Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kaseja ajitetea

KIPA wa Yanga, Juma Kaseja, amejitetea na kipigo cha mabao 3-1 kutoka kwa Simba katika mechi ya Nani Mtani Jembe, akisema ni hali ya kimchezo. Akizungumza baada ya mechi hiyo...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Nyosso ajitetea

MCHEZAJI wa timu ya Mbeya City, Juma Said maarufu Nyosso amekitaka Chama cha Wachezaji wa Soka Tanzania (SPUTANZA), kumsaidia katika kupata haki yake. Beki huyo wa kati amefungiwa na Kamati ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) saa 72 inayofuatilia mwenendo wa Ligi Kuu na Ligi Daraja la Kwanza kutokana na kitendo cha utovu wa nidhamu alichoonesha katika mchezo wa timu yake hiyo dhidi ya Azam FC kwenye Uwanja wa Azam Complex hivi karibuni.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Cassim Mganga ajitetea

NYOTA wa muziki wa kizazi kipya nchini, Kassim Mganga ‘Cassim’ amesema alishindwa kusambaza video ya wimbo wake wa ‘I Love You’ kutokana na audio kufanya vizuri na kutamba kila kona....

 

10 years ago

Habarileo

‘Aliyeficha’ watoto 18 Moshi ajitetea

Kamanda wa Polisi mkoani Kilimanjaro, Geofrey KamwelaSIKU mbili baada ya jeshi la polisi kuvamia nyumba moja katika Kata ya Pasua katika Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro, iliyotumika kuhifadhi zaidi ya watoto 18 kinyume cha utaratibu, mmiliki wa nyumba hiyo yenye vyumba vinne na choo kimoja, ameibuka na kujitetea licha ya kwamba anashikiliwa na polisi.

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Yona ajitetea, amtaja Mkapa


Na mwandishi wetu
ALIYEKUWA Waziri wa Nishati na Madini, Daniel Yona, ameileza mahakama kuwa mchakato wa kumpata mkaguzi wa madini ya dhahabu ulifuata utaratibu zote na kusimamiwa na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT).
Yona ambaye jana alipanda katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuanza kujitetea, alidai mwaka 2002 kulikuwa na malalamiko mengi kuhusu mapato ya dhahabu iliyokuwa ikichimbwa na kampuni tano za kigeni.
Akiongozwa na wakili wake Elisa Msuya mbele ya Jopo linaloongozwa na Jaji...

 

11 years ago

Mwananchi

Kocha Tanzania Prisons ajitetea

Kocha Mkuu wa Tanzania Prisons, David Mwamwaja amekiri vijana wake hawakucheza kwa kiwango chao katika mchezo wao dhidi ya Mgambo Shooting uliomalizika kwa sare 1-1 kwenye Uwanja wa Sokoine, Mbeya.

 

10 years ago

GPL

MZIWANDA AJITETEA KUDUNDWA NA SHILOLE

Stori: Imelda Mtema MWANAMUZIKI wa Bongo Fleva, Nuh Mziwanda amefunguka kuwa  watu wanaomsema vibaya kuhusu yeye kupewa kichapo na mpenzi wake, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ wanakosea kwani anaamini kufanywa hivyo ni mahaba. Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Nuh Mziwanda akiwa na mpenzi wake, Zuwena Mohamed ‘Shilole’. Akizungumza na mwandishi wa habari hii hivi karibuni, Mziwanda alisema kuna taarifa zimeenea...

 

11 years ago

BBCSwahili

Kocha wa Atletico ajitetea kufungwa

Kocha Mkuu wa Atletico Madrid Diego Simeone amekiri kuwa alifanya makosa kumpanga Diego Costa katika mechi ya fainali.

 

11 years ago

Mwananchi

Kocha Yanga ajitetea kwa Tegete

Kocha wa Yanga, Hans Van Der Pluijm amejitetea kwa uamuzi wake wa kumtoa mshambuliaji Jeryson Tegete na kumwingiza Hussein Javu wakati wa mechi dhidi ya Prisons.

 

10 years ago

GPL

SHAMSA AJITETEA SKENDO YA KUHONGWA SIMU

Gabriel ng’osha STAA wa sinema za Kibongo, Shamsa Ford amefunguka kuwa ameeleweka vibaya alipoandika mitandaoni kuwa hajawahi kununua simu za bei mbaya zaidi ya kupewa na watu. ... Soma zaidi===>http://bit.ly/1Io5jQQ

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani