‘Ushirikina’ Wakwamisha Mapambano ya Mimba kwa Wanafunzi Mbeya Vijijini
Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Msingi Usoha Njiapanda iliyopo Mbeya Vijijini.
![Mwenyekiti wa Kijiji cha Usoha Njiapanda, , Willson Mwamunyila (katikati) akizungumza na mwandishi wa habari hizi kijijini kwake.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/04/IMG_0458-Copy.jpg)
Mwenyekiti wa Kijiji cha Usoha Njiapanda, , Willson Mwamunyila (katikati) akizungumza na mwandishi wa habari hizi kijijini kwake.
![Baadhi ya wanakijiji wa Kijiji cha Usoha Njiapanda wakiwa katika mkutano na mwanahabari hizi.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/04/IMG_0452-Copy.jpg)
Baadhi ya wanakijiji wa Kijiji cha Usoha Njiapanda wakiwa katika mkutano na mwanahabari hizi.
VITISHO na hofu ya vitendo vya ushirikina imebainika kuwa vikwanzo vya mapambano ya baadhi ya watu wanaowatia mimba wanafunzi wa shule za msingi na sekondari katika Kata ya Tembela...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog25 Apr
Wanavijiji Mbeya walaumiana udhibiti mimba kwa wanafunzi
Baadhi ya wanakijiji wa kijiji cha Usoha Njiapanda, Wilaya ya Mbeya Vijijini wakizungumza katika mkutano na mwandishi wa habari hizi juu ya changamoto anuai za huduma za kijamii kijijini hapo.
![Mwenyekiti wa Kijiji cha Usoha Njiapanda, Willson Mwamunyila (katikati) pamoja na wanakijiji wenzake wakizungumza na mwandishi wa habari hizi.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/04/IMG_0427.jpg)
Mwenyekiti wa Kijiji cha Usoha Njiapanda, Willson Mwamunyila (katikati) pamoja na wanakijiji wenzake wakizungumza na mwandishi wa habari hizi.
![Mratibu wa Elimu Kata ya Tembela, Antony Mwaikwila akizungumza na mwandishi wa habari hizi.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/04/IMG_0048.jpg)
Mratibu wa Elimu Kata ya Tembela, Antony Mwaikwila akizungumza na mwandishi wa habari hizi.
WANAVIJIJI wa vijiji vya Shibolya, Usoha Njiapanda, Simambwe,...
11 years ago
GPL![](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/04/IMG_0450.jpg)
WANAVIJIJI MBEYA WALAUMIANA UDHIBITI MIMBA KWA WANAFUNZI
10 years ago
Mwananchi04 Feb
Ushirikina wawakimbiza walimu vijijini
9 years ago
StarTV12 Oct
Serikali yatakiwa kufikisha Elimu ya uraia kwa wanafunzi vijijini
Serikali na asasi zinazojishughulisha kutoa elimu ya uraia kuhusu masuala ya upigaji kura wametakiwa kuyafikia makundi ya wanafunzi wa sekondari waliofikisha umri wa kupiga kura pamoja na wakazi walio maeneo ya vijijini ili waweze kupiga kura kwa usahihi.
Elimu hiyo inahusu namna ya kuzingatia taratibu ndani ya chumba cha kupigia kura ikiwa na nia ya kuzuia uharibifu wa kura unaoweza kutokea kwa kukosa elimu ya namna hiyo.
Wakizungumza wakati wakitoa elimu ya jinsi ya kupiga kura katika...
10 years ago
Habarileo21 Dec
Utoro wa walimu, wanafunzi wakwamisha BRN Kigoma
WAKATI Serikali ikiwa katika utekelezaji wa Matokeo Makubwa Sasa huku sekta ya elimu ikiwa ni moja ya sekta sita zinazotekeleza mpango huo imeelezwa kuwa utoro wa walimu na wanafunzi umeufanya mkoa Kigoma kushindwa kufikia malengo ya utekelezaji wa mpango huo.
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-I85y0IMOUpo/XkoZ0SSkmLI/AAAAAAAAmu8/kxt8Jxnc4q0b-kivdQeb4VCLt3tyvn7SQCEwYBhgL/s72-c/97dc2a5c-a144-4e22-9803-7505fbd7b683.jpg)
PROF. ANNA TIBAIJUKA APONGEZA KUPUNGUA KWA MIMBA WANAFUNZI KAGERA
![](https://1.bp.blogspot.com/-I85y0IMOUpo/XkoZ0SSkmLI/AAAAAAAAmu8/kxt8Jxnc4q0b-kivdQeb4VCLt3tyvn7SQCEwYBhgL/s640/97dc2a5c-a144-4e22-9803-7505fbd7b683.jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-96UaWo2frjc/XkoZ0nLsEiI/AAAAAAAAmu8/rsfX74iqNXI1gDuNUzmDM39QCzVu_-KgACEwYBhgL/s640/0a2fbe8b-131d-4c1b-bab0-8a0e446fbdf8.jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-noCSf8wltxI/XkoZnSDwUFI/AAAAAAAAmu4/0_w-G-Xuf5oCOmh69G2TDa586My8yPzXgCEwYBhgL/s640/1cd7595f-e550-44e3-b291-55534ae11d73.jpg)
Na Lydia Lugakila Kagera:-
Mbunge wa Muleba kusini mkoani Kagera Prof Anna Tibaijuka kwa kushirikiana na kamati ya siasa ya wilaya hiyo wamepongeza juhudi za Mwalimu Catherine ambaye ni mkuu wa shule ya Sekondari Rukindo iliyopo wilayani humo kwa kusimamia vema...
10 years ago
MichuziWAMA WAKISHIRIKIANA NA ENGENDER HEALTH WAANDAA SEMINA YA KUZUIA MIMBA ZA UTOTONI KWA WANAFUNZI WA SEKONDARI ZA WILAYA YA TEMEKE.
9 years ago
Dewji Blog02 Jan
“Vitendo vya utoro na mimba kwa wanafunzi Mkoani Singida havivumilikiâ€- Mwenyekiti wa ACT- Wazalendo Anna Mughwira
Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo Taifa, Anna Mughwira, akichangia ajenda zilizokuwa zinatolewa kwenye kikao cha kamati ya maendeleo (RCC) mkoa wa Singida kilichofanyika mjini hapa. Pamoja na mambo mengine, ameviomba vyombo vya habari mkoani, kusaidia kutoa elimu juu ya madhara yanayowapata wanafunzi watoro.(Picha na Nathaniel Limu).
Na Nathaniel Limu, Singida
Mwenyekiti wa chama cha ACT- Wazalendo ,Anna Mughwira amewahimiza waandishi wa habari mkoani hapa, kutumia taaluma yao kuwaelimisha...
10 years ago
MichuziMKUU WA WILAYA YA TEMEKE NDUGU SOPHIA MJEMA AFUNGA RASMI MAFUNZO YA SIKU 5 YA KUZUIA MIMBA ZA UTOTONI KWA WANAFUNZI WA SEKONDARI WILAYANI TEMEKE