Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mtwara Festival kufanyika Agosti 16-17, 2014 kwenye uwanja wa Nangwanda Sijaona, Mtwara.


Bw. Anic Kashasha, Mwenyekiti Mtendaji wa shirika lisilo la kiserikali Tanzania Creative Industries Network (TACIN) ya Dar es Salaam, nilikuwa ninahutubia mkutano wa waandishi wahabari kwenye ukumbi wa Safari Lounge, mjini Mtwara, juu ya kuanzisha Mtwara Festival, utakaofanyika tarehe 16 - 17 Agosti, 2014 kwenye uwanja wa Nangwanda Sijaona,Mtwara.
Mtwara Festival imeandaliwa kwa kushirikiana na washirika wakuu na wadhamini wa TACIN, Shirika la maendeleo ya Petroli  Tanzania (TPDC). Huu ni...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MAZOEZI YA SIMBA SC KWENYE UWANJA WA NANGWANDA, MTWARA

Kocha wa Simba, Mserbia Goran Kopunovic akiongoza kikosi chake katika mazoezi ya timu hiyo yaliyofanyika jana kwenye Uwanja wa Nangwanda Sijao, mjini Mtwara, wakijifua  kuelekea mchezo wa leo dhidi ya Ndanda. Umati wa mashabiki wakishuhudia mazoezi ya kikosi cha Simba jana kwenye Uwanja wa Nangwanda Sijaona huko Mtwara, wakijiandaa na mchezo wa leo, dhidi ya Ndanda.… ...

 

11 years ago

Michuzi

Pinda Mgeni Rasmi Mtwara Festival 2014

 Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda  akiwa katika picha na Bw. Anic Kashasha, Mwenyekiti Mtendaji wa TACIN alipomtembelea  nyumbani kwake Oyserbay, Dar es Salaam, kumpa taarifa ya maendeleo ya maandalizi ya Mtwara Festival, itakayofanyika tarehe 16 - 17 Agosti, 2014 katika viwanja vya Chuo Cha Ualimu Mtwara(TTC). Mh. Mizengo Pinda, anatarajiwa kuwa  Mgeni Rasmi wa Mtwara Festival, ambao ni mpango mkakati wa mawasiliano wa kuhamasisha wananchi wa mikoa ya Mtwara na Lindi, kizitambua fursa...

 

10 years ago

Zitto Kabwe, MB

“Azimio la Mtwara” Speech by Zitto Kabwe: Mtwara, 31-12-14

View this document on Scribd

PICHA

"Azimio la Mtwara" tarehe 31-12-2014 Zitto Kabwe na Prof. Ibrahim Lipumba

“Azimio la Mtwara” tarehe 31-12-2014 Zitto Kabwe na Prof. Ibrahim Lipumba

 


 

11 years ago

Michuzi

UWANJA WA NDEGE MTWARA KUIMARISHWA ZAIDI

 Timu ya Ukaguzi wa Miradi ya Maendeleo kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango ilipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Mtwara kwa ajili ya kujionea maendeleo ya uwanja huo.  Mmoja wa viongozi wa Timu Ukaguzi wa Miradi ya Maendeleo kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango, Bibi Florence Mwanri (aliyevaa fulana nyeusi) akihoji uimara wa sehemu ya kutulia ndege wakati walipofanya ziara ya kujionea maendeleo ya Uwanja wa Ndege wa Mtwara.  Meneja wa Uwanja wa Ndege wa Mtwara, Mhandisi Mugasa...

 

11 years ago

Michuzi

Wakazi wa Mtwara na Lindi kushuhudia fursa za Utalii na Uchumi kupitia Tamasha la Utamaduni la Mtwara,Waziri mkuu pinda kuwa mgeni rasmi.

 
Waziri Mkuu Mizengo Pinda.
Tamasha la Mkoa wa Mtwara, ‘Mtwara Festival’, linatarajia kufungua milango ya fursa kwa wakazi wa mikoa ya Mtwara na Lindi katika kuziona fursa kadhaa kwenye sekta ya Utalii na Uchumi.Tamasha hilo linatarajiwa kufanyika kwa siku mbili kuanzia mwezi Agosti 16 na 17 mwaka huu kwenye uwanja wa Nangwanda Sijaona  ulipo Mtwara mjini. Mgeni rasmi katika Tamasha hilo anatarajiwa kuwa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda huku likiwa na kauli mbiu isemayo ‘Fursa Zimefunguka,...

 

11 years ago

Michuzi

tamasha la filamu Tanzania kufanyika mkoani Mtwara Idd Pili

KAMPUNI ya Bia Nchini (TBL) kupitia kinywaji chake cha Grand Malt kimetangaza kudhamini tamasha la wazi la filamu ‘Tanzania Open Festival’ litakalofanyika mapema mwezi Agosti mwaka huu mkoani Mtwara.
Tamasha hilo linatarajiwa kufanyika kwa muda wa wiki moja kuanzia sikukuu ya idd Pili hadi Agosti 5 mwaka huu. Akizungumza jijini Dar es Salaam jana , Meneja Masoko wa TBL, Fimbo Butallah, alisema kuwa tamasha la mwaka huu litafanyika mkoani Mtwara kwenye viwanja vya Mashujaa na hii...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani