Wakazi wa Mtwara na Lindi kushuhudia fursa za Utalii na Uchumi kupitia Tamasha la Utamaduni la Mtwara,Waziri mkuu pinda kuwa mgeni rasmi.
![](http://1.bp.blogspot.com/-4zse40b1aWM/U77l1lCQH6I/AAAAAAAF0nA/m0rKPRSjI0k/s72-c/pinda1504.jpg)
Waziri Mkuu Mizengo Pinda.
Tamasha la Mkoa wa Mtwara, ‘Mtwara Festival’, linatarajia kufungua milango ya fursa kwa wakazi wa mikoa ya Mtwara na Lindi katika kuziona fursa kadhaa kwenye sekta ya Utalii na Uchumi.Tamasha hilo linatarajiwa kufanyika kwa siku mbili kuanzia mwezi Agosti 16 na 17 mwaka huu kwenye uwanja wa Nangwanda Sijaona ulipo Mtwara mjini. Mgeni rasmi katika Tamasha hilo anatarajiwa kuwa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda huku likiwa na kauli mbiu isemayo ‘Fursa Zimefunguka,...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-JGQ-0v-byNA/U9m46j9RjgI/AAAAAAAF77E/vt_zexNjG28/s72-c/unnamed+(9).jpg)
Pinda Mgeni Rasmi Mtwara Festival 2014
![](http://1.bp.blogspot.com/-JGQ-0v-byNA/U9m46j9RjgI/AAAAAAAF77E/vt_zexNjG28/s1600/unnamed+(9).jpg)
10 years ago
Dewji Blog27 Nov
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kuwa mgeni rasmi kwenye uzinduzi wa albamu ‘Usilie’ Desemba 7, 2014
Mkurugenzi wa kwaya ya ‘Family Singers’ Daniel Misheto (kulia). Picha zote na Cathbert Kajuna wa Kajunason Blog.
Na Mwandishi Wetu.
WAZIRI MKUU, Mizengo Pinda ametajwa kuwa mgeni rasmi kwenye uzinduzi wa albamu ‘Usilie’ ambayo itapatikana kwenye DVD Desemba 7, mwaka huu.
Akizungumza Dar es Salaam jana kwenye mkutano na waandishi wa habari, Mkurugenzi wa kwaya ya ‘Family Singers’ Daniel Misheto, alisema hafla hiyo itafanyika kwenye Ukumbi wa PTA uliopo Uwanja wa Sabasaba, Dar es...
11 years ago
Tanzania Daima21 Jun
Mtwara, Lindi wahimizwa kuchangamkia fursa
WANANCHI wa mikoa ya Lindi na Mtwara, wametakiwa kuchangamkia fursa zinazotokana na kuongezeka kwa uwekezaji katika mikoa hiyo kutokana na kugundulika kwa gesi asilia. Akizungumza na Waandishi wa Habari katika...
10 years ago
Dewji Blog04 Jul
Waziri Mkuu Pinda akagua mtambo wa kuchakata gesi Mtwara
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua mtambo wa kuchakata gesi unaojengwa na serikali kupiatia Shirika la Maendeleo ya Petroli nchini (TPDC) katika eneola Madimba mkoani Mtwara Julai 1, 2015. Kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Mtwara, Halima Dendego. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wahadisi na mafundi wa Kichina wanaojenga mtambo wa kuchakata gesi kwa gharama za serikali kupiatia Shirika la Maendeleo ya Petroli nchini (TPDC) katika eneola Madimba...
10 years ago
Dewji Blog19 May
Waziri Bernard Membe kuwa mgeni rasmi tamasha la Qaswida Mei 25
Jumanne Ali Ligopora Mkurugenzi wa Taasisi ya Ulamaa Qaswida Promotion Centre akizungumza na waandishi wa habari kwenye hoteli ya Traveltine Magomeni jijini Dar es salaam wakati akizungumzia mashindano ya kuimba Qaswida yatakayofanyika kwenye viwanja vya shule ya Sekondari ya Benjamin Mkapa mgeni rasmi akiwa Waziri wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mh. Bernald Membe.Tamasha hilo litafanyikaMei 25 kuanzia saa saba mchana, Kulia ni Sheikh Muharami Pembe na kushoto ni Ustaadhi...
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-iQXpu99Oc_o/Vd2mBtItNGI/AAAAAAAH0J8/nJdyX86TE04/s72-c/1.jpg)
VIJANA MTWARA WAENDELEA KUWEZESHWA KUPITIA AIRTEL FURSA
![](http://2.bp.blogspot.com/-iQXpu99Oc_o/Vd2mBtItNGI/AAAAAAAH0J8/nJdyX86TE04/s640/1.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-va3AyPxWlqI/Vd2mBh4xyYI/AAAAAAAH0J4/DWGF2W6pFMs/s640/2.jpg)
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/S642KsM6XOkvG3sqL5TOklbPd6H-le4QsVcxQoumw7Sdij3e7F6cmm*4D1l6YaL8j6M1RPTB7V9pMPFBYX2MELYoO9tkjUmv/1.jpg)
VIJANA MTWARA WAENDELEA KUWEZESHWA KUPITIA AIRTEL FURSA
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/--1r92oX1rO0/U_X2NS38reI/AAAAAAAGBLY/-ZMZhts9VHo/s72-c/unnamed%2B(89).jpg)
Waziri Mkuu kuwa mgeni rasmi mashindano ya Kimataifa ya Wushu
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mizengo Pinda anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa mashindano ya Kimataifa ya mchezo wa Wushu (Kung fu) yatakayofanyika hapa nchi kuanzia tarehe 30 hadi 31 katika viwanja vya Mnazi Mmoja.
Hayo yamebainishwa na Rais wa Chama cha Mchezo wa Wushu nchini Mwalami Mitete alipokuwa akiongea na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam.
Katika taarifa yake Mwalami alisema kuwa mashindano hayo yatajumuisha...