Serikali yatakiwa kufikisha Elimu ya uraia kwa wanafunzi vijijini
Serikali na asasi zinazojishughulisha kutoa elimu ya uraia kuhusu masuala ya upigaji kura wametakiwa kuyafikia makundi ya wanafunzi wa sekondari waliofikisha umri wa kupiga kura pamoja na wakazi walio maeneo ya vijijini ili waweze kupiga kura kwa usahihi.
Elimu hiyo inahusu namna ya kuzingatia taratibu ndani ya chumba cha kupigia kura ikiwa na nia ya kuzuia uharibifu wa kura unaoweza kutokea kwa kukosa elimu ya namna hiyo.
Wakizungumza wakati wakitoa elimu ya jinsi ya kupiga kura katika...
StarTV
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi
BAADA YA KUFIKISHA UMEME VIJIJINI TANESCO YAZIDISHA KAMPENI YA KUWAHAMASISHA WANAVIJIJI KUCHANGAMKIA FURSA HIYO
SHIRIKA la umeme Tanzania TANESCO kupitia idara ya masoko imeanza zoezi la kutoa elimu kwa wananchi wa wilaya na vijiji vya mkoa wa Tabora.Lengo la utoaji huo wa elimu ni kuwaelimisha wananchi wanaopitiwa na mradi wa REA awamu ya tatu(REAIII) kufahamu taratibu za kuunganishiwa umeme pamoja kuchangamkia fursa za mradi kabla hazijaisha. Miongoni mwa wilaya ambazo tayari zimepitiwa na na sasa ziko kenye zoezi hilo la kupatiwa elimu ni wilaya ya Uyui, Sikonge, na baadae zitafuatiwa na wilaya ya...
11 years ago
Dewji Blog27 Apr
‘Ushirikina’ Wakwamisha Mapambano ya Mimba kwa Wanafunzi Mbeya Vijijini
Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Msingi Usoha Njiapanda iliyopo Mbeya Vijijini.

Mwenyekiti wa Kijiji cha Usoha Njiapanda, , Willson Mwamunyila (katikati) akizungumza na mwandishi wa habari hizi kijijini kwake.

Baadhi ya wanakijiji wa Kijiji cha Usoha Njiapanda wakiwa katika mkutano na mwanahabari hizi.
VITISHO na hofu ya vitendo vya ushirikina imebainika kuwa vikwanzo vya mapambano ya baadhi ya watu wanaowatia mimba wanafunzi wa shule za msingi na sekondari katika Kata ya Tembela...
10 years ago
Michuzi
MABARAZA YA WAFANYAKAZI TAASISI ZA ELIMU YA JUU YATAKIWA KUFANYA KAZI KWA WELEDI


10 years ago
Dewji Blog17 Apr
Mh. Mwigulu ayataka mabaraza ya wafanyakazi ya taasisi za elimu ya juu yatakiwa kufanya kazi kwa weledi
Naibu Waziri wa Fedha (Sera) Mhe. Mwigulu Nchemba (katikati) akiwa ameambatana na Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Uhasibu Tanzania Dkt. Joseph Kihanda (kulia) na Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri ya Wizara Prof. Isaya Jairo kabla ya kuzindua Baraza la Pili la Wafanyakazi wa Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) lililojumuisha wawakilishi kutoka matawi 6 ya taasisi hiyo katika mikoa ya Kigoma, Singida, Mwanza , Mtwara, Dar es salaam na Mbeya.
11 years ago
Uhuru Newspaper01 Jul
Serikali yatakiwa kusimamia gesi kwa maendeleo ya taifa
NA MWANDISHI WETU
SERIKALI imeshauriwa kuwekeza mapato ya rasilimali zake hususan mafuta na gesi ili kuleta maendeleo endelevu kwa manufaa ya kizazi cha sasa na baadaye.
Vile vile imetakiwa kuhaikisha matumizi ya ndani kwenda sambamba na mapato hayo ikiwemo kuongeza tija katika matumizi ya sekta za umma katika ngazi zote.
Mkurugenzi wa kampuni ya Pan African Energy, Patrick Rutabanzibwa, alisema hayo jijini Dar es Salaam jana kwenye mkutano wa kujadili mikakati ya kuhakikisha rasilimali...
5 years ago
Michuzi
BODI YA MIKOPO YATAKIWA KUWA TAYARI KUTOA MIKOPO KWA WANAFUNZI PINDI VYUO VITAKAPOFUNGULIWA



11 years ago
Dewji Blog14 Aug
Serikali yatakiwa kutimiza ahadi za ujenzi wa zahanati kwa kila kata
Diwani wa kata ya Ololosokwani na Mkurugenzi wa Irkiramat Foundation (RAMAT) Bw. Yannick Ikayo Ndoinyo akiangalia kitanda cha kujifungulia wakimama kwenye Zahanati ya Sero ambayo kwa siku inatibu wagonjwa 50 na zaidi ikiwa na daktari mmoja huku wakazi wanaofuata huduma hiyo kutoka kata hiyo na ya jirani Soitosambu kutembea umbali mrefu kwa Kilometa 7-15 kupata huduma ya afya.(Picha Zainul Mzige wa MOblog)
Na Mwandishi wetu, Ngorongoro
Wakazi wa vijiji vya Ololosokwan, Soit-Sambu, Njoroi na...
11 years ago
Dewji Blog12 Aug
Serikali wilayani Ngorongoro yatakiwa kutoa ushirikiano kwa redio za kijamii
Mkuu wa wilaya ya Ngorongoro, Elias Wawa Lali akiwakaribisha wadau wa maendeleo ofisini kwake Loliondo walioongozwa na Afisa Miradi ya Mawasiliano, Habari na Tehama wa UNESCO, Bw. Al Amin Yusuph (wa tatu kushoto) aliyefuatana na Meneja Mauzo wa Kampuni a Samsung tawi la Tanzania , Bw. Slyvester Nteere (wa pili kushoto) pamoja na mwakilishi wa Ubalozi wa Uswiss nchini, Bw. Eric Kalunga (kushoto) wakiwa na mwenyeji wao Diwani wa kata ya Ololosokwani, Yannick Ndoinyo (kushoto kwa DC).
Na...
11 years ago
GPL
SERIKALI WILAYANI NGORONGORO YATAKIWA KUTOA USHIRIKIANO KWA REDIO ZA KIJAMII