KIWANGO CHA NGASSA KIMESHUKA, LAKINI NI MCHEZAJI MWENYE AKILI, LAZIMA ATARUDI KATIKA KIWANGO CHAKE-PLUIJM
KOCHA mkuu wa Yanga SC, Mholanzi, Johannes Hans van der Pluijm anaamini Mrisho Ngassa atarudi katika kiwango chake cha zamani.
Pluijm alikiri wazi kuwa nyota huyo ameshuka kiwango kwa sasa na ndio maana anaanzia benchi katika mechi mbalimbali, lakini anaonesha juhudi kubwa mazoezini kitendo kinachoonesha wazi ametambua alipo sasa.
“Kiwango cha Ngassa kimeshuka, lakini ni mchezaji mwenye akili, lazima atarudi katika kiwango chake”. Alisema Pluijm.Kocha huyo anayependa soka la kushambulia...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi25 Feb
Tuache siasa, kiwango cha ufaulu kimeshuka
10 years ago
BBCSwahili31 Oct
Kiwango cha kalori katika pombe kitajwe
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-wIRZ0ShKv5A/Vcr1EgiZtuI/AAAAAAAHwJw/0P5CeeeKh6Q/s72-c/Open-Road-TanzaniaWM.jpg)
RFB yafanikiwa kufanya maboresho ya barabara kwa kiwango cha lami katika kipindi cha miaka kumi ya uongozi wa JK
![](http://2.bp.blogspot.com/-wIRZ0ShKv5A/Vcr1EgiZtuI/AAAAAAAHwJw/0P5CeeeKh6Q/s400/Open-Road-TanzaniaWM.jpg)
Bodi ya Mfuko wa Barabara nchini(RFB) imefanikiwa kufanya maboresho ya barabara kwa kiwango cha lami katika kipindi cha miaka kumi ya uongozi wa Serikali ya awamu ya nne wa Mhe. Jakaya Kikwete.
Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam Jana Bw. Joseph Haule amesema kuwa matengenezo hayo yamefanikisha ujenzi wa barabara kuu zinazounganisha mikoa mbalimbali nchini kukamilika kwa asilimia 89 huku zile za Wilaya na Miji kwa asilimia 57.
“ kazi...
11 years ago
BBCSwahili06 Mar
WHO yapunguza kiwango cha sukari
10 years ago
BBCSwahili28 Oct
Djokovic kiwango cha ubora charejea
10 years ago
Tanzania Daima25 Aug
Ally Kiba akunwa na kiwango cha AY
MKALI wa muziki wa kizazi kipya, Ally Kiba, amesema kuwa, msanii ambaye anamkubali hapa nchini ni Ambwene Yesaya ‘AY’ huku akiwataka watu wamlinganishe na msanii huyo sio Naseeb Abdul ‘Diamond...
10 years ago
Uhuru Newspaper24 Sep
Arusha kupandisha kiwango cha ufaulu
HALMASHAURI ya Jiji la Arusha kupitia mpango wa matokeo makubwa (BRN), inatarajia kupandisha kiwango cha ufaulu kwa mwaka 2014, hadi kufikia asilimia 92 kwa elimu ya msingi.
Takwimu zinaonyesha katika matokeo ya mwaka jana, ufaulu ulikuwa asilimia 85.
Hayo yalisemwa juzi na Ofisa ElimuTaaluma wa Shule za Msingi katika halmashauri ya Jiji hilo, Mbwana Juma, alipokuwa akizungumza wakati wa mafunzo ya mbinu za kufundisha masomo ya hisabati na sayansi.
Alisema kupitia BRN...
9 years ago
Global Publishers04 Jan
Hall alia na kiwango cha Wawa
Stewart Hall.
Na Mwandishi Wetu
WAKATI kikosi cha Azam FC kikimkosa beki wake Aggrey Morris, kocha mkuu wa timu hiyo Stewart Hall, amefunguka kuwa sasa beki wake kisiki Pascal Wawa raia wa Ivory Coast ameshuka kiwango na limebaki jina tu.
Akizungumza na Championi Jumatatu, Hall raia wa Uingereza alisema licha ya kumkosa Morris lakini kiwango cha Wawa kwa sasa kimeshuka zaidi kutokana na kucheza muda mrefu.
“Kiukweli Wawa kwa sasa hayupo vizuri kama alivyokuwa msimu uliopita kutokana na...
11 years ago
Habarileo10 Jun
Kiwango cha maambukizi ya Ukimwi Rukwa chapanda
VIFO vinavyotokana na Ukimwi nchini vimepungua kwa asilimia 30 kutokana na upatikanaji na matumizi ya dawa za kufubaza virusi vya ugonjwa huo za ARVs.