Mkwasa asifia kiwango Stars
KOCHA wa Timu ya Taifa ‘Taifa Stars’ Boniface Mkwasa ameelezea kufurahishwa na matokeo waliopata juzi katika mchezo wa kufuzu kucheza fainali za Mataifa ya Afrika (Afcon) dhidi ya Nigeria katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Timu hizo zilitoka sare ya 0-0. Stars wapo nafasi ya tatu katika kundi D baada kupata pointi moja katika michezo miwili waliocheza. Awali walicheza na Misri na kufungwa mabao 3-0 ugenini.
Mkwassa alisema amefurahishwa na kiwango kilichoonyeshwa na kikosi...
Raia Tanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima07 Mar
Nahodha Stars aridhishwa kiwango
KIKOSI cha timu ya taifa ‘Taifa Stars’ kinatarajiwa kurejea nchini leo jioni huku nahodha wake, Aggrey Morris, akieleza kuridhishwa na kiwango kilichoonyeshwa na wachezaji wote. Nahodha huyo, aliyasema hayo jijini...
10 years ago
Mtanzania20 May
Kiwango Stars chakera Watanzania
NA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM
KIWANGO kibovu kilichoonyeshwa na timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ kwenye mchezo wa kwanza wa michuano ya Mataifa ya Kusini mwa Afrika (Cosafa) dhidi ya Swaziland kimekera Watanzania wengi, hasa baada ya kupoteza kwa kufungwa bao 1-0.
Bao hilo pekee la Swaziland lilifungwa na beki wa kulia, Simbizo Mabila, aliyewahadaa mabeki wa Stars na kupiga shuti lililomshinda kipa, Deogratius Munishi ‘Dida’.
Matokeo hayo yamewaumiza Watanzania wengi nchini,...
10 years ago
Michuzi06 Aug
9 years ago
TheCitizen16 Nov
Mkwasa: Stars can still advance
10 years ago
Habarileo09 Sep
Jaji Sambo akunwa kiwango Taifa Stars
JAJI Mfawidhi wa Mahakama Kuu Kanda ya Sumbawanga, Mwakipombe Sambo ameimwagia sifa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars kuwa ilionesha mchezo mzuri wa kuvutia licha ya kutoka sare dhidi ya Nigeria, Super Eagles katika mechi ya kufuzu kwa fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon) 2017.
9 years ago
TheCitizen06 Nov
Mkwasa relishes Stars progress
10 years ago
Habarileo31 Aug
Mkwasa aipunguzia dozi Stars
KIKOSI cha Taifa Stars sasa kitaendelea na mazoezi mara moja tu kwa siku kwa siku zote zilizobaki za kambi yake hapa nchini Uturuki. Stars imeweka kambi ya siku nane mjini Kartepe, Uturuki kujiandaa na mechi yake dhidi ya Nigeria itakayofanyika Septemba 5 kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
10 years ago
BBCSwahili21 Jun
Mkwasa kupewa mikoba ya Stars ?
10 years ago
Mtanzania08 Sep
Mkwasa kuongezewa mkataba Stars
JUDITH PETER NA JENIFFER ULLEMBO, DAR ES SALAAM
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) linafikiria kumpa mkataba wa kudumu kocha mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’, Charles Boniface Mkwasa, pamoja na viongozi wengine wa benchi la ufundi baada ya kusaidia kuinua kiwango cha wachezaji ambao wameonekana kufurahia uwepo wake ndani ya kikosi hicho.
Viongozi wengine wa benchi la ufundi wanaofikiriwa ni Kocha Msaidizi, Hemed Morocco, kocha wa makipa Peter Manyika, Meneja Omary Kapilima na...