Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wahimizwa kuchangamkia biashara Comoro

Waziri wa Mambo ya Nje, Bernad Membe.WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, amewahimiza wafanyabiashara wa Tanzania kuchangamkia fursa za biashara na uwekezaji Visiwani Comoro, kwani uhusiano baina ya nchi hizo mbili umeimarika.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

Wadau barani Afrika wahimizwa kuchangamkia fursa za biashara

Wadau wa sekta ya uchumi barani Afrika wamehimizwa kuzichangamkia fursa za biashara na masoko kwa kuzingatia uwekezaji madhubuti ili kukuza uchumi wa nchi zao.

Wito huo umetolewa jijini Nairobi na meneja masoko  wa kampuni ya Kenya airways Chris Diaz, akijielekeza zaidi kuzungumzia wajibu wa makampuni ya kibiashara barani Afrika kuzisaidia nchi za kiafrika kufanikisha mpango wa maendeleo wa 2030.

Mpango wa miaka kumi na tano ulioainishwa na Umoja wa mataifa hivi karibuni ukilenga kumaliza...

 

10 years ago

Michuzi

Membe awahimiza Watanzania kuchangamkia fursa za kibiashara na kuwekeza katika Visiwa vya Comoro

 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) amewahimiza wafanyabiashara wa Tanzania kuchangamkia fursa za biashara na uwekezaji Visiwani Comoro kwani uhusiano baina ya nchi hizi mbili umeimarika.  Mhe. Membe alitoa kauli hiyo wakati akilihutubia Kongamano la Biashara baina ya Tanzania na Comoro lililoandaliwa na Balozi za Tanzania na Comoro kwa kushirikiana na sekta binafsi za nchi hizo mbili jijini Moroni, Comoro tarehe 23 Aprili, 2015.  “Watanzania...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mtwara, Lindi wahimizwa kuchangamkia fursa

WANANCHI wa mikoa ya Lindi na Mtwara, wametakiwa kuchangamkia fursa zinazotokana na kuongezeka kwa uwekezaji katika mikoa hiyo kutokana na kugundulika kwa gesi asilia. Akizungumza na Waandishi wa Habari katika...

 

10 years ago

Vijimambo

Watanzania wahimizwa kuchangamkia fursa za ajira, Emirates

Mkurugenzi wa Idara ya Mashariki ya Kati katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Balozi Simba Yahya akizungumza na waandishi wa Habari katika ukumbi wa Habari-Maelezo. Balozi Yahya aliwaomba wanahabari hao kuwafikishia ujumbe Watanzania wote ili wachangamkie fursa za ajira katika Shirika la Ndege la Emirates. Wengine katika picha, kulia ni Konseli Mkuu wa Konseli ya Tanzania nchini Dubai Bw. Omar Mjenga na kushoto ni Kaimu Mkuu Mtendaji kutoka Wakala wa Huduma za Ajira...

 

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI CHIZA AHUDHURIA KONGAMANO LA BIASHARA COMORO

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu( Uwekezaji na Uwezeshaji) Mhandisi Christopher Chiza (Mb) akibadilishana mawasiliano na baadhi ya wafanyabiashara waliowasili Visiwa vya Comoro kwa ajili ya kushiriki katika Kongamano la Biashara na Uwekezaji kati ya Tanzania na Comoro, linalotarajiwa kufanyika tarehe 23 Aprili, 2015. Kushoto ni Balozi wa Tanzania Visiwa vya Comoro, Chabaka Kilumanga. Waziri wa NChi Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji na Uwezeshaji, Mhandisi Christopher  Chiza akiwa na...

 

5 years ago

Michuzi

DC MASASI AWATAKA WAFANYABIASHARA KUCHANGAMKIA FURSA NA NBC BIASHARA CLUB

 MKUU wa Wilaya ya Masasi, Selemani Mzee ameunga mkono jitihada zinazofanywa na Benki ya Taifa ya Biashara (NBC)  kwa kuwakutanisha wafanyabiashara wadogo, wakati na wakubwa.
Mzee amesema, Kuanzishwa kwa NBC Biashara Club liwe ni  ni zoezi endelevu ili liweze kuleta tija katika mkoa wa Masasi.
Ameongeza kusema kuwa, kadri watakavyo hudumia wafanyabiashara ndivyo watakavyozidi kuleta fedha kwenye benki. 
"Wafanyabiashara wa Masasi wawe makini nkuchangamkia fursa zinazojitokeza ili muweze...

 

10 years ago

Michuzi

Waziri Chiza kuhudhuria kongamano Kubwa la Biashara Visiwa vya Comoro

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji na Uwezeshaji) Mhe. Mhandisi Christopher Chiza (Mb) ahudhuria Kongamano Kubwa la Biashara kati ya Comoro na Tanzania, litakalofanyika tarehe 23 Aprili, 2015 Visiwani Comoro.
Lengo kuu la kongamano hilo ni “kuongeza kiwango cha biashara na uwekezaji kati ya Tanzania na Comoro kwa kutambua fursa zilizopo kati ya nchi hizi mbili na kurasimisha biashara ambayo kwa sasa hairatibiwi”.
Kongamano hilo ambalo litawakutanisha viongozi, maafisa...

 

10 years ago

Vijimambo

WAFANYABIASHARA MKOANI SHINYANGA WATAKIWA KUCHANGAMKIA FURSA ZA BIASHARA KATIKA MIGODI YA ACACIA

Meneja Mkuu wa Mgodi wa Dhahabu wa Buzwagi Injini Philbert Rweyemamu akizungumza na wafanyabiashara wa mkoa wa Shinyanga wakati wa kikao na wafanyabiashara hao kilichokuwa na lengo la kuwapatia ufahamu juu ya masuala ya manunuzi.Bwana Nixson Mlumba – AfisaManunuzi wa ACACIA akifafanua jambo wakati wa Kikao hicho Baadhi ya Wafanyabiashara wakifuatilia kwa makini maelezo ya kutoka kwa Uongozi wa Kampuni ya Acacia wakati wa Kikao hicho. Mmoja wa wafanyabiashara wa mkoa wa Shinyanga akichangia...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mbeya wahimizwa kusajili majina ya biashara zao

WAFANYABIASHARA mkoani Mbeya, wametakiwa kusajili majina ya biashara zao kama moja ya njia ya kuzirasimisha na hatimaye kuwa na uwezo wa kufaidika na huduma za kibenki. Rai hiyo ilitolewa mjini...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani