Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kitabu cha historia ya Karume chazinduliwa

WAZANZIBARI wameshauriwa kusoma vitabu ili kuifahamu historia ya Mwasisi wa Mapinduzi ya Zanzibar, hayati Abeid Amaan Karume ili kuepuka upotoshwaji, unaoweza kufanywa na watu wasioitakia mema Zanzibar. Mwito huo umetolewa na Mwandishi wa Habari Mwandamizi, Ali Shaaban wakati wa uzinduzi wa kitabu chake, kinachoelezea historia ya mwasisi huyo wa Zanzibar.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

KITABU CHA "HISTORIA YA KLABU YA SIMBA"KILICHOANDIKWA NA MWINA KADUGUDA CHAZINDULIWA RASMI LEO

 Mwina Kaduguda Mtunzi wa kitabu cha "HISTORIA YA SIMBA" akielezea kwa kina Magumu gani amepitia wakati anaanza kuandaa kitabu hicho,Wa kwanza Kushoto ni Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mheshimiwa Juma Nkamia na Katikati ni Mkurugenzi wa Mkuki na Nyota Bwana Mkuki Bgoya ambao ndio wachapishaji wa kitabu hicho.Akielezea kwa ufupi Mwina Kaduguda amesema kwamba Dhumuni kubwa la Kutunga kitabu hicho ni kutaka kutunza historia ya soka ya Timu hiyo isipoteee ili...

 

11 years ago

Dewji Blog

Kitabu cha kwanza kinachoeleza Historia ya Klabu ya Simba tangu 1920 hadi sasa chazinduliwa rasmi na Mh. Nkamia

A3 Poster - SIMBA (FR) Flat

unnamed (1)

Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mheshimiwa Juma Nkamia akijiandaa kukata utepe ili kuweza kuzindua rasmi kitabu hicho cha Historia ya Simba,Wanaoshuhudia kulia ni Mtunzi wa Kitabu hicho Mwina Kaduguda akifuatiwa na Bwana Mkuki Bugoya Mkurugenzi wa Mkuki na Nyota ambao ndio wachapishaji wa kitabu hicho.

unnamed (5)

Mwina kaduguda Mtunzi wa Kitabu cha “HISTORIA YA SIMBA” akimkabidhi  Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mheshimiwa Juma Nkamia...

 

10 years ago

Habarileo

Kitabu cha Lishe chazinduliwa

Naibu Waziri wa Jamii, Jinsia na Watoto, Dk Pindi ChanaTAASISI ya Bunge ya kushughulika na Usalama wa Chakula, Lishe na Haki za Watoto (PGNFSCR), wamezindua kitabu kinachosisitiza umuhimu wa Ilani za vyama vya siasa nchini, zitakazotumika kwenye uchaguzi mkuu mwaka huu, kuwa na vipengele vinavyozungumzia masuala ya chakula na lishe.

 

5 years ago

Michuzi

KITABU CHA NIMEJITAKIA CHA MOHAMMED HAMMIE CHAZINDULIWA RASMI NCHINI

Hatimae kitabu cha NIMEJITAKIA kilichoandikwa na Mohammed Hammie kilichokuwa kikisubiriwa kwa hamu na wasomaji wa riwaya nchini Tanzania na Afrika Mashiriki kimetoka rasmi huku kikipokelewa kwa bashasha fasihini.

Akizungumza nasi mwandishi wa kitabu hicho Bwana Mohammed amesema kuwa tayari riwaya hiyo imeshaanza kusambazwa katika baadhi ya maeneo hapa nchini ambapo kwa mkoa wa Dar es salaam kinapatika katika duka la TPH Bookshop lililopo posta, duka la kona ya riwaya lililopo Moroko, pamoja...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Kitabu cha mwongozo kwa manesi chazinduliwa

BARAZA la Manesi na Wakunga Tanzania, limezindua kitabu kinachotoa mwongozo kwa kuangalia kiwango ambacho muuguzi anatakiwa kufanya kazi kulingana na elimu aliyonayo. Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, Mwakilishi wa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kitabu cha ‘The 7 Habits of Highly effective people’ kilichotafsiriwa Kiswahili chazinduliwa Nchini

DSC_0006

Ofisa Mtendaji Mkuu wa NFT Consult/Franklin Covey, Badru Ntege (kulia) akimwonyesha kitabu cha “The 7 Habits of highly effective People” kilichotafsiriwa kwa lugha ya Kiswahili kwa mara ya kwanza nchini Tanzania mgeni rasmi Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Nehemia Mchechu mara baada ya kuwasili kwenye uzinduzi huo uliofanyika jana jijini Dar es Salaam katika hoteli ya Serena.(Picha zote na Zainul Mzige wa Modewjiblog).

DSC_0007

Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Nehemia...

 

10 years ago

Vijimambo

KITABU CHA 'THE 7 HABITS OF HIGHLY EFFECTIVE PEOPLE' CHAZINDULIWA UPYA KWA LUGHA YA KISWAHILI

  DSC_0006Ofisa Mtendaji Mkuu wa NFT Consult/Franklin Covey, Badru Ntege (kulia) akimwonyesha kitabu cha "The 7 Habits of highly effective People" kilichotafsiriwa kwa lugha ya Kiswahili kwa mara ya kwanza nchini Tanzania mgeni rasmi Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Nehemia Mchechu mara baada ya kuwasili kwenye uzinduzi huo uliofanyika jana jijini Dar es Salaam katika hoteli ya Serena.(Picha zote na Zainul Mzige wa Modewjiblog).DSC_0007Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Nehemia...

 

10 years ago

GPL

KITABU CHA 'THE 7 HABITS OF HIGHLY EFFECTIVE PEOPLE' CHAZINDULIWA UPYA KWA LUGHA YA KISWAHILI‏

Ofisa Mtendaji Mkuu wa NFT Consult/Franklin Covey, Badru Ntege (kulia) akimwonyesha kitabu cha "The 7 Habits of highly effective People" kilichotafsiriwa kwa lugha ya Kiswahili kwa mara ya kwanza nchini Tanzania mgeni rasmi Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Nehemia Mchechu mara baada ya kuwasili kwenye uzinduzi huo uliofanyika jana jijini Dar es Salaam katika hoteli ya Serena. Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba la...

 

10 years ago

Michuzi

JK MGENI RASMI UZINDUZI WA KITABU CHA HISTORIA YA NCHI “PHOTOGRAPHIC BOOK”

Mchapishaji wa Kitabu kipya chenye historia ya nchi tangu Muungano wa Tanganyika na Zanzibar mwaka 1964,Javed Jafferji (kulia) akizungumza na Waandishi wa Habari juu ya Uzinduzi wa Kitabu hicho   April 24 mwaka huu katika Hoteli ya Serena  jijini Dar es Salaam,Mhariri Mkuu wa Kitabu Simai Mohammed. Mhariri Mkuu wa Kitabu kipya chenye historia ya nchi tangu Muungano wa Tanganyika na Zanzibar mwaka 1964, Simai Mohammed  akizungumza na Waandishi wa Habari juu ya Uzinduzi wa Kitabu hicho April...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani