Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Matola akubali yaishe kipigo Simba

KOCHA Msaidizi wa Simba, Suleiman Matola, amesema hawakutarajia kupoteza mchezo dhidi ya Prisons lakini wanajipanga kwa ajili ya michezo ijayo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Loga akubali yaishe Simba

KOCHA Mkuu wa  Simba, Mcroatia Zdravko Logarusic amekubali kuendelea kuinoa timu hiyo kwa mwaka mmoja zaidi. Loga aliyeanza kuinoa timu hiyo tangu mwaka jana akipokea jahazi kutoka kwa Milovan Cirkovic,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Nchimbi akubali yaishe

ALIYEKUWA Waziri wa Mambo ya Ndani, Dk. Emmanuel Nchimbi, amesema kuwa yeye na mawaziri wenzake watatu walikubali kuwajibika kutokana na makosa yaliyofanywa na askari wakati wa kutekeleza Operesheni Tokomeza Ujangili....

 

10 years ago

GPL

AUNTY LULU AKUBALI YAISHE!

Stori: Gladness Mallya BAADA ya kuachwa na mpenzi wake wa siku nyingi Bond, ambaye kwa sasa anadaiwa kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mwigizaji wa filamu, Wastara Juma, Aunty Lulu amekubali yaishe na sasa hana tena kinyongo nao. Mwigizaji wa filamu Bongo, 'Aunty Lulu'. “Mimi sina tena kinyongo na Wastara, vile nilikuwa namfanyia tu vituko, lakini kwa sasa asiniogope wala asiwe na wasiwasi na mimi,… ...

 

9 years ago

Mwananchi

Masaburi akubali yaishe kwa Kubenea

Meya wa zamani wa Jiji la Dar es Salaam, Dk Didas Masaburi ameamua kutoendelea na kesi ya kupinga ushindi wa Saed Kubenea wa Chadema kwenye uchaguzi wa Jimbo la Ubungo aliyokuwa amefungua Mahakama Kuu.

 

10 years ago

Dewji Blog

Sakata la ESCROW Muhongo akubali yaishe!

DSCF1860

Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo akizungumza na waandishi wa katika mkutano uliofanyika mchana huu kwenye ukumbi wa mikutano wa ofisi za Wizara hiyo, zilizopo kwenye Mtaa wa Samora, Jijini Dar es salaam.

Waziri Muhongo ametangaza kujiuzulu wadhifa wake huo, kufuatia shinikizo la muda mrefu la kumtaka afanye hivyo au awajibishwe, kufuatia mapendekezo ya Bunge lililopita, lililoagiza serikali kuchukua hatua dhidi yake na wengine kadhaa kufuatia kashfa ya akaunti ya Tegeta...

 

10 years ago

Habarileo

Lowassa akubali yaishe Urais CCM

Aliyekuwa Waziri Mkuu, Edward LowassaSIKU moja baada ya Chama cha Mapinduzi (CCM), kumuonya aliyekuwa Waziri Mkuu Edward Lowassa, kwa tuhuma za kukiuka Katiba na kuanza kampeni za Urais kabla ya muda, kiongozi huyo ameibuka na kudai kuwa hana njia ya kuwazuia watu wasimuombe agombee Urais.

 

11 years ago

Mwananchi

Mahiza akubali yaishe, gari la wagonjwa larudi Kibiti

Hatimaye gari la wagonjwa la Kituo cha Afya cha Kibiti mkoani Pwani lililokuwa limehamishiwa Zahanati ya Nyamisati kwa agizo la mkuu wa mkoa limerudishwa.

 

11 years ago

GPL

MANJI AKUBALI KIPIGO CHA 3-1

Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji, akiongea na wanahabari (hawapo pichani).
MWENYEKITI wa Yanga, Yusuf Manji, amekubali kipigo cha 3-1 kutoka kwa Simba na kusema asitupiwe lawama mchezaji wala kiongozi yeyote kwa matokeo ya jana. Manji ameyasema hayo leo wakati akiongea na wanahabari katika makao makuu ya timu yake yaliyopo  Mtaa wa Twiga na Jangwani baada ya mechi ya jana ya Watani wa Jadi, Simba na Yanga, kwenye mchezo wa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Rogders akubali lawama kipigo Liverpool

Brendan Rodgers amesema anapokea lawama zote kufuatia kipigo cha timu yake ya Liverpool ilichokipata kutoka kwa Cyristal Palace.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani