Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Vijana washauriwa kuchangamkia fursa


Na Genofeva Matemu, Maelezo 
VIJANA katika Halmashauri ya Wilaya ya Monduli mkoani Arusha, wametakiwa kuimarisha miradi ya mfano inayokopesheka.
Rai hiyo ilitolewa na mhamasishaji kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Ester Riwa, katika semina ya ujasiriamali iliyofanyika katika Kata ya Monduli Juu.
Alisema Mfuko wa Maendeleo ya Vijana umekuwa ukiwawezesha vijana,  hivyo wanatakiwa kubuni miradi ili waweze kukopesheka.
Ester aliwataka vijana kuwa na mwamko utakaowawezesha...

Uhuru Newspaper

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Vijana Manispaa ya Kigoma Ujiji wahamasishwa kuchangamkia fursa za mfuko wa Maendeleo ya Vijana

Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa ya Kigoma Ujiji ambaye pia ni Mkuu wa Idara ya Maendleo ya Jamii Bw. Xavier Keebwe akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo kwa vijana kuhusu Sera ya maendeleo ya Vijana, Stadi za Maisha,Ujuzi, Mwongozo wa Mfuko wa Maendeleo ya Vijana yaliyotolewa na wawezeshaji kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo ambapo jumla ya zaidi ya Vijana 60 kutoka katika halmashauri za Manispaa ya Kigoma Ujiji, Halmashauri ya Wilaya ya Uvinza na Kigoma Vijini...

 

10 years ago

Habarileo

Vijana watakiwa kuchangamkia fursa

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk Fenella MukangaraVIJANA wametakiwa kuchangamkia fursa mbalimbali za kujiajiri kupitia lugha ya Kiswahili ili kukikuza ndani na nje ya nchi.

 

11 years ago

Michuzi

MKUU WA WILAYA YA SHINYANGA AWATAKA VIJANA KUCHANGAMKIA FURSA ZINAZOTOLEWA NA UMOJA WA MATAIFA

P1130382 Afisa habari kitengo cha habari Umoja wa mataifa nchini Tanzania(UNIC) Bi. Usia Nkhoma Ledama akizungumza katika viwanja vya Mazingira Senta mjini Shinyanga kwenye warsha ya siku moja iliyokutanisha shule 10 za sekondari, vyuo na walimu kutoka katika shule na vyuo hivyo vilivyopo katika manispaa ya Shinyanga, ambapo alisema Umoja wa Mataifa(UN) unalipa suala la elimu kipaumbele sana kwa wanafunzi hivyo kuwataka wanafunzi kuwa na malengo katika maisha yao kwa kusoma kwa bidii,kuepuka...

 

11 years ago

GPL

MKUU WA WILAYA YA SHINYANGA AWATAKA VIJANA KUCHANGAMKIA FURSA ZINAZOTOLEWA NA UMOJA WA MATAIFA‏

Afisa habari kitengo cha habari Umoja wa mataifa nchini Tanzania(UNIC) Bi. Usia Nkhoma Ledama akizungumza katika viwanja vya Mazingira Senta mjini Shinyanga kwenye warsha ya siku moja iliyokutanisha shule 10 za sekondari, vyuo na walimu kutoka katika shule na vyuo hivyo vilivyopo katika manispaa ya Shinyanga, ambapo alisema Umoja wa Mataifa(UN) unalipa suala la elimu kipaumbele sana kwa wanafunzi hivyo kuwataka wanafunzi kuwa na...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Washauriwa kuchangamkia mfunzo

MWAMKO mdogo wa wajasiriamali katika kujitokeza kwenye mafunzo yanayotolewa bure, umetajwa kuwa chanzo kikubwa cha kushindwa kupamabana na umasikini. Kauli hiyo imetolewa na Meneja wa Shirika la Viwanda Vidogo Vidogo (Sido) mkoani...

 

9 years ago

Michuzi

AIRTEL FURSA YAENDELEA KUKWAMUA VIJANA HAPA NCHINI: Vijana wa Tanga wanufaika na mafunzo ya ujasiriamali kupitia Airtel Fursa

Wafanyabishara wadogo na wa kati zaidi ya 300 waliopo katika wilaya mbali mbali mkoani Tanga wameongezewa ujuzi wa elimu ya biashara ili waweze kufanya shughuli zao kwa ufanisi na kuweza kuongezaza kipato chao na kuchangia pato la taifa.  Kampuni ya Airtel Tanzania, kupitia mpango wake wa “Airtel Fursa Tunakuwezesha” imewapatia mafunzo ya ujasiriamali vijana wa manispaa ya Tanga kwa lengo la kuwawezesha kuboresha uendeshaji biashara na kukuza mitaji yao katika warsha iliyofanyika katika...

 

9 years ago

Habarileo

JK aitaka Tanesco kuchangamkia fursa

RAIS Jakaya Kikwete amezindua kituo cha kufua umeme kwa mitambo ya gesi asilia cha Kinyerezi I na kutaka Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), kuchangamkia fursa ya upungufu wa umeme Afrika ili kuwa na uhakika wa mapato.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wafanyabiashara wadogo watakiwa kuchangamkia fursa

WAFANYABIASHARA wadogo wadogo wametakiwa kutumia fursa wanazozipata ili kujiendeleza katika biashara zao kwa lengo la kupanua wigo ndani na nje ya nchi. Rai hiyo imetolewa jijini Dar es Salaam jana...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wanawake Mtwara watakiwa kuchangamkia fursa

WANAWAKE mkoani Mtwara wametakiwa kuchangamkia fursa za ujasiriliamali kutokana na wingi wa watu na makampuni ya uwekezaji. Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake jana, Mwenyekiti wa muda wa Taasisi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani