Masaburi akubali yaishe kwa Kubenea
Meya wa zamani wa Jiji la Dar es Salaam, Dk Didas Masaburi ameamua kutoendelea na kesi ya kupinga ushindi wa Saed Kubenea wa Chadema kwenye uchaguzi wa Jimbo la Ubungo aliyokuwa amefungua Mahakama Kuu.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania17 Dec
Masaburi afuta kesi dhidi ya Kubenea
Na Patricia Kimelemeta, Dar es Salaam
MAHAKAMA Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam, imefuta kesi ya madai ya kupinga matokeo ya uchaguzi wa Ubungo.
Kesi hiyo ilifunguliwa na aliyekuwa mgombea wa jimbo hilo kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Didas Masaburi dhidi ya mbunge wa jimbo hilo, Saed Kubenea (Chadema).
Uamuzi wa maombi ya kufuta kesi hiyo uliwasilishwa mahakamani hapo jana na wakili wa Dk. Masaburi, Clement Kihoko mbele ya Jaji Lugano Mwandambo.
Wakili Kihoko alisema kuwa...
11 years ago
Tanzania Daima03 Feb
Nchimbi akubali yaishe
ALIYEKUWA Waziri wa Mambo ya Ndani, Dk. Emmanuel Nchimbi, amesema kuwa yeye na mawaziri wenzake watatu walikubali kuwajibika kutokana na makosa yaliyofanywa na askari wakati wa kutekeleza Operesheni Tokomeza Ujangili....
11 years ago
Tanzania Daima22 Jul
Loga akubali yaishe Simba
KOCHA Mkuu wa Simba, Mcroatia Zdravko Logarusic amekubali kuendelea kuinoa timu hiyo kwa mwaka mmoja zaidi. Loga aliyeanza kuinoa timu hiyo tangu mwaka jana akipokea jahazi kutoka kwa Milovan Cirkovic,...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/w3eiFFRDzzfsG8ArHAUlRWuVdSAnM6mCFMX6c0*IyPl91JGqZLuukPuKpaL7edfzNKC4sa5YuF-cgirSSQlgj*zNDq-kjmyc/wastaralulu.jpg)
AUNTY LULU AKUBALI YAISHE!
9 years ago
Habarileo23 Oct
Matola akubali yaishe kipigo Simba
KOCHA Msaidizi wa Simba, Suleiman Matola, amesema hawakutarajia kupoteza mchezo dhidi ya Prisons lakini wanajipanga kwa ajili ya michezo ijayo.
10 years ago
Habarileo26 Mar
Lowassa akubali yaishe Urais CCM
SIKU moja baada ya Chama cha Mapinduzi (CCM), kumuonya aliyekuwa Waziri Mkuu Edward Lowassa, kwa tuhuma za kukiuka Katiba na kuanza kampeni za Urais kabla ya muda, kiongozi huyo ameibuka na kudai kuwa hana njia ya kuwazuia watu wasimuombe agombee Urais.
10 years ago
Dewji Blog25 Jan
Sakata la ESCROW Muhongo akubali yaishe!
Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo akizungumza na waandishi wa katika mkutano uliofanyika mchana huu kwenye ukumbi wa mikutano wa ofisi za Wizara hiyo, zilizopo kwenye Mtaa wa Samora, Jijini Dar es salaam.
Waziri Muhongo ametangaza kujiuzulu wadhifa wake huo, kufuatia shinikizo la muda mrefu la kumtaka afanye hivyo au awajibishwe, kufuatia mapendekezo ya Bunge lililopita, lililoagiza serikali kuchukua hatua dhidi yake na wengine kadhaa kufuatia kashfa ya akaunti ya Tegeta...
9 years ago
Global Publishers17 Dec
Dk. Didas Masaburi afuta kesi ya kupinga Ubunge wa Saed Kubenea
![](http://3.bp.blogspot.com/-XNjP98s8Vz0/VnI00_qGu_I/AAAAAAAArrY/XUQ3cwQ1RdE/s1600/2.jpg)
11 years ago
Mwananchi10 Jun
Mahiza akubali yaishe, gari la wagonjwa larudi Kibiti