Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ukarabati ukumbi wa bunge wagharimu Sh8.2 bilioni

Kiasi cha Sh8.2 bilioni kimetumika kufanya ukarabati mkubwa wa Ukumbi wa Bunge pamoja na miundombinu yake kwa ajili ya shughuli za Bunge la Katiba litakalokutana kwa zaidi ya siku 70.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

RAIS DK. MAGUFULI AKAGUA UKARABATI WA UKUMBI WA MKUTANO WA JAKAYA KIKWETE NA UKUMBI WA NEC

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dk. John Magufuli akimsikiliza MakamuMwenyekiti wa CCM Bara Philip Mangula kuhusu Maendeleo ya ukarabati wa ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete Conventionjijini Dodoma leo tarehe 1 Juni 2020
Dodoma, Tanzania
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndg. John Pombe Joseph Magufuli leo tarehe 01 Juni, 2020 amekagua maandalizi ya kumbi za mikutano na vikao vya chama vinavyotarajiwa kufanyika hivi karibuni.
Ndg....

 

5 years ago

Michuzi

RAIS DKT. MAGUFULI ATEMBELEA NA KUKAGUA UKARABATI UKUMBI WA MKUTANO WA JAKAYA KIKWETE NA UKUMBI WA NEC

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndg. John Pombe Joseph Magufuli leo tarehe 01 Juni, 2020 amekagua maandalizi ya kumbi za mikutano na vikao vya chama vinavyotarajiwa kufanyika hivi karibuni.

Ndg. Magufuli akiwa ameongozana na Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Ndg. Philip Mangula na Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Bashiru Ally Kakurwa amekagua kumbi za Kituo cha Mikutano Dodoma (Jakaya Kikwete Hall) ambako utafanyika Mkutano Mkuu wa CCM na pia amekagua...

 

10 years ago

Dewji Blog

Jokate asaini mkataba wa thamani ya Sh8.5 bilioni na kampuni ya Kichina

1

Jokate Mwegelo akizungumza katika hafla hiyo.

Na Mwandishi wetu

Mbunifu mavazi, Miss Tanzania wa namba mbili 2006,  mwanamuziki na muigizaji wa filamu, Jokate Mwegelo amesaini makubaliano yenye thamani ya Sh8.5 billion na kampuni ya Kichina,  Rainbow Shell Craft Company Limited kwa ajili ya kuzalisha na kuuza bidhaa mbalimbali za lebo yake ya Kidoti.

Makubaliano hayo yalisainiwa jana kwenye hotel ya  Serena baina ya Jokate na Afisa Mtendaji mkuu wa kampuni ya Rainbow Shell Craft Company...

 

10 years ago

Michuzi

Jokate asaini mkataba wa thamani ya Sh8.5 bilioni na kampuni ya Kichina

Mbunifu mavazi, Miss Tanzania wa namba mbili 2006,  mwanamuziki na muigizaji wa filamu, Jokate Mwegelo amesaini makubaliano yenye thamani ya Sh8.5 billion na kampuni ya Kichina,  Rainbow Shell Craft Company Limited kwa ajili ya kuzalisha na kuuza bidhaa mbalimbali za lebo yake ya Kidoti.Makubaliano hayo yalisainiwa leo kwenye hotel ya  Serena baina ya Jokate na Afisa Mtendaji mkuu wa kampuni ya Rainbow Shell Craft Company Limited  (CEO), Deng Guoxun. Akizungumza katika hafla hiyo,  Jokate...

 

11 years ago

Michuzi

UKUMBI WA BUNGE LA KATIBA: Sekretarieti ya Bunge la Katiba kukabidhiwa Ukumbi Jumatano

Spika wa Bunge Mhe. Anna Makinda akijaribu mojawapo ya viti vipya vilivyofungwa katika ukumbi wa Bunge tayari kwa ajiri ya Matumizi wakati wa Bunge la Katiba. Mhe. Makinda aliongoza ujumbe wa Tume ya Utumishi wa Bnge kufanya ukaguzi wa mwisho kabla ukumbi huo haujakabidhiwa kwa Sekretariat ya Bunge la Katiba Jumatano wiki hii. Spika wa Bunge Mhe. Anna Makinda akiwa na wajumbe wa Tume ya Utumishi wa Bunge kukagua ukumbi huo. Spika wa Bunge Mhe. Anna Makinda, (katikati) Naibu Spika Mhe....

 

11 years ago

Mwananchi

Bunge lakodi vipaza sauti kwa Sh8.9 milioni kila siku

>Wakati kukiwa na malalamiko kwamba Bunge la Maalumu la Katiba linagharimu fedha nyingi za walipakodi, uongozi wa taasisi hiyo umetumia Sh142.56 milioni kukodi vipaza sauti kutoka Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Arusha (AICC).

 

5 years ago

Michuzi

PROF NDALICHAKO AKAGUA MAENDELEO UKARABATI CHUO CHA UALIMU MPWAPWA KILICHOGHARIMU BILIONI 2.8


Charles James, Michuzi TV

SERIKALI imesema imeamua kuwekeza kwenye katika uboreshaji wa miundombinu ya Taasisi za Elimu ili kuongeza fursa ya upatikanaji wa elimu kwa watanzania walio wengi.

Kauli hiyo imetolewa wilayani Mpwapwa, Dodoma na Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia, Prof Joyce Ndalichako wakati alipofanya ziara ya kutembelea Chuo cha Ualimu Mpwapwa.

Katika ziara hiyo Prof Ndalichako amekagua maendeleo ya ujenzi na ukarabati wa miundombinu katika chuo hiko ambao umegharimu zaidi ya...

 

10 years ago

Dewji Blog

Yaliyojiri Bunge Maalum la Katiba baada ya Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar kutolewa nje ya ukumbi wa Bunge!

PIX 1

Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar, Mhe. Othman Masoud Othman akipiga kura leo kwenye ukumbi wa Bunge Maalum la Katiba mjini Dodoma kupitisha Sura na Ibara za Rasimu ya Katiba inayopendekezwa.

PIX 2

Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Yahya Kassim Issa akiomba mwongozo leo Bungeni kwa Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta kuhusu kitendo cha Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar, Mhe. Othman Masoud Othman kuja kupiga kura na kukataa baadhi ya Ibara za Rasimu ya Katiba inayopendekezwa wakati...

 

11 years ago

Habarileo

Pinda aridhishwa na ukarabati jengo la Bunge

WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema ameridhishwa na ukarabati unaoendelea kwenye maeneo mbalimbali ya jengo la Bunge, ikiwa ni maandalizi kwa ajili ya Bunge la Katiba. “Maendeleo ni mazuri na kazi inayofanywa ni nzuri, kikubwa ni kuhakikisha mnaikamilisha hii kazi katika muda uliopangwa,” alisisitiza.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani