Sputanza yajitosa kwa Nyosso
MWENYEKITI wa Chama cha Wanasoka Tanzania (SPUTANZA), Musa Kisoky amesema wanawasiliana na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kuona namna ya kumsaidia beki wa Mbeya City, Juma Said ‘Nyosso’ aliyefungiwa miaka miwili pamoja na faini ya Sh milioni mbili baada ya kumdhalilisha John Bocco wa Azam FC.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima11 Sep
TPSC yajitosa kutekeleza BRN kwa vitendo
ILI kuhakikisha wananchi wanahudumiwa vizuri, serikali ilianzisha mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN) ambao taasisi mbalimbali za umma zinapaswa kuutekeleza na hatimaye wananchi wapate huduma zinazokidhi matarajio yao. Wizara na...
11 years ago
Tanzania Daima01 Aug
Coastal Union yanawa kwa Boban, Nyosso
KLABU ya Coastal Union ya Tanga, imesema haina mpango wa kuwaongezea mkataba nyota wake Haruna Moshi ‘Boban’ na Juma Nyosso baada ya kwisha kwa mikataba yao ya awali. Ofisa Habari...
9 years ago
Habarileo02 Oct
Nyosso ajitetea
MCHEZAJI wa timu ya Mbeya City, Juma Said maarufu Nyosso amekitaka Chama cha Wachezaji wa Soka Tanzania (SPUTANZA), kumsaidia katika kupata haki yake. Beki huyo wa kati amefungiwa na Kamati ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) saa 72 inayofuatilia mwenendo wa Ligi Kuu na Ligi Daraja la Kwanza kutokana na kitendo cha utovu wa nidhamu alichoonesha katika mchezo wa timu yake hiyo dhidi ya Azam FC kwenye Uwanja wa Azam Complex hivi karibuni.
9 years ago
Mwananchi29 Sep
Nyosso akaliwa kooni
9 years ago
Habarileo01 Oct
Nyosso kuongezewa adhabu
KLABU ya Azam FC imesema kuwa inajipanga kuchukua hatua za kisheria zaidi katika kufuatilia sakata la mchezaji wake John Bocco kudhalilishwa na mchezaji Juma Nyosso wa Mbeya City.
10 years ago
Mwananchi16 Oct
Tanzania yajitosa kutatua migogoro
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/DIpsX3jcHzMJNGGXe1DgFSWwD1io*PGCNZYjDt4V*p3ZhHSXf4YkulVbuJfk3cpRkNGt6eCg-MpOiKC8t5pO164kjB0SRN1f/JUMANYOSSOcopy.jpg?width=750)
Nyosso ampigia simu Maguri
11 years ago
Mwananchi15 May
WHO yajitosa dhidi homa ya dengue
9 years ago
Mtanzania30 Sep
Azam FC yamshukia Juma Nyosso
NA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM
TIMU ya Azam imepeleka barua rasmi Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), ikiomba wamfungie beki wa Mbeya City, Juma Nyosso, kwa kitendo cha udhalilishaji dhidi ya nahodha wao, John Bocco.
Nyosso alifanya kosa hilo wakati timu yake ilipokubali kipigo cha mabao 2-1 dhidi ya Azam, kwenye Uwanja wa Azam Complex, Jumapili iliyopita, tukio lililokemewa vikali kwa watu mbalimbali wakitaka beki huyo aadhibiwe vikali.
Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Soka Tanzania...