARAZA LA BAISHARA LA CHINA NA AFRIKA

MZ1 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Biashara la China na Afrika ( Vice Chairman of China Africa Business Council, Bw. Huarong Zhang kabla ya mazungumzo yao Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam,Aprili 21, 2015.Katikati ni Mkurugenzi Mkuu wa Kituo cha Tanzania – China Promotion Centre, Bw. Xian Ding. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)MZ01 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Biashara la China na Afrika ( Vice...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA KATIKA ZIARA YA KIKAZI DUBAI

 Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda akizungumza na Kaimu Mkurugenzi  Mtendaji wa Bodi ya Utalii nchini, Bi. Devotha Mdachi (kushoto) na Mwenyekiti wa Kampuni ya Nakheel PSSC ya Dubai, Bw, Ali Lootan wakizungumza katika Mkutano wa Kuitangaza Tanzania na kuvutia wawekezaji wa Dubai  uliofunguliwa na Waziri Mkuu mjini Dubai leo Waziri Mkuu Mhe.  Mizengo Pinda akiongozwa na Meneja Mkuu wa Shamba la kufuga ng'ombe wa maziwa la Al Rawabi Dairy la Dubai, Dr. Ahmed Al Mansour (kulia kwake) kukagua shamba...

 

10 years ago

Michuzi

Waziri Mkuu Pinda mgeni rasmi mechi ya viongozi wa dini jijini dar leo.

 Waziri Mkuu Mizengo Pinda akikabidhi Kombe kwa kiongozi wa timu ya Mshikamano,ambapo timu hiyo imenyukwa goli moja dhidi ya timu ya Amani,mchezo huo wenye lengo la kuimarisha na kudumuisha amani na mshikamano tulionao umefanyika katika Uwanja wa Taifa,jijini Dar na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa dini na serikaliWaziri Mkuu Mh.Mizengo Pinda akikabidhi Kombe kwa kiongozi wa timu ya Amani,ambayo imeibuka kinara katika mashindano hayo kwa kuichapa timu ya Mshikamano goli moja.Mchezo huo...

 

11 years ago

Michuzi

Waziri Mkuu Pinda mgeni rasmi mkutano wa mashauriano ya awamu ya kwanza uwekezaji DART leo

Waziri Mkuu Mizengo Pinda anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika mkutano wa mashauriano ya  uwekezaji wa awamu ya kwanza ya Mradi wa Mabasi yaendayo Haraka (DART) unaoanza leo.
Mkutano huo wa siku mbili unawakutanisha wawekezaji mbalimbali wa ndani na nje kwenye kituo cha mikutano Mlimani City, jijini Dar es Salaam.
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Mabasi yaendayo haraka Dar es salaam (DART), Bi. Asteria Mlambo, amewaambia waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam kuwa mkutano huo wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani