Nahodha Stars aridhishwa kiwango
KIKOSI cha timu ya taifa ‘Taifa Stars’ kinatarajiwa kurejea nchini leo jioni huku nahodha wake, Aggrey Morris, akieleza kuridhishwa na kiwango kilichoonyeshwa na wachezaji wote. Nahodha huyo, aliyasema hayo jijini...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
9 years ago
Raia Tanzania07 Sep
Mkwasa asifia kiwango Stars
KOCHA wa Timu ya Taifa ‘Taifa Stars’ Boniface Mkwasa ameelezea kufurahishwa na matokeo waliopata juzi katika mchezo wa kufuzu kucheza fainali za Mataifa ya Afrika (Afcon) dhidi ya Nigeria katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Timu hizo zilitoka sare ya 0-0. Stars wapo nafasi ya tatu katika kundi D baada kupata pointi moja katika michezo miwili waliocheza. Awali walicheza na Misri na kufungwa mabao 3-0 ugenini.
Mkwassa alisema amefurahishwa na kiwango kilichoonyeshwa na kikosi...
10 years ago
Mtanzania20 May
Kiwango Stars chakera Watanzania
NA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM
KIWANGO kibovu kilichoonyeshwa na timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ kwenye mchezo wa kwanza wa michuano ya Mataifa ya Kusini mwa Afrika (Cosafa) dhidi ya Swaziland kimekera Watanzania wengi, hasa baada ya kupoteza kwa kufungwa bao 1-0.
Bao hilo pekee la Swaziland lilifungwa na beki wa kulia, Simbizo Mabila, aliyewahadaa mabeki wa Stars na kupiga shuti lililomshinda kipa, Deogratius Munishi ‘Dida’.
Matokeo hayo yamewaumiza Watanzania wengi nchini,...
9 years ago
Habarileo09 Sep
Jaji Sambo akunwa kiwango Taifa Stars
JAJI Mfawidhi wa Mahakama Kuu Kanda ya Sumbawanga, Mwakipombe Sambo ameimwagia sifa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars kuwa ilionesha mchezo mzuri wa kuvutia licha ya kutoka sare dhidi ya Nigeria, Super Eagles katika mechi ya kufuzu kwa fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon) 2017.
9 years ago
Mwananchi09 Nov
Kiwango cha wachezaji Taifa Stars chamkuna Mkwassa
9 years ago
Habarileo25 Aug
Kocha Twiga Stars afurahia kiwango cha wachezaji wake
KOCHA Mkuu wa timu ya soka ya Taifa ya Wanawake (Twiga Stars), Rogasian Kaijage amesema mchezo wa kirafiki dhidi ya Kenya ‘Harambee Starlets’ umemsaidia kugundua makosa ambayo atayafanyia kazi.
10 years ago
Vijimambo08 Jan
KIWANGO CHA NGASSA KIMESHUKA, LAKINI NI MCHEZAJI MWENYE AKILI, LAZIMA ATARUDI KATIKA KIWANGO CHAKE-PLUIJM
![](http://shaffihdauda.co.tz/wp-content/uploads/2015/01/NGASSA-MRISHO.jpg)
Pluijm alikiri wazi kuwa nyota huyo ameshuka kiwango kwa sasa na ndio maana anaanzia benchi katika mechi mbalimbali, lakini anaonesha juhudi kubwa mazoezini kitendo kinachoonesha wazi ametambua alipo sasa.
“Kiwango cha Ngassa kimeshuka, lakini ni mchezaji mwenye akili, lazima atarudi katika kiwango chake”. Alisema Pluijm.Kocha huyo anayependa soka la kushambulia...
9 years ago
Habarileo31 Dec
Aridhishwa na vyombo vya usalama
PAMOJA na changamoto ya uhaba wa vitendea kazi na mazingira magumu katika utekelezaji wa majukumu yao, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameelezea kuridhishwa na namna vyombo vya ulinzi na usalama vinavyotekeleza majukumu yake katika kuhakikisha ulinzi na usalama wa mkoa Kigoma.
10 years ago
Tanzania Daima16 Oct
January Makamba aridhishwa na TTCL
NAIBU Waziri wa Wizara ya Sayansi na Teknolojia, January Makamba, ameridhishwa na shughuli zinazofanywa na kampuni ya simu Tanzania (TTCL), hasa kwa kuanzisha kituo cha mtandao kitakachotoa huduma kwa nchi...
11 years ago
Habarileo19 Jan
Pinda aridhishwa na ukarabati jengo la Bunge
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema ameridhishwa na ukarabati unaoendelea kwenye maeneo mbalimbali ya jengo la Bunge, ikiwa ni maandalizi kwa ajili ya Bunge la Katiba. “Maendeleo ni mazuri na kazi inayofanywa ni nzuri, kikubwa ni kuhakikisha mnaikamilisha hii kazi katika muda uliopangwa,” alisisitiza.