WAZIRI MKUU, MIZENGO PINDA ZIARANI KATIKA JIMBO LA ISIMANI NA KALENGA MKOANI IRINGA
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na wauguzi wa Kituo cha Afya cha Mlowa katika jimbo la Ismani kabla ya kuzindua kituo hicho akiwa katika ziara ya mkoa wa Iringa Februari 19, 2015. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipima mapigo ya moyo ikiwa ni ishara ya kuzindua kituo cha afya cha Mlowa katika jimbo la Isimani akiwa katika ziara ya mkoa wa Iringa Februari 19,… ...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziWAZIRI MKUU,MIZENGO PINDA ZIARANI KATIKA JIMBO LA ISIMANI NA KALENGA MKOANI IRINGA
10 years ago
Dewji Blog20 Feb
Ziara ya Pinda katika jimbo la Isimani na Kalenga mkoani Iringa
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na wauguzi wa Kituo cha Afya cha Mlowa katika jimbo la Ismani kabla ya kuzindua kituo hicho akiwa katika ziara ya mkoa wa Iringa Februari 19, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipima mapigo ya moyo ikiwa ni ishara ya kuzindua kituo cha afya cha Mlowa katika jimbo la Isimani akiwa katika ziara ya mkoa wa Iringa Februari 19, 2015.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizindua nyumba za walimu katika shule ya sekondari...
11 years ago
GPLMSAFARA WA MGOMBEA UBUNGE WA CHADEMA KATIKA JIMBO LA KALENGA AZUIWA NA POLISI MKOANI IRINGA
10 years ago
Vijimambo24 Apr
WAZIRI MKUU MHE MIZENGO PINDA AWASILI MKOANI DODOMA
10 years ago
MichuziWAZIRI MKUU MIZENGO PINDA KATIKA ZIARA YA KIKAZI DUBAI
9 years ago
StarTV28 Nov
Ofisi za Waziri Mkuu, Mkuu wa Mkoa zagongana kuhusu baa la njaa isimani iringa
Siku chache baada ya Star Tv kuripoti taarifa ya baa la njaa linalotishia maisha ya watu karibu ya 70,000 wa tarafa ya Isimani mkoani Iringa, ofisi mbili za Serikali zimegongana juu ya jambo hilo.
Wakati Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Iringa imekilaumu kitengo cha Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu kwa kutotoa ushirikiano wa kutosha hadi watu kufikia hatua ya kula matunda pori kama chakula chao kikuu, kitengo hicho kimekanusha madai hayo kwa maelezo kuwa kuna utaratibu wa kutoa chakula cha msaada na...
11 years ago
MichuziWAZIRI MKUU,MIZENGO PINDA AFUNGUA SEMINA YA JUMUIYA WAZAZI NGAZI YA TAIFA,MKOANI DODOMA LEO