Pinda Mgeni Rasmi Mtwara Festival 2014
.jpg)
Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda akiwa katika picha na Bw. Anic Kashasha, Mwenyekiti Mtendaji wa TACIN alipomtembelea nyumbani kwake Oyserbay, Dar es Salaam, kumpa taarifa ya maendeleo ya maandalizi ya Mtwara Festival, itakayofanyika tarehe 16 - 17 Agosti, 2014 katika viwanja vya Chuo Cha Ualimu Mtwara(TTC). Mh. Mizengo Pinda, anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi wa Mtwara Festival, ambao ni mpango mkakati wa mawasiliano wa kuhamasisha wananchi wa mikoa ya Mtwara na Lindi, kizitambua fursa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi
Wakazi wa Mtwara na Lindi kushuhudia fursa za Utalii na Uchumi kupitia Tamasha la Utamaduni la Mtwara,Waziri mkuu pinda kuwa mgeni rasmi.

Waziri Mkuu Mizengo Pinda.
Tamasha la Mkoa wa Mtwara, ‘Mtwara Festival’, linatarajia kufungua milango ya fursa kwa wakazi wa mikoa ya Mtwara na Lindi katika kuziona fursa kadhaa kwenye sekta ya Utalii na Uchumi.Tamasha hilo linatarajiwa kufanyika kwa siku mbili kuanzia mwezi Agosti 16 na 17 mwaka huu kwenye uwanja wa Nangwanda Sijaona ulipo Mtwara mjini. Mgeni rasmi katika Tamasha hilo anatarajiwa kuwa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda huku likiwa na kauli mbiu isemayo ‘Fursa Zimefunguka,...
11 years ago
Michuzi30 Jul
10 years ago
Dewji Blog27 Nov
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kuwa mgeni rasmi kwenye uzinduzi wa albamu ‘Usilie’ Desemba 7, 2014
Mkurugenzi wa kwaya ya ‘Family Singers’ Daniel Misheto (kulia). Picha zote na Cathbert Kajuna wa Kajunason Blog.
Na Mwandishi Wetu.
WAZIRI MKUU, Mizengo Pinda ametajwa kuwa mgeni rasmi kwenye uzinduzi wa albamu ‘Usilie’ ambayo itapatikana kwenye DVD Desemba 7, mwaka huu.
Akizungumza Dar es Salaam jana kwenye mkutano na waandishi wa habari, Mkurugenzi wa kwaya ya ‘Family Singers’ Daniel Misheto, alisema hafla hiyo itafanyika kwenye Ukumbi wa PTA uliopo Uwanja wa Sabasaba, Dar es...
11 years ago
Michuzi.jpg)
Mtwara Festival kufanyika Agosti 16-17, 2014 kwenye uwanja wa Nangwanda Sijaona, Mtwara.
.jpg)
Bw. Anic Kashasha, Mwenyekiti Mtendaji wa shirika lisilo la kiserikali Tanzania Creative Industries Network (TACIN) ya Dar es Salaam, nilikuwa ninahutubia mkutano wa waandishi wahabari kwenye ukumbi wa Safari Lounge, mjini Mtwara, juu ya kuanzisha Mtwara Festival, utakaofanyika tarehe 16 - 17 Agosti, 2014 kwenye uwanja wa Nangwanda Sijaona,Mtwara.
Mtwara Festival imeandaliwa kwa kushirikiana na washirika wakuu na wadhamini wa TACIN, Shirika la maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC). Huu ni...
11 years ago
Michuzi
11 years ago
Tanzania Daima03 Jun
Pinda mgeni rasmi mkutano DART
WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika mkutano wa mashauriano ya uwekezaji wa awamu ya kwanza ya mradi wa mabasi yaendayo haraka (DART) unaoanza leo. Mkutano huo wa...
11 years ago
Tanzania Daima28 Mar
Pinda mgeni rasmi mkutano Tatoa
WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda anatarajiwa kuwa mgeni rasmi wa mkutano mkuu wa Chama cha Wamiliki wa Malori (Tatoa) utakaofanyika kesho. Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, Msemaji wa Tatoa, Elias...
10 years ago
Habarileo23 Jan
Pinda mgeni rasmi Chuo cha Kodi
WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda kesho anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika mahafali ya saba ya Chuo cha Kodi(ITA) ambapo atatunuku vyeti, shahada na stashahada kwa wahitimu 564 waliofuzu katika kozi mbalimbali.
11 years ago
Habarileo26 Jul
Pinda mgeni rasmi Baraza la Idd el Fitri
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye Baraza la Idd-el-Fitri litakalofanyika katika viwanja vya Karimjee, Dar es Salaam.