BAADA YA KUFIKISHA UMEME VIJIJINI TANESCO YAZIDISHA KAMPENI YA KUWAHAMASISHA WANAVIJIJI KUCHANGAMKIA FURSA HIYO
![](https://1.bp.blogspot.com/-fF26g4OBHLg/XkkmSopY9BI/AAAAAAABzBM/njqcjJhMNq4-jgJtBWaXkEh2zOc_Qm6JQCLcBGAsYHQ/s72-c/ome2.jpg)
SHIRIKA la umeme Tanzania TANESCO kupitia idara ya masoko imeanza zoezi la kutoa elimu kwa wananchi wa wilaya na vijiji vya mkoa wa Tabora.
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo14 Oct
JK aitaka Tanesco kuchangamkia fursa
RAIS Jakaya Kikwete amezindua kituo cha kufua umeme kwa mitambo ya gesi asilia cha Kinyerezi I na kutaka Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), kuchangamkia fursa ya upungufu wa umeme Afrika ili kuwa na uhakika wa mapato.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-kiI10aL6MTc/XvS-6qQVuKI/AAAAAAALvb8/wWMJegT0kewF1e6of-c_2-SUTpaOGXDqQCLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-06-25%2Bat%2B5.43.49%2BPM.jpeg)
WANANCHI BUHIGWE WATAKIWA KUCHANGAMKIA FURSA YA KUWEKA UMEME KWA SHILINGI 27 ELFU
Na Editha Karlo,Buhigwe.
WANANCHI wa Wilayani Buhigwe Mkoani hapa wametakiwa kuchangamkia fursa ya uwekaji umeme katika nyumba zao kwa sh.27,000 kupitia Wakala wa Umeme Vijijini (REA).
Akizungumza leo na wananchi walipotembelea vijiji vya Munzeze, Kishanga, Kinazi na kimara vilivyopo wilayani humo, wakati akitoa elimu ya mradi wa REA kwa wananchi, Afisa masoko kutoka Shirika la Umeme Tanzania, makao makuu Dar Es Salaam, Neema Mbuja amesema wananchi waache kujiunganishia umeme bila...
10 years ago
Vijimambo03 Jul
NHC YANYANGANYA MASHINE ZA KUFYATULIA MATOFARI BAADA YA HALMASHAURI ZA MIKOA BAADA YA KUSHINDWA KUTUMIA FURSA HIYO
![New Picture (1)](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/07/New-Picture-1.png)
![New Picture (2)](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/07/New-Picture-2.png)
11 years ago
Dewji Blog23 Jun
Tanesco kushirikiana na REA kupeleka umeme vijijini
Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Charles Mhangwa Kitwanga, akizungumza na wananchi wa kijiji cha Kayui kata ya Mitundu jimbo la Manyoni magharibi.
Na Nathaniel Limu, Manyoni
SERIKALI imeliagiza shirika la TANESCO lishirikiane na REA,kufanya usanifu wa kina juu ya gharama halisi ya utoaji wa huduma ya umeme katika kila kijiji nchini ili kuijengea mazingira mazuri serikali iweze kufahamu kiasi cha fedha kitakachokidhi mahitaji.
Agizo hilo limetolewa hivi karibuni na Naibu Waziri wa...
10 years ago
Michuzi03 Jul
NHC yanyang’anya mashine za kufyatulia matofari baada ya Halmashauri za Mikoa kushindwa kutumia fursa hiyo
Kwa ujumla, vijana wana ari ya kutosha ingawa wana changamoto zinazohitaji msukumo wa Halmashauri zao, hasa za masoko ya matofali yao pamoja na mtaji wa kuwawezesha kuendelea na uzalishaji wa benki ya matofali ya kuuzia wananchi.
Katika ziara ya NHC Wakurugenzi Watendaji wa...
9 years ago
StarTV12 Oct
Serikali yatakiwa kufikisha Elimu ya uraia kwa wanafunzi vijijini
Serikali na asasi zinazojishughulisha kutoa elimu ya uraia kuhusu masuala ya upigaji kura wametakiwa kuyafikia makundi ya wanafunzi wa sekondari waliofikisha umri wa kupiga kura pamoja na wakazi walio maeneo ya vijijini ili waweze kupiga kura kwa usahihi.
Elimu hiyo inahusu namna ya kuzingatia taratibu ndani ya chumba cha kupigia kura ikiwa na nia ya kuzuia uharibifu wa kura unaoweza kutokea kwa kukosa elimu ya namna hiyo.
Wakizungumza wakati wakitoa elimu ya jinsi ya kupiga kura katika...
10 years ago
Uhuru Newspaper22 Apr
Vijana washauriwa kuchangamkia fursa
Na Genofeva Matemu, Maelezo
VIJANA katika Halmashauri ya Wilaya ya Monduli mkoani Arusha, wametakiwa kuimarisha miradi ya mfano inayokopesheka.
Rai hiyo ilitolewa na mhamasishaji kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Ester Riwa, katika semina ya ujasiriamali iliyofanyika katika Kata ya Monduli Juu.
Alisema Mfuko wa Maendeleo ya Vijana umekuwa ukiwawezesha vijana, hivyo wanatakiwa kubuni miradi ili waweze kukopesheka.
Ester aliwataka vijana kuwa na mwamko utakaowawezesha...
10 years ago
Habarileo24 Feb
Vijana watakiwa kuchangamkia fursa
VIJANA wametakiwa kuchangamkia fursa mbalimbali za kujiajiri kupitia lugha ya Kiswahili ili kukikuza ndani na nje ya nchi.
11 years ago
Dewji Blog22 Apr
Watanzania wametakiwa kuchangamkia fursa za uwekezaji
Ofisa utumishi Mkuu Wilaya ya kinondoni Bwana Godfrey Mugomi akikata utepe kuashiaria uzinduzi wa Hoteli ya kisasa STAR CITY HOTEL iliyopo Afrikana Sinza wanaoshudia ni Mkurugezi mkuu na mmiliki wa Hoteli hiyo Bwana Obadia Mtewele na Mkewe Joyce Msigwa hoteli hiyo ya kisasa inayo uwezo wa kupokea wageni kutoka nje ya nchi na ndani ya nchi.
Muhudumu aliye fuzu katika kazi za Hoteli akiandaa vyombo kwa ajili ya wageni.