JK aitaka Tanesco kuchangamkia fursa
RAIS Jakaya Kikwete amezindua kituo cha kufua umeme kwa mitambo ya gesi asilia cha Kinyerezi I na kutaka Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), kuchangamkia fursa ya upungufu wa umeme Afrika ili kuwa na uhakika wa mapato.
habarileo
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-fF26g4OBHLg/XkkmSopY9BI/AAAAAAABzBM/njqcjJhMNq4-jgJtBWaXkEh2zOc_Qm6JQCLcBGAsYHQ/s72-c/ome2.jpg)
BAADA YA KUFIKISHA UMEME VIJIJINI TANESCO YAZIDISHA KAMPENI YA KUWAHAMASISHA WANAVIJIJI KUCHANGAMKIA FURSA HIYO
SHIRIKA la umeme Tanzania TANESCO kupitia idara ya masoko imeanza zoezi la kutoa elimu kwa wananchi wa wilaya na vijiji vya mkoa wa Tabora.Lengo la utoaji huo wa elimu ni kuwaelimisha wananchi wanaopitiwa na mradi wa REA awamu ya tatu(REAIII) kufahamu taratibu za kuunganishiwa umeme pamoja kuchangamkia fursa za mradi kabla hazijaisha. Miongoni mwa wilaya ambazo tayari zimepitiwa na na sasa ziko kenye zoezi hilo la kupatiwa elimu ni wilaya ya Uyui, Sikonge, na baadae zitafuatiwa na wilaya ya...
10 years ago
Habarileo24 Feb
Vijana watakiwa kuchangamkia fursa
VIJANA wametakiwa kuchangamkia fursa mbalimbali za kujiajiri kupitia lugha ya Kiswahili ili kukikuza ndani na nje ya nchi.
10 years ago
Uhuru Newspaper22 Apr
Vijana washauriwa kuchangamkia fursa
Na Genofeva Matemu, Maelezo
VIJANA katika Halmashauri ya Wilaya ya Monduli mkoani Arusha, wametakiwa kuimarisha miradi ya mfano inayokopesheka.
Rai hiyo ilitolewa na mhamasishaji kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Ester Riwa, katika semina ya ujasiriamali iliyofanyika katika Kata ya Monduli Juu.
Alisema Mfuko wa Maendeleo ya Vijana umekuwa ukiwawezesha vijana, hivyo wanatakiwa kubuni miradi ili waweze kukopesheka.
Ester aliwataka vijana kuwa na mwamko utakaowawezesha...
10 years ago
Tanzania Daima31 Oct
Wafanyabiashara wadogo watakiwa kuchangamkia fursa
WAFANYABIASHARA wadogo wadogo wametakiwa kutumia fursa wanazozipata ili kujiendeleza katika biashara zao kwa lengo la kupanua wigo ndani na nje ya nchi. Rai hiyo imetolewa jijini Dar es Salaam jana...
11 years ago
Dewji Blog22 Apr
Watanzania wametakiwa kuchangamkia fursa za uwekezaji
Ofisa utumishi Mkuu Wilaya ya kinondoni Bwana Godfrey Mugomi akikata utepe kuashiaria uzinduzi wa Hoteli ya kisasa STAR CITY HOTEL iliyopo Afrikana Sinza wanaoshudia ni Mkurugezi mkuu na mmiliki wa Hoteli hiyo Bwana Obadia Mtewele na Mkewe Joyce Msigwa hoteli hiyo ya kisasa inayo uwezo wa kupokea wageni kutoka nje ya nchi na ndani ya nchi.
Muhudumu aliye fuzu katika kazi za Hoteli akiandaa vyombo kwa ajili ya wageni.
11 years ago
Tanzania Daima28 May
Wanawake Mtwara watakiwa kuchangamkia fursa
WANAWAKE mkoani Mtwara wametakiwa kuchangamkia fursa za ujasiriliamali kutokana na wingi wa watu na makampuni ya uwekezaji. Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake jana, Mwenyekiti wa muda wa Taasisi...
11 years ago
Tanzania Daima21 Jun
Mtwara, Lindi wahimizwa kuchangamkia fursa
WANANCHI wa mikoa ya Lindi na Mtwara, wametakiwa kuchangamkia fursa zinazotokana na kuongezeka kwa uwekezaji katika mikoa hiyo kutokana na kugundulika kwa gesi asilia. Akizungumza na Waandishi wa Habari katika...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-XfdkI1H6L9c/XlvZq5NNtGI/AAAAAAALgPE/Kfa_I0QaelkAMSIDDmOYEKReo0BoCSAbwCLcBGAsYHQ/s72-c/eb0decb5-093a-415f-a395-413aaafb7433.jpg)
WATANZANIA WATAKIWA KUCHANGAMKIA FURSA KILI MARATHON.
![](https://1.bp.blogspot.com/-XfdkI1H6L9c/XlvZq5NNtGI/AAAAAAALgPE/Kfa_I0QaelkAMSIDDmOYEKReo0BoCSAbwCLcBGAsYHQ/s640/eb0decb5-093a-415f-a395-413aaafb7433.jpg)
Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla akionesha Nishani aliyopewa mara baada ya kumaliza mbio za Kilometa 21 kwenye mbio za Kili Marathon leo mjini Moshi.
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/03/2bbfb08c-29d1-455d-a8bb-d37c553e8cac.jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-nHGnO5J2rNo/XlvZfGZzPyI/AAAAAAALgPA/KvIiIYWJ7B4iK9f-8xGAHJ4Oc-f9SVyvACLcBGAsYHQ/s640/2bc7262c-42d3-4472-87ad-4a74096c1925.jpg)
KILI MARATHON 2020: Waziri wa Maliasili na Utalii Dk. Hamisi Kigwangalla akishiriki mbio za Kili Marathon ( KM 21) mjini Moshi leo.
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/03/c08831dc-c199-4cb5-a5cb-e13b04ba822f.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/03/d50c6fd8-9e5e-41f2-a9e7-4fa9dc5f5600.jpg)
Na. Aron Msigwa – WMU, Moshi.
Waziri wa Maliasili na Utalii...
5 years ago
MichuziWaziri Mwakyembe ahimiza watanzania kuchangamkia fursa