Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Pinda mgeni rasmi Baraza la Idd el Fitri

WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye Baraza la Idd-el-Fitri litakalofanyika katika viwanja vya Karimjee, Dar es Salaam.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

Waziri Mkuu mgeni rasmi Baraza la Eid- ElL-Fitri

pind02

Na Hassan Silayo-MAELEZO

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Mizengo Pinda (pichani) anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Baraza la Eid- ElL-Fitri.

Kwa mujibu wa Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu wa Baraza Kuu la Waislam Tanzania (BAKWATA) Suleiman Lolila baraza hilo litafanyika katika viwanja vya Karimjee kuanzia saa kumi kamili alasiri.

Aidha taarifa hiyo imesema kuwa Sikukuu ya Eid-EL-Fitri inatarajiwa kuwa tarehe 28 au 29 julai 2014 kulingana na mwandamo wa mwezi.

Sikukuu...

 

10 years ago

Habarileo

Mwinyi mgeni rasmi Idd el Fitr

Rais Mstaafu, Alhaji Ali Hassan Mwinyi.RAIS mstaafu wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi anatarajiwa kuongoza mamia ya waumini wa dini ya Kiislamu katika sala ya Idd el Fitr itakayofanyika kimkoa katika viwanja vya Mnazi Mmoja, jijini Dar es Salaam.

 

9 years ago

Habarileo

Bilal mgeni rasmi sherehe za Idd leo

BARAZA Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata) limetangaza kuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya sherehe za Idd El Hajj leo yanayofanyika kitaifa mkoani Mara ni Makamu wa Rais, Dk Mohammed Gharib Bilal.

 

10 years ago

Michuzi

Balozi Idd mgeni rasmi kwenye Tamasha la Kuliombea Taifa na Kuhamasisha amani linalofanyika mjini Bagamoyo

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alisema Viongozi wa Kidini wanapaswa kuwa macho katika kuzikataa choko choko zozote na ushawishi unaotolewa na wanasiasa kwa kuzingatia maslahi yao badala ya manufaa ya Taifa zima.
Alisema kazi kubwa inayotakiwa kufanywa na Viongozi hao wa Kidini ni kuwaombea watu wakiwemo Viongozi wa Nchi ili Baraka ziongezeke ndani ya Taifa pamojana umma jambo ambalo litasaidia kupunguza misuguano.
Balozi Seif alisema hayo wakati akilifungua Tamasha la...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Pinda mgeni rasmi mkutano DART

WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika mkutano wa mashauriano ya uwekezaji wa awamu ya kwanza ya mradi wa mabasi yaendayo haraka (DART) unaoanza leo. Mkutano huo wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Pinda mgeni rasmi mkutano Tatoa

WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda anatarajiwa kuwa mgeni rasmi wa mkutano mkuu wa Chama cha Wamiliki wa Malori (Tatoa) utakaofanyika kesho. Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, Msemaji wa Tatoa, Elias...

 

10 years ago

Habarileo

Pinda mgeni rasmi Chuo cha Kodi

WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda kesho anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika mahafali ya saba ya Chuo cha Kodi(ITA) ambapo atatunuku vyeti, shahada na stashahada kwa wahitimu 564 waliofuzu katika kozi mbalimbali.

 

11 years ago

Michuzi

Pinda Mgeni Rasmi Mtwara Festival 2014

 Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda  akiwa katika picha na Bw. Anic Kashasha, Mwenyekiti Mtendaji wa TACIN alipomtembelea  nyumbani kwake Oyserbay, Dar es Salaam, kumpa taarifa ya maendeleo ya maandalizi ya Mtwara Festival, itakayofanyika tarehe 16 - 17 Agosti, 2014 katika viwanja vya Chuo Cha Ualimu Mtwara(TTC). Mh. Mizengo Pinda, anatarajiwa kuwa  Mgeni Rasmi wa Mtwara Festival, ambao ni mpango mkakati wa mawasiliano wa kuhamasisha wananchi wa mikoa ya Mtwara na Lindi, kizitambua fursa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani