Dk. Bilal mgeni rasmi mkesha wa mwaka mpya.
Na Grace Semfuko,
Dar Es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dokta Gharib Bilal anatarajia kuwa mgeni rasmi kwenye Mkesha maalum wa mwaka mpya utakaofanyika Desemba 31 Jijini Dar Es Salaam kwa ajili ya kuliombea Taifa amani na utulivu kwa mwaka ujao wa 2015.
Mkesha huo ulioandaliwa na kamati maalum ya mikesha ya mwaka mpya tayari maandalizi yake yamekamilika ambapo pia utafanyika kwenye mikoa mingine 16 Nchini na wakuu wa mikoa hiyo watakuwa wageni...
StarTV
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo24 Dec
Magufuli mgeni rasmi mwaka mpya
RAIS John Magufuli anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Mkesha wa kuiombea Amani Tanzania utakaofanyika Desemba 31 katika uwanja wa Taifa. Akizungumza Dar es Salaam jana Mwenyekiti wa Jumuiya ya Makanisa ya Pentekoste (TFC) Godfrey Malassy alisema maandalizi yote yamekamilika ikiwemo kibali kutoka polisi, pamoja washiriki mbalimbali watakaoshiriki katika mkesha huo.
10 years ago
MichuziWaziri Membe mgeni rasmi kwenye sherehe za kuukaribisha mwaka Mpya waKichina
9 years ago
Habarileo23 Dec
Magufuli mgeni rasmi Mkesha wa Amani
RAIS John Magufuli anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Mkesha wa kuiombea Amani Tanzania utakaofanyika Desemba 31 mwaka huu katika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
9 years ago
MichuziDkt. Magufuli kuwa Mgeni Rasmi Mkesha wa kuiombea amani Tanzania.
9 years ago
Dewji Blog22 Dec
Rais Magufuli kuwa mgeni rasmi katika Mkesha Mkubwa wa Kitaifa wa kuliombea Taifa
10 years ago
Habarileo08 Apr
Bilal mgeni rasmi harambee ya yatima
MAKAMU wa Rais, Dk Mohamed Gharib Billal (pichani) anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye harambee ya ujenzi wa kituo cha watoto yatima cha New hope Family.
9 years ago
Habarileo24 Sep
Bilal mgeni rasmi sherehe za Idd leo
BARAZA Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata) limetangaza kuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya sherehe za Idd El Hajj leo yanayofanyika kitaifa mkoani Mara ni Makamu wa Rais, Dk Mohammed Gharib Bilal.
10 years ago
Uhuru Newspaper![](http://1.bp.blogspot.com/-BSlGqWNPMi4/VE5Y2JPZLaI/AAAAAAAABtU/r_Mw6RTmGlw/s72-c/bilaleaceabc(8).jpg)
Dk Bilal mgeni rasmi tamasha la MOWE leo
NA EMMANUEL MOHAMED
MAKAMU wa Rais, Dk. Mohammed Gharib Bilal, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika tamasha la wanawake wajasiriamali mali (MOWE), litakalofanyika leo katika viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es salaam.
![](http://1.bp.blogspot.com/-BSlGqWNPMi4/VE5Y2JPZLaI/AAAAAAAABtU/r_Mw6RTmGlw/s1600/bilaleaceabc(8).jpg)
Akizungumza na waandishi wa habari jana, Mwenyekiti wa tamasha hilo, Helihaka Mrema, alisema tamasha hilo lina lengo la kuwakutanisha wajasiriamali hao na wadau mbalimbali ili kuboresha ubora wa bidhaa zao kwa lengo la kukidhi haja ya masoko ya ndani na nje.
Helihaka alisema tamasha...