Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WANANCHI BUHIGWE WATAKIWA KUCHANGAMKIA FURSA YA KUWEKA UMEME KWA SHILINGI 27 ELFU



Na Editha Karlo,Buhigwe.
WANANCHI wa Wilayani Buhigwe Mkoani hapa wametakiwa kuchangamkia fursa ya uwekaji umeme katika nyumba zao kwa sh.27,000 kupitia Wakala wa Umeme Vijijini (REA).

Akizungumza leo na wananchi walipotembelea vijiji vya Munzeze, Kishanga, Kinazi na kimara vilivyopo wilayani humo, wakati akitoa elimu ya mradi wa REA kwa wananchi, Afisa masoko kutoka Shirika la Umeme Tanzania, makao makuu Dar Es Salaam, Neema Mbuja amesema wananchi waache kujiunganishia umeme bila...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

WANANCHI SINGIDA WATAKIWA KUCHANGAMKIA UMEME WA REA.


Mashimo ya nguzo yakichimbwa.
Upitiaji wa nyaraka za mradi huo ukifanyika.

Mjumbe wa Bodi ya Nishati Vijijini (REA) Henry Mwimbe (kushoto) akipitia nyaraka baada ya kukagua mradi wa usambazaji umeme REA II unaoendelea katika wilaya za Iramba, Mkalama, Ikungi na Singida DC. Kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa Sera na Mipango wa REA, Mhandisi Elineema Mkumbo.
Mhandisi Julius Saady kutoka Kampuni ya Kateth Desco Dynamic Engineering Project Cordinator inayotekeleza mradi huo, akizungumzia hatua...

 

10 years ago

Habarileo

Vijana watakiwa kuchangamkia fursa

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk Fenella MukangaraVIJANA wametakiwa kuchangamkia fursa mbalimbali za kujiajiri kupitia lugha ya Kiswahili ili kukikuza ndani na nje ya nchi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wanawake Mtwara watakiwa kuchangamkia fursa

WANAWAKE mkoani Mtwara wametakiwa kuchangamkia fursa za ujasiriliamali kutokana na wingi wa watu na makampuni ya uwekezaji. Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake jana, Mwenyekiti wa muda wa Taasisi...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wafanyabiashara wadogo watakiwa kuchangamkia fursa

WAFANYABIASHARA wadogo wadogo wametakiwa kutumia fursa wanazozipata ili kujiendeleza katika biashara zao kwa lengo la kupanua wigo ndani na nje ya nchi. Rai hiyo imetolewa jijini Dar es Salaam jana...

 

5 years ago

Michuzi

WATANZANIA WATAKIWA KUCHANGAMKIA FURSA KILI MARATHON.


Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla akionesha Nishani aliyopewa mara baada ya kumaliza mbio za Kilometa 21 kwenye mbio za Kili Marathon leo mjini Moshi.

KILI MARATHON 2020: Waziri wa Maliasili na Utalii Dk. Hamisi Kigwangalla akishiriki mbio za Kili Marathon ( KM 21) mjini Moshi leo. Waziri wa Maliasili na Utalii Dk. Hamisi Kigwangalla akitoa nishani na zawadi kwa washindi wa Kili Marathon 2020 leo mjini Moshi.



Na. Aron Msigwa – WMU, Moshi.

Waziri wa Maliasili na Utalii...

 

5 years ago

Michuzi

WANAWAKE MKOANI TANGA WATAKIWA KUCHANGAMKIA FURSA YA UCHUMI WA VIWANDA


Meneja wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) mkoa wa Tanga Specioza Owure akizungumza na waandishi wa habari wakati wa maadhimisho ya siku ya wanawake duniani ambapo kimkoa ilifanyika kwenye viwanja vya Mkwakwani mjini Tanga
Sehemu ya watumishi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) mkoa wa Tanga wakiwa kwenye maandamano kuelekea viwanja vya Mkwakwani mjini Tanga
Sehemu ya watumishi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) mkoa wa Tanga wakiwa kwenye maandamano kuelekea viwanja vya Mkwakwani mjini...

 

10 years ago

Vijimambo

WAFANYABIASHARA MKOANI SHINYANGA WATAKIWA KUCHANGAMKIA FURSA ZA BIASHARA KATIKA MIGODI YA ACACIA

Meneja Mkuu wa Mgodi wa Dhahabu wa Buzwagi Injini Philbert Rweyemamu akizungumza na wafanyabiashara wa mkoa wa Shinyanga wakati wa kikao na wafanyabiashara hao kilichokuwa na lengo la kuwapatia ufahamu juu ya masuala ya manunuzi.Bwana Nixson Mlumba – AfisaManunuzi wa ACACIA akifafanua jambo wakati wa Kikao hicho Baadhi ya Wafanyabiashara wakifuatilia kwa makini maelezo ya kutoka kwa Uongozi wa Kampuni ya Acacia wakati wa Kikao hicho. Mmoja wa wafanyabiashara wa mkoa wa Shinyanga akichangia...

 

5 years ago

Michuzi

BAADA YA KUFIKISHA UMEME VIJIJINI TANESCO YAZIDISHA KAMPENI YA KUWAHAMASISHA WANAVIJIJI KUCHANGAMKIA FURSA HIYO


SHIRIKA la umeme Tanzania TANESCO  kupitia idara ya masoko imeanza zoezi la kutoa elimu kwa wananchi wa wilaya na vijiji vya mkoa wa Tabora.

Lengo la utoaji huo wa elimu ni kuwaelimisha wananchi wanaopitiwa na mradi wa REA awamu ya tatu(REAIII) kufahamu taratibu za kuunganishiwa umeme pamoja kuchangamkia fursa za mradi kabla hazijaisha. Miongoni mwa wilaya ambazo tayari zimepitiwa na na sasa ziko kenye zoezi hilo la kupatiwa elimu ni wilaya ya Uyui, Sikonge, na baadae zitafuatiwa na wilaya ya...

 

11 years ago

Mwananchi

Wananchi watakiwa kujiandaa kwa umeme

Mkuu wa Wilaya ya Rungwe Mbeya, Crispin Meela amewataka wananchi wa vijiji 35 vya wilaya hiyo ambavyo vipo kwenye mradi wa kupelekewa umeme mapema mwaka huu kuanza kujiandaa kwa kuweka miundombinu iliyo bora kwenye nyumba zao.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani