Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA KATIKA ZIARA YA KIKAZI DUBAI

 Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda akizungumza na Kaimu Mkurugenzi  Mtendaji wa Bodi ya Utalii nchini, Bi. Devotha Mdachi (kushoto) na Mwenyekiti wa Kampuni ya Nakheel PSSC ya Dubai, Bw, Ali Lootan wakizungumza katika Mkutano wa Kuitangaza Tanzania na kuvutia wawekezaji wa Dubai  uliofunguliwa na Waziri Mkuu mjini Dubai leo Waziri Mkuu Mhe.  Mizengo Pinda akiongozwa na Meneja Mkuu wa Shamba la kufuga ng'ombe wa maziwa la Al Rawabi Dairy la Dubai, Dr. Ahmed Al Mansour (kulia kwake) kukagua shamba...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Waziri Mkuu Mizengo Pinda awasili Qatar kwa ziara ya kikazi

WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amesema Watanzania watanufaika na kipato na maarifa ya teknolojia ya kisasa kutokana na ajira ambazo watapata katika nchi ya Qatar baada ya mkataba kusainiwa hivi karibuni.  Ametoa kauli hiyo leo mchana (Jumapili, Desemba 20, 2014) jijini Doha, Qatar wakati akizumgumza na waandishi wa habari ili kuwapa taarifa fupi juu ya mambo yaliyojiri kwenye mazungumzo yake na Waziri Mkuu wa Qatar, Sheikh Abdulla Nasser Al Thani.  Katika mazungumzo hayo ambayo yalifanyika...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU PINDA AWASILI OMAN KWA ZIARA YA KIKAZI

  Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua gwaride baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Muscut wa Royal  Airport kwa ziara ya kikazi ya siku mbili nchini Oman Oktoba 27, 2014. Kushoto ni Naibu Waziri Mkuu wa Oman Mheshimiwa Sayyid Fahad Mahmoud Al Said.  Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akiongozana na Naibu Waziri Mkuu wa Oman,  Mheshimiwa Sayyid Fahad Mahmoud Al Said  (kushoto kwake) baada  ya kuwasili kwenye  uwanja wa ndege wa  Kimataifa wa  Muscut wa Royal Airport kwa ziara ya...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AANZA ZIARA YA MKOA WA MBEYA

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitazama mafunzo kwa vitendo yaliyokuwa yakifanywa na wanafunzi wa kidato cha kwanza katika Shule ya Sekondari ya Igomelo wilayani Mbarari akiwa katika siku ya kwanza ya ziara ya kikazi mkoani Mbeya Februari 24, 2015. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

 

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI MKUU MHE. MIZENGO PINDA AFANYA ZIARA POLLAND

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Watanzania waishio Polland baada ya kuwasili jijini Warsaw kwa ziara ya kikazi Oktoba 24, 2014.Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wajumbe wa Chama cha Wafanyabiashara cha Polland jijini Warsaw akiwa katika ziara ya kikazi nchini humo Oktoba 24, 2014.Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Wajumbe wa Chama cha Wafanyabiashara cha Polland jijini Warsaw akiwa katika ziara ya kikazi nchini humo Oktoba 24, 2014. Wengine Pichani kutoka kushoto ni...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU,MIZENGO PINDA AHITIMISHA ZIARA YAKE NCHINI JAPAN

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na ujumbe wake wakizungumza na Viongozi wa kampuni ya Japan ya kuengeneza vifaa vya mawasiliano ya simu ya NEC ambayo inashirikiana na Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) katika suala la ufundi na vifaa, wakati alipotembelea Ofisi za Kampuni hiyo jijini Tokyo Machi 18, 2015. Kulia kwake ni Mwenyekiti wa Bodi ya NEC Kaono Yono.Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimkabidhi zawadi ya kinyago Mwenyekiti wa Bodi ya Kampuni ya kutengeneza vifaa vya mawasiliano ya simu, Kaono...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU,MIZENGO PINDA ZIARANI KATIKA JIMBO LA ISIMANI NA KALENGA MKOANI IRINGA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na wauguzi wa Kituo cha Afya cha Mlowa katika jimbo la Ismani kabla ya kuzindua kituo hicho akiwa katika ziara ya mkoa wa Iringa Februari 19, 2015.Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipima mapigo ya moyo ikiwa ni ishara ya kuzindua kituo cha afya cha Mlowa katika jimbo la Isimani akiwa katika ziara ya mkoa wa Iringa Februari 19, 2015.Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimjulia hali mmoja wa wagonjwa waliolazwa kwenye kituo cha afya cha Mlowa katika jimbo la Isimani...

 

10 years ago

GPL

WAZIRI MKUU, MIZENGO PINDA ZIARANI KATIKA JIMBO LA ISIMANI NA KALENGA MKOANI IRINGA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na wauguzi wa Kituo cha Afya cha Mlowa katika jimbo la Ismani kabla ya kuzindua kituo hicho akiwa katika ziara ya mkoa wa Iringa Februari 19, 2015. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipima mapigo ya moyo ikiwa ni ishara ya kuzindua kituo cha afya cha Mlowa katika jimbo la Isimani akiwa katika ziara ya mkoa wa Iringa Februari 19,… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani