Nyosso ajitetea
MCHEZAJI wa timu ya Mbeya City, Juma Said maarufu Nyosso amekitaka Chama cha Wachezaji wa Soka Tanzania (SPUTANZA), kumsaidia katika kupata haki yake. Beki huyo wa kati amefungiwa na Kamati ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) saa 72 inayofuatilia mwenendo wa Ligi Kuu na Ligi Daraja la Kwanza kutokana na kitendo cha utovu wa nidhamu alichoonesha katika mchezo wa timu yake hiyo dhidi ya Azam FC kwenye Uwanja wa Azam Complex hivi karibuni.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi29 Sep
Nyosso akaliwa kooni
9 years ago
Habarileo01 Oct
Nyosso kuongezewa adhabu
KLABU ya Azam FC imesema kuwa inajipanga kuchukua hatua za kisheria zaidi katika kufuatilia sakata la mchezaji wake John Bocco kudhalilishwa na mchezaji Juma Nyosso wa Mbeya City.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/DIpsX3jcHzMJNGGXe1DgFSWwD1io*PGCNZYjDt4V*p3ZhHSXf4YkulVbuJfk3cpRkNGt6eCg-MpOiKC8t5pO164kjB0SRN1f/JUMANYOSSOcopy.jpg?width=750)
Nyosso ampigia simu Maguri
9 years ago
Raia Mwema07 Oct
9 years ago
Habarileo03 Oct
Sputanza yajitosa kwa Nyosso
MWENYEKITI wa Chama cha Wanasoka Tanzania (SPUTANZA), Musa Kisoky amesema wanawasiliana na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kuona namna ya kumsaidia beki wa Mbeya City, Juma Said ‘Nyosso’ aliyefungiwa miaka miwili pamoja na faini ya Sh milioni mbili baada ya kumdhalilisha John Bocco wa Azam FC.
9 years ago
Mtanzania30 Sep
Azam FC yamshukia Juma Nyosso
NA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM
TIMU ya Azam imepeleka barua rasmi Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), ikiomba wamfungie beki wa Mbeya City, Juma Nyosso, kwa kitendo cha udhalilishaji dhidi ya nahodha wao, John Bocco.
Nyosso alifanya kosa hilo wakati timu yake ilipokubali kipigo cha mabao 2-1 dhidi ya Azam, kwenye Uwanja wa Azam Complex, Jumapili iliyopita, tukio lililokemewa vikali kwa watu mbalimbali wakitaka beki huyo aadhibiwe vikali.
Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Soka Tanzania...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/kPWAOYVbPQak4ho40c3jvNXlSAZY4SRibahbHunCMKuzxnjy4ElZwcf0k7ufF0HifSBb9MfxXAwOY5ozfRHXi-YWN5jFj1pq/simba.jpg)
Simba wamuwashia moto Juma Nyosso
9 years ago
Vijimambo29 Sep
Nyosso kufungiwa miaka miwili TFF.
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Malinzi-29Katuni2015.png)
Wakati Rais wa TFF, Jamal Malinzi, ameweka wazi kuwa shirikisho hilo la soka nchini litamwadhibu Juma Nyosso, beki huyo wa kati wa Mbeya City yuko hatarini kufungiwa miaka miwili kucheza soka kutokana na kurudia tabia yake chafu ya kupenyeza kidole katikati ya makalio ya wachezaji wa timu pinzani.
Aidha, mshambuliaji Donald Ngoma wa Yanga yuko hatarini kufungiwa mechi tatu na kupigwa faini kutokana na kumpiga kichwa kwa makusudi mbali na ulipokuwapo mpira...
11 years ago
Tanzania Daima23 Dec
Kaseja ajitetea
KIPA wa Yanga, Juma Kaseja, amejitetea na kipigo cha mabao 3-1 kutoka kwa Simba katika mechi ya Nani Mtani Jembe, akisema ni hali ya kimchezo. Akizungumza baada ya mechi hiyo...