Mkwasa kupewa mikoba ya Stars ?
Shirikisho la soka nchini Tanzania lipo mbioni kumtaja kocha atakayerithi mikoba ya aliyekuwa kocha wa Stars, Mdachi Mart Nooij.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo12 Oct
Mwambusi arithi mikoba ya Mkwasa
KLABU ya Yanga jana ilisaini rasmi mkataba wa mwaka mmoja na nusu na aliyekuwa Kocha Mkuu wa Mbeya City, Juma Mwambusi kuwa msaidizi wa Mholanzi Hans van der Pluijm.
11 years ago
Tanzania Daima25 Feb
Mjerumani kuchukua mikoba ya Kim Stars
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF), linatarajia kumwajiri kocha mpya, Michael Krüger, raia wa Ujerumani, kurithi nafasi ya kocha mkuu wa timu ya soka ya taifa, Taifa Stars, Mdenish Kim Poulsen,...
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-_FNpgIit00k/U1windwTttI/AAAAAAAFdNM/gcOUJICNCCA/s72-c/Tanzania-Mart-Nooij-300.jpg)
MHOLANZI AKABIDHIWA MIKOBA YA KUINOA TAIFA STARS
![](http://4.bp.blogspot.com/-_FNpgIit00k/U1windwTttI/AAAAAAAFdNM/gcOUJICNCCA/s1600/Tanzania-Mart-Nooij-300.jpg)
Rais wa TFF, Jamal Malinzi amemtambulisha kocha huyo leo (Aprili 26 mwaka huu) kwenye mkutano na waandishi wa habari uliofanyika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Akiwa amefuatana na Makamu wake Wallace Karia, amesema anafurahi kumtangaza Nooij na ana matarajio kuwa Tanzania itanufaika na uzoefu wake mkubwa wa ukocha, hasa katika bara la...
9 years ago
TheCitizen16 Nov
Mkwasa: Stars can still advance
10 years ago
Michuzi06 Aug
9 years ago
Mtanzania08 Sep
Mkwasa kuongezewa mkataba Stars
JUDITH PETER NA JENIFFER ULLEMBO, DAR ES SALAAM
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) linafikiria kumpa mkataba wa kudumu kocha mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’, Charles Boniface Mkwasa, pamoja na viongozi wengine wa benchi la ufundi baada ya kusaidia kuinua kiwango cha wachezaji ambao wameonekana kufurahia uwepo wake ndani ya kikosi hicho.
Viongozi wengine wa benchi la ufundi wanaofikiriwa ni Kocha Msaidizi, Hemed Morocco, kocha wa makipa Peter Manyika, Meneja Omary Kapilima na...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-b9ZAk_HHaPY/VYqYeIf4p-I/AAAAAAAHjWU/425CC5N9fxw/s72-c/Kocha%2BMkwasa%2B%2528kushoto%2529%2Bna%2Bmsaidizi%2Bwake%2BHemed%2BMorocco%2Bwakiongea%2Bna%2Bwaandishi%2Bwa%2Bhabari.jpg)
MKWASA AITA 26 TAIFA STARS
![](http://1.bp.blogspot.com/-b9ZAk_HHaPY/VYqYeIf4p-I/AAAAAAAHjWU/425CC5N9fxw/s640/Kocha%2BMkwasa%2B%2528kushoto%2529%2Bna%2Bmsaidizi%2Bwake%2BHemed%2BMorocco%2Bwakiongea%2Bna%2Bwaandishi%2Bwa%2Bhabari.jpg)
TAREHE 24 JUNI 2015
Katibu Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa miguu Tanzania (TFF), Mwesigwa Selestine leo amemtambuisha kocha mpya wa timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) Charles Boniface Mkwasa mbele ya waandishi wa habari.
Akiongea na waandishi wa habari, Mwesigwa amewaomba wadau wa mpira wa miguu nchini kuwapa sapoti makocha hao wazawa wanaoanza kazi...
9 years ago
TheCitizen07 Sep
Mkwasa salutes Stars players
9 years ago
Habarileo31 Aug
Mkwasa aipunguzia dozi Stars
KIKOSI cha Taifa Stars sasa kitaendelea na mazoezi mara moja tu kwa siku kwa siku zote zilizobaki za kambi yake hapa nchini Uturuki. Stars imeweka kambi ya siku nane mjini Kartepe, Uturuki kujiandaa na mechi yake dhidi ya Nigeria itakayofanyika Septemba 5 kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.