MKUU WA WILAYA YA SHINYANGA AWATAKA VIJANA KUCHANGAMKIA FURSA ZINAZOTOLEWA NA UMOJA WA MATAIFA
Afisa habari kitengo cha habari Umoja wa mataifa nchini Tanzania(UNIC) Bi. Usia Nkhoma Ledama akizungumza katika viwanja vya Mazingira Senta mjini Shinyanga kwenye warsha ya siku moja iliyokutanisha shule 10 za sekondari, vyuo na walimu kutoka katika shule na vyuo hivyo vilivyopo katika manispaa ya Shinyanga, ambapo alisema Umoja wa Mataifa(UN) unalipa suala la elimu kipaumbele sana kwa wanafunzi hivyo kuwataka wanafunzi kuwa na malengo katika maisha yao kwa kusoma kwa bidii,kuepuka...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/03/P1130382.jpg)
MKUU WA WILAYA YA SHINYANGA AWATAKA VIJANA KUCHANGAMKIA FURSA ZINAZOTOLEWA NA UMOJA WA MATAIFA
10 years ago
Dewji Blog10 Feb
Mwanahabari Frank kibiki awataka vijana kufanya kazi kwa bidii na kutumia fursa zinazotolewa na serikali
Mwanahabari Frank Kibiki akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake.
Na Mwandishi wetu, Iringa
MWANAHABARI Frank Kibiki, aliyewahi kuwa Katibu wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) ngazi ya wilaya kwa zaidi ya miaka 10.
Akizungumza na mtandao huu mwanahabari Frank Kibiki, alisema kuwa vijana wengi wamekuwa wakibweteka kwa kutojituma kufanya kazi na kuendelea kuilaumu serikali.
“Eti asubuhi unawakuta vijana wamekaa kwenye vijiwe wakizungumza siasa na kucheza mabao wakati...
10 years ago
Vijimambo09 Jul
FURSA ZA AJIRA KWA VIJANA UMOJA WA MATAIFA
![](http://vignette2.wikia.nocookie.net/godzilla/images/e/ef/U.N._Logo.jpg/revision/latest?cb=20141002175403)
What is the UN Young Professionals Programme?The Young Professionals Programme (YPP) is a recruitment initiative for talented, highly qualified professionals to start a career as an international civil servant with the United Nations Secretariat. It consists of an entrance examination and professional development programmes once successful candidates start their career with the UN.Who can apply?Any...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-AWO_7VoQ9fc/VOJZQPD2krI/AAAAAAAHEGU/Luxi2r9403A/s72-c/PIX1.jpg)
Vijana Manispaa ya Kigoma Ujiji wahamasishwa kuchangamkia fursa za mfuko wa Maendeleo ya Vijana
![](http://3.bp.blogspot.com/-AWO_7VoQ9fc/VOJZQPD2krI/AAAAAAAHEGU/Luxi2r9403A/s1600/PIX1.jpg)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-rYC1B31H6Vk/XmvQAlviRGI/AAAAAAABMvo/fx9kFzJo23Iecj46H4ijSBTwxO6PItMewCNcBGAsYHQ/s72-c/01.jpg)
DC MASASI AWATAKA WAFANYABIASHARA KUCHANGAMKIA FURSA NA NBC BIASHARA CLUB
Mzee amesema, Kuanzishwa kwa NBC Biashara Club liwe ni ni zoezi endelevu ili liweze kuleta tija katika mkoa wa Masasi.
Ameongeza kusema kuwa, kadri watakavyo hudumia wafanyabiashara ndivyo watakavyozidi kuleta fedha kwenye benki.
"Wafanyabiashara wa Masasi wawe makini nkuchangamkia fursa zinazojitokeza ili muweze...
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-Tw81UHILW7g/Vb836EeOjUI/AAAAAAAAS3Y/ryFyCNXSYNY/s72-c/unnamed.jpg)
WAFANYABIASHARA MKOANI SHINYANGA WATAKIWA KUCHANGAMKIA FURSA ZA BIASHARA KATIKA MIGODI YA ACACIA
![](http://1.bp.blogspot.com/-Tw81UHILW7g/Vb836EeOjUI/AAAAAAAAS3Y/ryFyCNXSYNY/s640/unnamed.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-QH3Ap0l4u-A/Vb83o5NY4sI/AAAAAAAAS2o/mOCVUJ-rGdY/s640/1.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-xWcg3a1yFqU/Vb83o35ghoI/AAAAAAAAS2k/DFxWzfDwO18/s640/2.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-SqBfiynwYt4/Vb83ozNkBBI/AAAAAAAAS2g/8waExSdjUOM/s640/3.jpg)
9 years ago
Dewji Blog22 Sep
Tanzania yang’ara Kimataifa,Asasi yake yatwaa tuzo ya Ikweta 2015 zinazotolewa na Umoja wa Mataifa-UN
Bi. Helen Clark, Mkuu wa Mfuko wa Maendeleo wa Umoja wa Mataifa ( UNDP) akiwatangaza washindi wa Tuzo ya Ikweta ambayo hutolewa na Umoja Mataifa kwa NGO ambazo zinajihusisha na utunzaji wa mazingira, ulinzi na uhifadhi wa misitu, matumizi bora na endelevu ya ardhi na mali asili na kupiga vita umaskini.Tuzo ya mwaka huu wa 2015 ambayo ni dola za kimarekani 10, 000 kwa kila mshindi inakwenda kwa NGO 21 ambapo NGO ya Tanzania ijulikanayo kama Mtandao wa Jamii wa Usimamizi wa Misitu...
9 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-C-LhNBiBgLE/VhU7XeGGsuI/AAAAAAAADp8/nQm2waBjSXs/s72-c/OTH_1942.jpg)
LOWASSA AWATAKA WATANZANIA KUCHANGAMKIA FURSA ZA AJIRA ZITOLEWAZO NA AFRIKA MASHARIKI
Kauli hiyo ilitolewa jana na mgombea wa Urais kupitia Chadema, Edward Lowassa alipokuwa kwenye kampeni zake zilizofanyika katika uwanja wa Shule ya Msingi Namanga.
Lowassa alisema iwapo atachaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, atahakikisha kuwa watanzania wanachangamkia fursa za Afrika Mashariki kama ilivyo kwa Kenya.
"Napenda mahusiano ya Afrika...
10 years ago
Habarileo24 Feb
Vijana watakiwa kuchangamkia fursa
VIJANA wametakiwa kuchangamkia fursa mbalimbali za kujiajiri kupitia lugha ya Kiswahili ili kukikuza ndani na nje ya nchi.