MKWASA APEWA MKATABA WA KUDUMU STARS
![](http://3.bp.blogspot.com/-g-jcRfZ0dYc/VhPNlx0p02I/AAAAAAABJZA/IFrHTuewW00/s72-c/A%2B1.png)
Charles Boniface Mkwasa amepewa mkataba wa kudumu kukinoa kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) kwa kipindi cha mwaka mmoja na nusu kuanzia Oktoba Mosi mwaka huu na kumalizika Machi 31, 2017.
TFF Imefikia makubaliano hayo na kocha Mkwasa baada ya kurudhika na utendaji wake katika kukinoa kikosi cha timu ya Taifa, ambapo mpaka sasa ameweza kuingoza Stars katika sare ya michezo miwili dhidi ya Uganda na Nigeria. Kufuatia kusaini mkataba huo, Mkwasa atapatiwa huduma na marupurupu...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo507 Oct
Mkwasa apewa mkataba rasmi kuinoa Taifa Stars
9 years ago
Habarileo08 Sep
Mkwasa kudumu Stars, Simba yapongeza
Baada ya timu ya taifa, Taifa Stars kuonesha kiwango cha kuridhisha, mambo yanaweza kumnyookea kocha wa timu hiyo, Charles Mkwasa kwani sasa huenda akapewa mkataba wa kudumu.
9 years ago
Mtanzania08 Sep
Mkwasa kuongezewa mkataba Stars
JUDITH PETER NA JENIFFER ULLEMBO, DAR ES SALAAM
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) linafikiria kumpa mkataba wa kudumu kocha mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’, Charles Boniface Mkwasa, pamoja na viongozi wengine wa benchi la ufundi baada ya kusaidia kuinua kiwango cha wachezaji ambao wameonekana kufurahia uwepo wake ndani ya kikosi hicho.
Viongozi wengine wa benchi la ufundi wanaofikiriwa ni Kocha Msaidizi, Hemed Morocco, kocha wa makipa Peter Manyika, Meneja Omary Kapilima na...
9 years ago
Habarileo07 Oct
Kocha Mkwasa alamba mkataba
HATIMAYE Kocha Charles Mkwasa ameingia mkataba wa kudumu wa mwaka mmoja na nusu na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kwa ajili ya kukinoa kikosi cha timu ya Taifa Tanzania, Taifa Stars. Mkataba huo ulisainiwa jana Dar es Salaam na umeanza kufanya kazi kuanzia Oktoba 1, mwaka huu hadi Machi 31, 2017.
10 years ago
Mwananchi02 Dec
Emerson apewa mkataba Yanga
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/DmWKX8GKoMmy6Hct5ROtVNZ*7jTS0V3QEeLkOsjoM4dOtkZgUlQXRBJUhv4W*QfLN*o8UuAaycGKWtFsMFXoQ25LM*44n5xM/loga.jpg?width=600)
Logarusic apewa mkataba feki Simba
10 years ago
Michuzi06 Aug
9 years ago
TheCitizen16 Nov
Mkwasa: Stars can still advance
9 years ago
Raia Tanzania07 Sep
Mkwasa asifia kiwango Stars
KOCHA wa Timu ya Taifa ‘Taifa Stars’ Boniface Mkwasa ameelezea kufurahishwa na matokeo waliopata juzi katika mchezo wa kufuzu kucheza fainali za Mataifa ya Afrika (Afcon) dhidi ya Nigeria katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Timu hizo zilitoka sare ya 0-0. Stars wapo nafasi ya tatu katika kundi D baada kupata pointi moja katika michezo miwili waliocheza. Awali walicheza na Misri na kufungwa mabao 3-0 ugenini.
Mkwassa alisema amefurahishwa na kiwango kilichoonyeshwa na kikosi...