Dkt Kigwangalla aridhishwa na kasi ya ukarabati wa Miundombinu ya Utalii.
Mwandishi wetu NCAA.
Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla ameridhishwa na kasi ya ukarabati wa barabara za Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) zilizokuwa zimeathiriwa na mvua na kuwahakikishia wadau wa utalii kuwa eneo hilo liko salama kwa wageni kufanya utalii bila shida yoyote.
Dkt. Kigwangalla ametoa kauli hiyo wakati wa ziara yake ya kukagua utekelezaji wa majukumu mbalimbali ya NCAA ambapo ametumia fursa hiyo kutembelea kreta ya Ngorongoro iliyokuwa na changamoto ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo19 Jan
Pinda aridhishwa na ukarabati jengo la Bunge
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema ameridhishwa na ukarabati unaoendelea kwenye maeneo mbalimbali ya jengo la Bunge, ikiwa ni maandalizi kwa ajili ya Bunge la Katiba. “Maendeleo ni mazuri na kazi inayofanywa ni nzuri, kikubwa ni kuhakikisha mnaikamilisha hii kazi katika muda uliopangwa,” alisisitiza.
11 years ago
MichuziKATIBU MKUU WA WIZARA YA UJENZI ARIDHISHWA NA UKARABATI WA KIVUKO CHA MV KIGAMBONI
Akizungumza mara baada ya Ukaguzi huo wa kushtukiza, Mhandisi Iyombe amekipongeza Kikosi hicho cha Wanamaji kwa kufanya kazi kwa kiwango cha juu na haraka hivyo kuwa na matumaini ya kukamilika kwa kazi hiyo kwa muda mfupi ili...
5 years ago
MichuziNDITIYE ARIDHISHWA NA KASI YA UPANUZI WA BANDARI YA TANGA
Serikali Kutumia Shilingi Bilioni 172 Kuboresha Bandari Hiyo
Itakuwa na Uwezo wa Kuhudumia Meli Yenye Uzito wa Tani 35,000
Na Prisca Ulomi, WUUM, Tanga
Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye ameridhishwa na kasi ya upanuzi wa Bandari ya Tanga baada ya kushuhudia kazi inayoendelea kufanyika kwenye bandari hiyo wakati wa ziara yake mkoani humo
Nditiye amesema kuwa tayari Serikali imepanga kutumia shilingi bilioni 172 kwa ajili ya kupanua bandari hiyo kwa kuongeza...
5 years ago
Michuzi
NAIBU WAZIRI ARIDHISHWA NA KASI YA USAMBAZAJI UMEME KWENYE TAASISI ZA UMMA


11 years ago
Michuzi
KINANA ARIDHISHWA NA KASI YA UPANUZI WA MITAMBO MIPYA YA MAJI RUVU CHINI


5 years ago
Michuzi
NAIBU WAZIRI MABULA ARIDHISHWA NA KASI YA UJENZI HOSPITALI YA RUFAA MKOA WA MARA



Jengo la hospitali ya Rufaa mkoa wa Mara lililopo eneo la Kwangwa Musoma likiwa katika hatua za ukamilishaji. (PICHA NA MUNIR SHEMWETA WIZARA YA ARDHI).

Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula akipata maelezo kutoka kwa Mhandisi wa Ujenzi wa mradi wa Hospitali ya Mkoa wa Mara Injia Kazoba Wilson (kushoto) wakati akitoka kukagua maendelezo ya ujenzi wa hospitali hiyo jana Musoma mkoani Mara. Wa pili kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Musoma Dkt Vincent Naano Anney.
5 years ago
Michuzi
WAZIRI JAFO ARIDHISHWA NA KASI UJENZI WA HOSPITALI YA UHURU, ATOA MAAGIZO KWA TBA



Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10