Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nyosso kuongezewa adhabu

KLABU ya Azam FC imesema kuwa inajipanga kuchukua hatua za kisheria zaidi katika kufuatilia sakata la mchezaji wake John Bocco kudhalilishwa na mchezaji Juma Nyosso wa Mbeya City.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Nyosso ajitetea

MCHEZAJI wa timu ya Mbeya City, Juma Said maarufu Nyosso amekitaka Chama cha Wachezaji wa Soka Tanzania (SPUTANZA), kumsaidia katika kupata haki yake. Beki huyo wa kati amefungiwa na Kamati ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) saa 72 inayofuatilia mwenendo wa Ligi Kuu na Ligi Daraja la Kwanza kutokana na kitendo cha utovu wa nidhamu alichoonesha katika mchezo wa timu yake hiyo dhidi ya Azam FC kwenye Uwanja wa Azam Complex hivi karibuni.

 

9 years ago

Mwananchi

Nyosso akaliwa kooni

Wadau mbalimbali wa soka nchini wameonyesha kuchukizwa na kitendo cha beki, Juma Nyosso kumdhalilisha mshambuliaji, John Bocco katika pambano kati ya Azam na Mbeya City lililofanyika kwenye Uwanja wa Azam Complex jijini juzi.

 

9 years ago

Mtanzania

Mkwasa kuongezewa mkataba Stars

Mkwasa-CharlesJUDITH PETER NA JENIFFER ULLEMBO, DAR ES SALAAM

SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) linafikiria kumpa mkataba wa kudumu kocha mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’, Charles Boniface Mkwasa, pamoja na viongozi wengine wa benchi la ufundi baada ya kusaidia kuinua kiwango cha wachezaji ambao wameonekana kufurahia uwepo wake ndani ya kikosi hicho.

Viongozi wengine wa benchi la ufundi wanaofikiriwa ni Kocha Msaidizi, Hemed Morocco, kocha wa makipa Peter Manyika, Meneja Omary Kapilima na...

 

10 years ago

GPL

MGONJWA: SITAKI KUONGEZEWA DAMU

Stori: Makongoro Oging’ na lssa Mnally/UWAZI
Muumini wa Kanisa la Jehova Witness, Richard Abdoni Juma, 44, (pichani), mkazi wa Mtaa wa Migera wilaya ya Bukoba mkoani Kagera, ambaye alitarajiwa kufanyiwa upasuaji katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kutokana na ajali, madaktari wameshindwa kufanya hivyo kutokana na imani ya dini yao. Bw. Richard Abdoni Juma, (44) anayedaiwa kupata ajali na kuvunjika nyonga. AGUNDULIKA...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kilombero kuongezewa bajeti ya maji

SERIKALI inakusudia kuongeza sh bilioni 3.2 kwenye bajeti ya maji wilayani Kilombero  ili kuboresha huduma hiyo mjini Ifakara. Mkurugenzi wa halmashauri hiyo, Azimana Mbilinyi, alieleza hayo hivi karibuni kwenye baraza...

 

9 years ago

BBCSwahili

Je Pistorius kuongezewa kufungo leo?

Mahakama kuu ya rufaa nchini Afrika Kusini huenda ikaamua leo hii iwapo Mwanariasha mlemavu wa miguu Oscar Pistorius amehusika na mauaji ama la.

 

10 years ago

GPL

Nyosso ampigia simu Maguri

Beki wa Mbeya City Juma Nyosso. Na Martha Mboma
BEKI mkongwe wa Mbeya City, Juma Said Nyosso, amekubali kuwa kitendo alichomfanyia mshambuliaji wa Simba, Elias Maguri na kuonyeshwa na Gazeti la Championi si sahihi, si cha kiungwana na anajuta kupita kiasi. Kutokana na maumivu ya moyo anayoyapata kutokana na kushiriki katika kitendo hicho, Nyosso amefanya mambo mawili, kwanza ni kumpigia simu Maguri na pili kupiga katika ofisi...

 

9 years ago

Mtanzania

Azam FC yamshukia Juma Nyosso

Juma-NyossoNA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM

TIMU ya Azam imepeleka barua rasmi Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), ikiomba wamfungie beki wa Mbeya City, Juma Nyosso, kwa kitendo cha udhalilishaji dhidi ya nahodha wao, John Bocco.

Nyosso alifanya kosa hilo wakati timu yake ilipokubali kipigo cha mabao 2-1 dhidi ya Azam, kwenye Uwanja wa Azam Complex, Jumapili iliyopita, tukio lililokemewa vikali kwa watu mbalimbali wakitaka beki huyo aadhibiwe vikali.

Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Soka Tanzania...

 

9 years ago

Habarileo

Sputanza yajitosa kwa Nyosso

MWENYEKITI wa Chama cha Wanasoka Tanzania (SPUTANZA), Musa Kisoky amesema wanawasiliana na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kuona namna ya kumsaidia beki wa Mbeya City, Juma Said ‘Nyosso’ aliyefungiwa miaka miwili pamoja na faini ya Sh milioni mbili baada ya kumdhalilisha John Bocco wa Azam FC.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani