Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bilal mgeni rasmi sherehe za Idd leo

BARAZA Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata) limetangaza kuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya sherehe za Idd El Hajj leo yanayofanyika kitaifa mkoani Mara ni Makamu wa Rais, Dk Mohammed Gharib Bilal.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Uhuru Newspaper

Dk Bilal mgeni rasmi tamasha la MOWE leo


NA EMMANUEL MOHAMED
MAKAMU wa Rais, Dk. Mohammed Gharib Bilal, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika tamasha la wanawake wajasiriamali mali (MOWE), litakalofanyika leo katika viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es salaam.  

Akizungumza na waandishi wa habari jana, Mwenyekiti wa tamasha hilo, Helihaka Mrema, alisema tamasha hilo lina lengo la kuwakutanisha wajasiriamali hao na wadau mbalimbali ili kuboresha ubora wa bidhaa zao kwa lengo la kukidhi haja ya masoko ya ndani na nje.
Helihaka alisema tamasha...

 

11 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE MGENI RASMI SHEREHE ZA MIAKA 75 YA KANISA LA TAG JIJINI MBEYA LEO

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia maelfu ya wananchi kwenye  kilele cha Sherehe za Miaka 78 ya kanisa la Tanzania Assemblies of God  katika uwanja wa Kumbukumbu ya Sokoine jijini Mbeya leo Julai 13, 2014.  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizindua kitabu cha  Tanzania Assemblies of God (TAG) akiwa na  Askofu Mkuu wa TAG Dkt Barnabas Weston Mtokambali wakati wa kilele cha Sherehe za Miaka 78 ya kanisa hilo katika uwanja wa Kumbukumbu ya Sokoine jijini Mbeya leo Julai 13, 2014 Rais Jakaya...

 

10 years ago

Michuzi

DKT. SHEIN MGENI RASMI KATIKA SHEREHE ZA ELIMU BILA MALIPO AMAAN ZANZIBAR LEO

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Walimu na Wanafunzi katika Sherehe za Miaka 50 ya Elimu bila malipo zilizofanyika kitaifa katika Uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja leo.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimkabidhi kombe Msaidizi Afisa Elimu Mkoa wa Kaskazini Unguja Maulid Nafasi Juma wakati wa Sherehe za Miaka 50 ya Elimu bila malipo zilizofanyika kitaifa katika Uwanja wa Amaan Studium Mjini...

 

10 years ago

Michuzi

membe mgeni rasmi katika sherehe za kumkumka Chifu Wanzagi wa Wazanaki kijijini Butiama leo

Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Bernard  Membe (kulia) akiwa nyumbani kwa chief Edward Wanzagi, kaka mkubwa wa Mwalimu Nyerere kijijini Butiama kabla ya kuanza kwa sherehe za kumkumbuka Chief Wanzagi.Chief Japhet Wanzagi  akimkaribisha mgeni rasmi, Bernard Membe, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, kuhutubia  familia ya ukoo wa Nyerere mchana huu kijiini Butiama. Wengine ni Bw. Jesse Kwayu anayemwakilisha Mwenyekiti Mtendaji wa IPP Dkt Reginald...

 

10 years ago

Habarileo

Mwinyi mgeni rasmi Idd el Fitr

Rais Mstaafu, Alhaji Ali Hassan Mwinyi.RAIS mstaafu wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi anatarajiwa kuongoza mamia ya waumini wa dini ya Kiislamu katika sala ya Idd el Fitr itakayofanyika kimkoa katika viwanja vya Mnazi Mmoja, jijini Dar es Salaam.

 

11 years ago

Habarileo

Pinda mgeni rasmi Baraza la Idd el Fitri

WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye Baraza la Idd-el-Fitri litakalofanyika katika viwanja vya Karimjee, Dar es Salaam.

 

11 years ago

GPL

MAMA SHUJAA WA CHAKULA WAINGIA RASMI KIJIJI CHA MAISHA PLUS, PROFESA ANNA TIBAIJUKA MGENI RASMI KATIKA SHEREHE HIZO

Profesa Anna Tibaijuka Waziri wa Nyumba Ardhi na  maendeleo ya Makazi wa pili kutoka kulia pamoja na Babu wa Kijiji cha Maisha Plus akiwasalimia akina mama Shujaa wa Chakula ambao wameingia Rasmi Kijiji cha Maisha Plus Jana usiku. Akina Mama Shujaa wa Chakula Wakiwa wanamuimbia wimbo maalum Profesa Anna Tibaijuka Waziri wa Nyumba Ardhi na  maendeleo ya Makazi mara baada ya kuwasili Kijijini… ...

 

10 years ago

Habarileo

Bilal mgeni rasmi harambee ya yatima

MAKAMU wa Rais, Dk Mohamed Gharib Billal (pichani) anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye harambee ya ujenzi wa kituo cha watoto yatima cha New hope Family.

 

10 years ago

Michuzi

Balozi Idd mgeni rasmi kwenye Tamasha la Kuliombea Taifa na Kuhamasisha amani linalofanyika mjini Bagamoyo

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alisema Viongozi wa Kidini wanapaswa kuwa macho katika kuzikataa choko choko zozote na ushawishi unaotolewa na wanasiasa kwa kuzingatia maslahi yao badala ya manufaa ya Taifa zima.
Alisema kazi kubwa inayotakiwa kufanywa na Viongozi hao wa Kidini ni kuwaombea watu wakiwemo Viongozi wa Nchi ili Baraka ziongezeke ndani ya Taifa pamojana umma jambo ambalo litasaidia kupunguza misuguano.
Balozi Seif alisema hayo wakati akilifungua Tamasha la...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani