Mtwara, Lindi wahimizwa kuchangamkia fursa
WANANCHI wa mikoa ya Lindi na Mtwara, wametakiwa kuchangamkia fursa zinazotokana na kuongezeka kwa uwekezaji katika mikoa hiyo kutokana na kugundulika kwa gesi asilia. Akizungumza na Waandishi wa Habari katika...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo23 Jan
Watanzania wahimizwa kuchangamkia fursa za ajira, Emirates
9 years ago
StarTV10 Oct
Wadau barani Afrika wahimizwa kuchangamkia fursa za biashara
Wadau wa sekta ya uchumi barani Afrika wamehimizwa kuzichangamkia fursa za biashara na masoko kwa kuzingatia uwekezaji madhubuti ili kukuza uchumi wa nchi zao.
Wito huo umetolewa jijini Nairobi na meneja masoko wa kampuni ya Kenya airways Chris Diaz, akijielekeza zaidi kuzungumzia wajibu wa makampuni ya kibiashara barani Afrika kuzisaidia nchi za kiafrika kufanikisha mpango wa maendeleo wa 2030.
Mpango wa miaka kumi na tano ulioainishwa na Umoja wa mataifa hivi karibuni ukilenga kumaliza...
11 years ago
Tanzania Daima28 May
Wanawake Mtwara watakiwa kuchangamkia fursa
WANAWAKE mkoani Mtwara wametakiwa kuchangamkia fursa za ujasiriliamali kutokana na wingi wa watu na makampuni ya uwekezaji. Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake jana, Mwenyekiti wa muda wa Taasisi...
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-4zse40b1aWM/U77l1lCQH6I/AAAAAAAF0nA/m0rKPRSjI0k/s72-c/pinda1504.jpg)
Wakazi wa Mtwara na Lindi kushuhudia fursa za Utalii na Uchumi kupitia Tamasha la Utamaduni la Mtwara,Waziri mkuu pinda kuwa mgeni rasmi.
![](http://1.bp.blogspot.com/-4zse40b1aWM/U77l1lCQH6I/AAAAAAAF0nA/m0rKPRSjI0k/s1600/pinda1504.jpg)
Waziri Mkuu Mizengo Pinda.
Tamasha la Mkoa wa Mtwara, ‘Mtwara Festival’, linatarajia kufungua milango ya fursa kwa wakazi wa mikoa ya Mtwara na Lindi katika kuziona fursa kadhaa kwenye sekta ya Utalii na Uchumi.Tamasha hilo linatarajiwa kufanyika kwa siku mbili kuanzia mwezi Agosti 16 na 17 mwaka huu kwenye uwanja wa Nangwanda Sijaona ulipo Mtwara mjini. Mgeni rasmi katika Tamasha hilo anatarajiwa kuwa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda huku likiwa na kauli mbiu isemayo ‘Fursa Zimefunguka,...
10 years ago
Habarileo25 Apr
Wahimizwa kuchangamkia biashara Comoro
WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, amewahimiza wafanyabiashara wa Tanzania kuchangamkia fursa za biashara na uwekezaji Visiwani Comoro, kwani uhusiano baina ya nchi hizo mbili umeimarika.
10 years ago
MichuziWANAWAKE MKOANI LINDI WATAKIWA KUKAMATIA FURSA KWA KUJIUNGA NA CHF-RC LINDI
9 years ago
Habarileo14 Oct
JK aitaka Tanesco kuchangamkia fursa
RAIS Jakaya Kikwete amezindua kituo cha kufua umeme kwa mitambo ya gesi asilia cha Kinyerezi I na kutaka Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), kuchangamkia fursa ya upungufu wa umeme Afrika ili kuwa na uhakika wa mapato.
10 years ago
Habarileo24 Feb
Vijana watakiwa kuchangamkia fursa
VIJANA wametakiwa kuchangamkia fursa mbalimbali za kujiajiri kupitia lugha ya Kiswahili ili kukikuza ndani na nje ya nchi.
10 years ago
Uhuru Newspaper22 Apr
Vijana washauriwa kuchangamkia fursa
Na Genofeva Matemu, Maelezo
VIJANA katika Halmashauri ya Wilaya ya Monduli mkoani Arusha, wametakiwa kuimarisha miradi ya mfano inayokopesheka.
Rai hiyo ilitolewa na mhamasishaji kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Ester Riwa, katika semina ya ujasiriamali iliyofanyika katika Kata ya Monduli Juu.
Alisema Mfuko wa Maendeleo ya Vijana umekuwa ukiwawezesha vijana, hivyo wanatakiwa kubuni miradi ili waweze kukopesheka.
Ester aliwataka vijana kuwa na mwamko utakaowawezesha...