Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kaseja, ‘Barthez’ on their way out

Young Africans plan to bolster their squad with the signing of a back-up goalkeeper, a move that will see Juma Kaseja and Ally Mustafa frozen out.

TheCitizen

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Barthez anukia Simba

‘Nenda, rudi’ za kipa wa Yanga, Ally Mustapha ‘Barthez’ zinakaribia kutimia baada ya kipa huyo kuanza mazungumzo na Simba ili arejee tena Mtaa wa Msimbazi kuichezea klabu hiyo kwa mkataba wa miaka miwili.

 

9 years ago

Habarileo

Pondamali amfagilia Barthez

KOCHA wa makipa wa Yanga, Juma Pondamali amempongeza kipa namba moja wa timu hiyo na timu ya taifa ‘Taifa Stars’ Ally Mustaph ‘Barthez’ kwa kazi nzuri anayoifanya akiwa kwenye timu hizo.

 

11 years ago

GPL

Kipa Barthez asaini Simba miaka miwili

Kipa wa Yanga, Ally Mustapha ‘Barthez’. Na Musa Mateja
SIKU moja kabla ya kuumana na Simba, Championi Ijumaa limepata taarifa za uhakika kuwa kipa wa Yanga, Ally Mustapha ‘Barthez’ amefikia makubaliano ya kuondoka klabuni hapo na sasa ataichezea Simba msimu ujao. Barthez ambaye amekuwa na wakati mgumu wa kupata nafasi kwenye kikosi cha Yanga hivi sasa, imeelezwa kuwa ameshaafikiana na Yanga kuwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Kaseja hatihati

Hatma ya kipa Juma Kaseja, kuendelea kuichezea Yanga ipo mikononi mwa mashabiki wa klabu hiyo kutokana na mapendekezo ya benchi la ufundi yaliyowasilishwa kwa viongozi wa timu hiyo.

 

10 years ago

Mwananchi

Kaseja ‘kushtakiwa’

Kipa Juma Kaseja amewekwa kati akitarajiwa kujadiliwa na kuchukuliwa hatua na kamati ya nidhamu ya klabu ya Yanga akituhumiwa kukacha mazoezi, jambo ambalo ni utovu wa nidhamu.

 

11 years ago

GPL

Kaseja majanga...

Kipa wa Yanga, Juma Kaseja. Na Phillip Nkini
KIPA wa Yanga, Juma Kaseja, amesema yeye ni mzima wa afya na kukosekana kwake kwenye mechi dhidi ya Ashanti siyo ishu kubwa, lakini kocha wake amesisitiza aliamua kumfanya chaguo la tatu kutokana na kiwango. Kaseja alijiunga na Yanga baada ya kumaliza mkataba wake na Simba na kukaa nje nusu msimu bila kucheza, lakini juzi ukiwa ndiyo mchezo wa kwanza wa mzunguko wa pili wa ligi kwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kaseja ajitetea

KIPA wa Yanga, Juma Kaseja, amejitetea na kipigo cha mabao 3-1 kutoka kwa Simba katika mechi ya Nani Mtani Jembe, akisema ni hali ya kimchezo. Akizungumza baada ya mechi hiyo...

 

10 years ago

Vijimambo

KASEJA KIVUTIO SIMBA


Kaseja kivutio Simba
Mara baada ya kocha Goran Kopunovic kumaliza mazoezi ya asubuhi wachezaji wa Simba walimvamia kipa huyo na kuanza kumsalimia huku wengine wakimtania
KIPA Juma Kaseja, leo amekuwa kivutio kikubwa kwa wachezaji wa Simba waliokuwa wakifanya mazoezi kwenye uwanja wa Chuo kikuu cha Dar es Salaam UDSM.Mara baada ya kocha Goran Kopunovic kumaliza mazoezi ya asubuhi wachezaji wa Simba walimvamia kipa huyo na kuanza kumsalimia huku wengine wakimtania.
Kaseja ameiambia Goal yeye ni...

 

10 years ago

Mwananchi

Pondamali amtetea Kaseja

 Kocha wa makipa wa Yanga, Juma Pondamali amesema kukosekana kwa Juma Kaseja kwenye mazoezi ya Yanga hakumuumizi kichwa kwani anaamini kuwa kipa huyo atakuwa anafanya mazoezi binafsi tofauti na makipa wengine wa Kitanzania.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani