Mzee Mwinyi mgeni rasmi Maulid Dar
RAIS mstaafu, Ali Hassan Mwinyi leo atakuwa mgeni rasmi katika sherehe za Maulidi Kimkoa, Dar es Salaam zinazofanyika katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboMKUTANO NA TAMASHA LA CHAUKIDU... Mzee Ali Hassan Mwinyi Mgeni Rasmi
Nunua tiketi yako mapema kwa kutembelea Tovuti ya CHAUKIDU <www.chaukidu.org>, au piga simu namba 301-433-3411 (Tumaini),...
11 years ago
Michuzimaalim seif mgeni rasmi maulid yaliyoandaliwa na madrasat Muumin Islamiya ya Mwembeshauri.
11 years ago
Dewji Blog10 Jul
Dr. Mwinyi mgeni rasmi maonyesho ya Silaha
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Hussein Mwinyi.
Na Mwandishi wetu
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Hussein Mwinyi anatarajiwa kufungua maonyesho ya kongamano la Majeshi ya Nchikavu Afrika ya Mashariki ambapo zaidi ya wataalamu 300 .
Kongamano hilo ambalo Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) ndiye mshirika mkuu linatarajiwa kufanyika julai 15 na 16 mwaka huu katika ukumbi wa...
10 years ago
Habarileo16 Jul
Mwinyi mgeni rasmi Idd el Fitr
RAIS mstaafu wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi anatarajiwa kuongoza mamia ya waumini wa dini ya Kiislamu katika sala ya Idd el Fitr itakayofanyika kimkoa katika viwanja vya Mnazi Mmoja, jijini Dar es Salaam.
10 years ago
MichuziMAMA SALMA KIKWETE MGENI RASMI KWENYE SHEREHE YA MAULID YA KUZALIWA MTUME MUHAMMAD (S.A.W) HUKO WETE-PEMBA
10 years ago
MichuziRais Wa awamu ya Pili Mh. Ali Hassan Mwinyi kuwa mgeni rasmi Mkutano wa 22 wa AQRB
Rais mstaafu wa Awamu ya pili wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Ali Hassan Mwinyi anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika mkutano wa 22 wa Bodi ya Usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi (AQRB) utakaofanyika Septemba 18 2014.
Msajili wa Bodi ya AQRB Bwana Jehad Abdalah Jehad amesema hayo alipokuwa akiongea na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam.
Bwana Jehad alisema kuwa lengo kuu la mkutano huo ni kuendeleza wataaluma wa fani ya...
9 years ago
MichuziALHAJ ALI HASSA MWINYI MGENI RASMI MAHAFALI YA CHUO CHA ELIMU YA BIASHARA (CBE)
Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Alhaj Ali Hassan Minyi akiwa meza kuu wakati wimbo wa Taifa Ukipigwa katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam katika mahafali ya Chuo cha Elimu ya Bishara (CBE) yaliyofanyika JumapiliSehemu ya wahitimu katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam katika mahafali ya Chuo cha Elimu ya Bishara (CBE) yaliyofanyika Jumapili
10 years ago
VijimamboNYAMA CHOMA YA SHEREHE YA MUUNGANO, RAIS MSTAAFU ALI HASSAN MWINYI AWA MGENI RASMI
10 years ago
VijimamboMHESHIMIWA ALHAJ ALI HASSAN MWINYI, RAIS MSTAAFU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KUWA MGENI RASMI KWENYE TAMASHA LA CHAUKIDU APRIL 23
Nunua tiketi yako mapema kwa kutembelea Tovuti ya CHAUKIDU <www.chaukidu.org>, au piga simu namba 301-433-3411(Tumaini), 301-793-2833 (Asha) na 202-830-6555 (Dr. Magembe) kununua tiketi moja kwa...