Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwinyi mgeni rasmi Idd el Fitr

Rais Mstaafu, Alhaji Ali Hassan Mwinyi.RAIS mstaafu wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi anatarajiwa kuongoza mamia ya waumini wa dini ya Kiislamu katika sala ya Idd el Fitr itakayofanyika kimkoa katika viwanja vya Mnazi Mmoja, jijini Dar es Salaam.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

Dr. Mwinyi mgeni rasmi maonyesho ya Silaha

mwinyi

Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Hussein Mwinyi.

Na Mwandishi wetu

Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Dk  Hussein Mwinyi anatarajiwa kufungua maonyesho ya  kongamano la Majeshi ya Nchikavu Afrika ya Mashariki ambapo zaidi ya wataalamu 300 .

Kongamano hilo ambalo Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) ndiye mshirika mkuu linatarajiwa kufanyika julai 15 na 16  mwaka huu katika ukumbi wa...

 

9 years ago

Habarileo

Bilal mgeni rasmi sherehe za Idd leo

BARAZA Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata) limetangaza kuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya sherehe za Idd El Hajj leo yanayofanyika kitaifa mkoani Mara ni Makamu wa Rais, Dk Mohammed Gharib Bilal.

 

11 years ago

Habarileo

Pinda mgeni rasmi Baraza la Idd el Fitri

WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye Baraza la Idd-el-Fitri litakalofanyika katika viwanja vya Karimjee, Dar es Salaam.

 

11 years ago

Habarileo

Mzee Mwinyi mgeni rasmi Maulid Dar

RAIS mstaafu, Ali Hassan Mwinyi leo atakuwa mgeni rasmi katika sherehe za Maulidi Kimkoa, Dar es Salaam zinazofanyika katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.

 

10 years ago

Vijimambo

MKUTANO NA TAMASHA LA CHAUKIDU... Mzee Ali Hassan Mwinyi Mgeni Rasmi

MKUTANO KUANZA ASUBUHI, HOWARD UNIVERSITY (9:00AM-5:00PM)  NA TAMASHA JIONI HOLLYWOOD BALLROOM (7:00PM-12:00 AM))Njoo ujumuike na wapenzi wa Lugha ya Kiswahili na kupata chakula cha Kiafrika, vinywaji, burudani ya muziki kutoka kwa gwiji Master DJ Luke na maonyesho kadhaa ya wasanii, wakiwemo Anna Mwalaghona AJ Ubao, katika Tamasha la kipekee Washington DC, April 23, 2015.
Nunua tiketi yako mapema kwa kutembelea Tovuti ya CHAUKIDU <www.chaukidu.org>, au piga simu namba 301-433-3411 (Tumaini),...

 

10 years ago

Michuzi

Rais Wa awamu ya Pili Mh. Ali Hassan Mwinyi kuwa mgeni rasmi Mkutano wa 22 wa AQRB

Na Beatrice Lyimo- MAELEZO

Rais mstaafu wa Awamu ya pili wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Ali Hassan Mwinyi anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika mkutano wa 22 wa Bodi ya Usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi (AQRB) utakaofanyika Septemba 18 2014.
Msajili wa Bodi ya AQRB Bwana Jehad Abdalah Jehad amesema hayo alipokuwa akiongea na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam.
Bwana Jehad alisema kuwa lengo kuu la mkutano huo ni kuendeleza wataaluma wa fani ya...

 

10 years ago

Michuzi

Balozi Idd mgeni rasmi kwenye Tamasha la Kuliombea Taifa na Kuhamasisha amani linalofanyika mjini Bagamoyo

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alisema Viongozi wa Kidini wanapaswa kuwa macho katika kuzikataa choko choko zozote na ushawishi unaotolewa na wanasiasa kwa kuzingatia maslahi yao badala ya manufaa ya Taifa zima.
Alisema kazi kubwa inayotakiwa kufanywa na Viongozi hao wa Kidini ni kuwaombea watu wakiwemo Viongozi wa Nchi ili Baraka ziongezeke ndani ya Taifa pamojana umma jambo ambalo litasaidia kupunguza misuguano.
Balozi Seif alisema hayo wakati akilifungua Tamasha la...

 

9 years ago

Michuzi

ALHAJ ALI HASSA MWINYI MGENI RASMI MAHAFALI YA CHUO CHA ELIMU YA BIASHARA (CBE)


  Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Alhaj Ali Hassan Minyi akiwa meza kuu wakati wimbo wa Taifa Ukipigwa  katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam katika mahafali ya Chuo cha Elimu ya Bishara (CBE) yaliyofanyika JumapiliSehemu ya wahitimu katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam katika mahafali ya Chuo cha Elimu ya Bishara (CBE) yaliyofanyika Jumapili

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani