Waziri Mkuu mgeni rasmi Baraza la Eid- ElL-Fitri
Na Hassan Silayo-MAELEZO
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Mizengo Pinda (pichani) anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Baraza la Eid- ElL-Fitri.
Kwa mujibu wa Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu wa Baraza Kuu la Waislam Tanzania (BAKWATA) Suleiman Lolila baraza hilo litafanyika katika viwanja vya Karimjee kuanzia saa kumi kamili alasiri.
Aidha taarifa hiyo imesema kuwa Sikukuu ya Eid-EL-Fitri inatarajiwa kuwa tarehe 28 au 29 julai 2014 kulingana na mwandamo wa mwezi.
Sikukuu...
Dewji Blog
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania