Dk Bilal mgeni rasmi tamasha la MOWE leo
![](http://1.bp.blogspot.com/-BSlGqWNPMi4/VE5Y2JPZLaI/AAAAAAAABtU/r_Mw6RTmGlw/s72-c/bilaleaceabc(8).jpg)
NA EMMANUEL MOHAMED
MAKAMU wa Rais, Dk. Mohammed Gharib Bilal, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika tamasha la wanawake wajasiriamali mali (MOWE), litakalofanyika leo katika viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es salaam.
Akizungumza na waandishi wa habari jana, Mwenyekiti wa tamasha hilo, Helihaka Mrema, alisema tamasha hilo lina lengo la kuwakutanisha wajasiriamali hao na wadau mbalimbali ili kuboresha ubora wa bidhaa zao kwa lengo la kukidhi haja ya masoko ya ndani na nje.
Helihaka alisema tamasha...
Uhuru Newspaper
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo24 Sep
Bilal mgeni rasmi sherehe za Idd leo
BARAZA Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata) limetangaza kuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya sherehe za Idd El Hajj leo yanayofanyika kitaifa mkoani Mara ni Makamu wa Rais, Dk Mohammed Gharib Bilal.
10 years ago
Habarileo08 Apr
Bilal mgeni rasmi harambee ya yatima
MAKAMU wa Rais, Dk Mohamed Gharib Billal (pichani) anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye harambee ya ujenzi wa kituo cha watoto yatima cha New hope Family.
9 years ago
Habarileo28 Sep
JK mgeni rasmi Tamasha la Amani
RAIS Jakaya Kikwete amekubali kuwa mgeni rasmi katika Tamasha la Kuombea Amani nchini litakalofanyika kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, Jumapili wiki hii. Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya tamasha hilo, Alex Msama, Rais Kikwete amekubali kuwa mgeni rasmi siku hiyo katika tamasha la kuombea amani Tanzania kuelekea katika Uchaguzi Mkuu mwezi ujao.
10 years ago
StarTV30 Dec
Dk. Bilal mgeni rasmi mkesha wa mwaka mpya.
Na Grace Semfuko,
Dar Es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dokta Gharib Bilal anatarajia kuwa mgeni rasmi kwenye Mkesha maalum wa mwaka mpya utakaofanyika Desemba 31 Jijini Dar Es Salaam kwa ajili ya kuliombea Taifa amani na utulivu kwa mwaka ujao wa 2015.
Mkesha huo ulioandaliwa na kamati maalum ya mikesha ya mwaka mpya tayari maandalizi yake yamekamilika ambapo pia utafanyika kwenye mikoa mingine 16 Nchini na wakuu wa mikoa hiyo watakuwa wageni...
9 years ago
Habarileo22 Dec
Nape mgeni rasmi tamasha la Krismasi
WAZIRI wa Habari,Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye anatarajiwa kumwakilisha Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kwenye Tamasha la Krismasi litakalofanyika Desemba 25 kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee ,Dar es Salaam.
10 years ago
MichuziMEMBE MGENI RASMI TAMASHA LA PASAKA
10 years ago
Habarileo11 Feb
Bilal mgeni rasmi tuzo kwa kampuni bora
MAKAMU wa Rais, Dk Mohamed Gharib Bilal anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika hafla ya kutoa tuzo kwa kampuni bora kwa mwaka 2014.
10 years ago
MichuziMH. MEMBE KUWA MGENI RASMI TAMASHA LA PASAKA
Na Mwandishi Wetu
WAZIRI wa Mambo ya Nje na...