Pinda aridhishwa na ukarabati jengo la Bunge
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema ameridhishwa na ukarabati unaoendelea kwenye maeneo mbalimbali ya jengo la Bunge, ikiwa ni maandalizi kwa ajili ya Bunge la Katiba. “Maendeleo ni mazuri na kazi inayofanywa ni nzuri, kikubwa ni kuhakikisha mnaikamilisha hii kazi katika muda uliopangwa,” alisisitiza.
habarileo
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziDkt Kigwangalla aridhishwa na kasi ya ukarabati wa Miundombinu ya Utalii.
Mwandishi wetu NCAA.
Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla ameridhishwa na kasi ya ukarabati wa barabara za Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) zilizokuwa zimeathiriwa na mvua na kuwahakikishia wadau wa utalii kuwa eneo hilo liko salama kwa wageni kufanya utalii bila shida yoyote.
Dkt. Kigwangalla ametoa kauli hiyo wakati wa ziara yake ya kukagua utekelezaji wa majukumu mbalimbali ya NCAA ambapo ametumia fursa hiyo kutembelea kreta ya Ngorongoro iliyokuwa na changamoto ya...
10 years ago
MichuziKATIBU MKUU WA WIZARA YA UJENZI ARIDHISHWA NA UKARABATI WA KIVUKO CHA MV KIGAMBONI
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Mhandisi Musa Iyombe ameelezea kuridhishwa kwake na kazi ya ukarabati wa Kivuko cha MV Kigamboni unaoendelea chini ya kikosi cha Ufundi cha Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), Kitengo cha Wanamaji uliofikia asilimia 40 ya matengenezo yake.
Akizungumza mara baada ya Ukaguzi huo wa kushtukiza, Mhandisi Iyombe amekipongeza Kikosi hicho cha Wanamaji kwa kufanya kazi kwa kiwango cha juu na haraka hivyo kuwa na matumaini ya kukamilika kwa kazi hiyo kwa muda mfupi ili...
Akizungumza mara baada ya Ukaguzi huo wa kushtukiza, Mhandisi Iyombe amekipongeza Kikosi hicho cha Wanamaji kwa kufanya kazi kwa kiwango cha juu na haraka hivyo kuwa na matumaini ya kukamilika kwa kazi hiyo kwa muda mfupi ili...
10 years ago
MichuziWAZIRI WA UCHUKUZI ARIDHISHWA NA MAENDLEO YA UJENZI WA JENGO JIPYA LA MAMLAKA YA USIMAMIZI WA BANDARI TANZANIA (TPA)
Waziri wa Uchukuzi, Samweli Sitta (wa pili kutoka kulia) akimsikiliza Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), Awadh Massawe, wakati akitoa maelezo ya maendeleo ya ujenzi wa jengo jipya la Mamlaka hiyo leo mchana. Wa kwanza Kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Dk. Shaaban Mwinjaka. Mbunifu majenzi kutoka kampuni ya K &M Acrplans (T) ltd, ambao ndio washauri wa ujenzi wa Jengo hilo, Arch. Albert Mwambafu, akitoa maelezo kwa Waziri wa Uchukuzi, Samuel...
10 years ago
Michuzi16 Aug
KANISA LA YESU CHRISTO LA WATAKATIFU WA SIKU ZA MWISHO WAFANYA UKARABATI JENGO LA YATIMA GROUP TRUST FUND MBAGALA CHAMANZI
Baadhi ya waumini wa Kanisa la Yesu Cristo la watakatifu wa siku za mwisho wakipaka rangi bweni la kituo cha watoto yatima cha yatima group trust fund kilichopo mbagala chamanzi ambapo waumini hawo walitumia siku hiyo kufanya usafi wa mazingira mbalimbali ikiwemo kukata kuni pamoja na kucheza na watoto wanaoishi katika kituo hicho kama njia moja ya kuwafarijiBaadhi ya waumini wa Kanisa la Yesu Cristo la watakatifu wa siku za mwisho wakipaka rangi bweni la kituo cha watoto yatima cha yatima...
10 years ago
Habarileo22 Feb
Pinda apiga marufuku ukarabati maabara za zamani
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amepiga marufuku ukarabati wa maabara za zamani za shule za sekondari na kusisitiza kwamba ni lazima zijengwe mpya kama ambavyo Serikali ilielekeza.
11 years ago
Mwananchi17 Feb
Ukarabati ukumbi wa bunge wagharimu Sh8.2 bilioni
Kiasi cha Sh8.2 bilioni kimetumika kufanya ukarabati mkubwa wa Ukumbi wa Bunge pamoja na miundombinu yake kwa ajili ya shughuli za Bunge la Katiba litakalokutana kwa zaidi ya siku 70.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania