Mkwasa kuongezewa mkataba Stars
JUDITH PETER NA JENIFFER ULLEMBO, DAR ES SALAAM
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) linafikiria kumpa mkataba wa kudumu kocha mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’, Charles Boniface Mkwasa, pamoja na viongozi wengine wa benchi la ufundi baada ya kusaidia kuinua kiwango cha wachezaji ambao wameonekana kufurahia uwepo wake ndani ya kikosi hicho.
Viongozi wengine wa benchi la ufundi wanaofikiriwa ni Kocha Msaidizi, Hemed Morocco, kocha wa makipa Peter Manyika, Meneja Omary Kapilima na...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-g-jcRfZ0dYc/VhPNlx0p02I/AAAAAAABJZA/IFrHTuewW00/s72-c/A%2B1.png)
MKWASA APEWA MKATABA WA KUDUMU STARS
![](http://3.bp.blogspot.com/-g-jcRfZ0dYc/VhPNlx0p02I/AAAAAAABJZA/IFrHTuewW00/s640/A%2B1.png)
Charles Boniface Mkwasa amepewa mkataba wa kudumu kukinoa kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) kwa kipindi cha mwaka mmoja na nusu kuanzia Oktoba Mosi mwaka huu na kumalizika Machi 31, 2017.
TFF Imefikia makubaliano hayo na kocha Mkwasa baada ya kurudhika na utendaji wake katika kukinoa kikosi cha timu ya Taifa, ambapo mpaka sasa ameweza kuingoza Stars katika sare ya michezo miwili dhidi ya Uganda na Nigeria. Kufuatia kusaini mkataba huo, Mkwasa atapatiwa huduma na marupurupu...
9 years ago
Bongo507 Oct
Mkwasa apewa mkataba rasmi kuinoa Taifa Stars
9 years ago
Mtanzania08 Dec
Van Gaal kuongezewa mkataba mpya United
MANCHESTER, ENGLAND
KLABU ya Manchester United inatarajia kufanya mazungumzo na kocha wake Louis van Gaal kwa ajili ya
kumuongezea mkataba mpya Januari mwakani.
Uongozi wa klabu hiyo umesema una furaha kubwa kuwa na kocha huyo tangu alipoanza kuiongoza miezi 17
iliyopita.
Van Gaal alijiunga katika klabu hiyo kwa mkataba wa miaka mitatu, hivyo mkatab huo unatarajia kumalizika
2017, hivyo makamu mwenyekiti wa klabu hiyo, Ed Woodward amedai kwamba wana imani na kocha huyo.
Hata hivyo, awali...
9 years ago
Habarileo07 Oct
Kocha Mkwasa alamba mkataba
HATIMAYE Kocha Charles Mkwasa ameingia mkataba wa kudumu wa mwaka mmoja na nusu na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kwa ajili ya kukinoa kikosi cha timu ya Taifa Tanzania, Taifa Stars. Mkataba huo ulisainiwa jana Dar es Salaam na umeanza kufanya kazi kuanzia Oktoba 1, mwaka huu hadi Machi 31, 2017.
9 years ago
TheCitizen16 Nov
Mkwasa: Stars can still advance
10 years ago
Michuzi06 Aug
10 years ago
BBCSwahili21 Jun
Mkwasa kupewa mikoba ya Stars ?
9 years ago
TheCitizen07 Sep
Mkwasa salutes Stars players
9 years ago
TheCitizen06 Nov
Mkwasa relishes Stars progress