MANJI AKUBALI KIPIGO CHA 3-1
![](http://api.ning.com:80/files/xMCtlOLhuRcqY74DAuxrcwjqIlq8PN8xdefI1AC-IGKIIVBI4fDbceaBWvRD01pONLR6vi8vEcOlKuWgRrR8iE9MMblVO8fX/MANJI.jpg?width=650)
Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji, akiongea na wanahabari (hawapo pichani). MWENYEKITI wa Yanga, Yusuf Manji, amekubali kipigo cha 3-1 kutoka kwa Simba na kusema asitupiwe lawama mchezaji wala kiongozi yeyote kwa matokeo ya jana. Manji ameyasema hayo leo wakati akiongea na wanahabari katika makao makuu ya timu yake yaliyopo Mtaa wa Twiga na Jangwani baada ya mechi ya jana ya Watani wa Jadi, Simba na Yanga, kwenye mchezo wa...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo06 Dec
RC amsihi Yussuf Manji akubali kuachia Coco Beach
MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Mecky Sadiki amemuomba mmiliki wa Kampuni ya Q Consult inayomilikiwa na mfanyabiashara Yussuf Manji kutumia busara kukubali kuuachia ufukwe wa Coco jijini Dar es Salaam.
9 years ago
Habarileo23 Oct
Matola akubali yaishe kipigo Simba
KOCHA Msaidizi wa Simba, Suleiman Matola, amesema hawakutarajia kupoteza mchezo dhidi ya Prisons lakini wanajipanga kwa ajili ya michezo ijayo.
10 years ago
BBCSwahili24 Nov
Rogders akubali lawama kipigo Liverpool
9 years ago
StarTV24 Aug
Timu ya Ngassa yapata kipigo cha mbwa mwizi cha 4-0
![](http://2.bp.blogspot.com/-O3yxJUEbx6U/VdmZnmQQGuI/AAAAAAABm1I/-CU5iUl2nIw/s640/13dc4207e53088253da60d7926d652d7.jpg)
TIMU ya Free State Stars yenye Mtanzania, Mrisho Khalfan Ngassa imefungwa mabao 4-0 jana na Kaizer Chiefs katika mchezo wa Ligi Kuu ya ABSA Afrika Kusini Uwanja wa FNB, Johannesburg.
Huo unakuwa mchezo wa pili Free State kufungwa, baada ya wiki mbili zilizopita kufungwa 1-0 nyumbani na Mpumalanga Blac Aces.
Katika mchezo wa jana ambao Ngassa hakucheza, mabao ya Kaizer Chiefs yalifungwa na Siboniso Gaxa dakika ya 34,...
10 years ago
Vijimambo11 Apr
BAADA YA KIPIGO CHA TAREHE 8 CHA BAO 8 JULIO ATUPIWA VILAGO KWENYE KAMATI YA UFUNDI YA COASTAL
![](http://shaffihdauda.co.tz/wp-content/uploads/2015/04/Jamhuri-Kihwelo-Julio.jpg)
KOCHA wa Coastal Union, Jamhuri Musa Kiwhelo ‘Julio’ ametimuliwa baada ya kichapo cha magoli 8-0 alichopata kutoka kwa Yanga jumatano ya wiki hii.Taarifa za ndani na za uhakika kutoka kwa viongozi wa Coastal, siku hiyo baada ya kipigo walikubaliana kumtimua Julio na yeye alipewa taarifa hizo na kukubali.
Ili kulinda heshima yake, Julio akaomba aongoze mechi ya jumamosi uwanja wa Azam Complex dhidi ya Jkt Ruvu jumamosi ya wiki hii kwa nia ya kuogopa kudhalilishwa.
Baada ya mechi hiyo dhidi ya...
9 years ago
Habarileo06 Dec
Bayern wajilaumu kipigo cha 3-1
MABINGWA Bayern Munich inabidi wajilaumu wenyewe kwa kupokea kichapo cha kwanza licha ya kutawala kipindi cha kwanza katika mchezo huo dhidi ya Borussia Moenchengladbach.
10 years ago
Mtanzania04 Feb
JK afichua kipigo cha Lipumba
Na Fredy Azzah
SIKU chache baada ya Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba na wafuasi wake kupigwa na polisi, Rais Jakaya Kikwete amesema tukio hilo limetokea kwa sababu nchi inaongozwa kwa sheria na atakayekiuka atakumbana na mkono wa sheria.
Rais Kikwete alitoa kauli hiyo jana Ikulu jijini Dar es Salaam, alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari baada ya kufanya mazungumzo ya faragha na mgeni wake, Rais wa Ujerumani, Joachim Gauck, ambaye yuko nchini kwa ziara...
10 years ago
Mtanzania25 Mar
CUF walaani kipigo cha jeshi
Na Aziza Masoud, Dar es Salaam
CHAMA cha Wananchi (CUF) kimelaani kitendo cha Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Kikosi cha Itende, mkoani Mbeya kuingia mtaani kupiga wananchi huku wakiwalazimisha kufanya usafi katika utaratibu usiofaa.
Taarifa iliyotolewa jana na chama hicho kupitia Mkurugenzi wa Haki za Binadamu wa chama hicho, Kuruthumu Mchuchuri, ilieleza kuwa chama hicho kinaunga mkono juhudi za kufanya usafi, lakini kwa kutumia utaratibu sahihi na si uliotumika.
“Kwa hali isiyokuwa ya...
9 years ago
Habarileo29 Sep
Kipigo cha Yanga kinauma — Kaburu
MAKAMU wa Rais wa Simba, Geoffrey Nyange ‘Kaburu’ amesema kitendo cha timu yao kufungwa na Yanga juzi kimewaumiza, lakini hakiwarudishi nyuma, wanachukulia ni sehemu ya mchezo.