Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RAIS DK. MAGUFULI AKAGUA UKARABATI WA UKUMBI WA MKUTANO WA JAKAYA KIKWETE NA UKUMBI WA NEC

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dk. John Magufuli akimsikiliza MakamuMwenyekiti wa CCM Bara Philip Mangula kuhusu Maendeleo ya ukarabati wa ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete Conventionjijini Dodoma leo tarehe 1 Juni 2020
Dodoma, Tanzania
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndg. John Pombe Joseph Magufuli leo tarehe 01 Juni, 2020 amekagua maandalizi ya kumbi za mikutano na vikao vya chama vinavyotarajiwa kufanyika hivi karibuni.
Ndg....

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

RAIS DKT. MAGUFULI ATEMBELEA NA KUKAGUA UKARABATI UKUMBI WA MKUTANO WA JAKAYA KIKWETE NA UKUMBI WA NEC

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndg. John Pombe Joseph Magufuli leo tarehe 01 Juni, 2020 amekagua maandalizi ya kumbi za mikutano na vikao vya chama vinavyotarajiwa kufanyika hivi karibuni.

Ndg. Magufuli akiwa ameongozana na Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Ndg. Philip Mangula na Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Bashiru Ally Kakurwa amekagua kumbi za Kituo cha Mikutano Dodoma (Jakaya Kikwete Hall) ambako utafanyika Mkutano Mkuu wa CCM na pia amekagua...

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS JAKAYA KIKWETE AZINDUA UKUMBI MPYA WAMIKUTANO WA CCM, MJINI DODOMA LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete, akizungumza wakati wa uzinduzi wa Ukumbi mpya wa mikutano wa CCM wa Dodoma Convention Centre, uliopo mjini Dodoma, leo Julai 9, 2015. Picha na OMRRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete, akibonyeza kitufye cha kengere kuashiria uzinduzi rasmi wa Ukumbi mpya wa mikutano wa CCM wa Dodoma Convention Centre, uliopo maeneo ya ..... mjini Dodoma, leo Julai 9, 2015Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. ...

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS JAKAYA KIKWETE AFUNGUA KONGAMANO LA KIMATAIFA LA SAYANSI, TEKNOLOJIA NA UBUNIFU UKUMBI WA KIMATAIFA WA JULIUS NYERERE JIJINI DAR ES SALAAM LEO

Rais Jakaya Kikwete akihutubia wakati akifungua Kongamano la nne la Kimataifa la Sayansi, Teknolojia na Ubunifu katika ukumbi wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere Dar es Salaam leo asubuhi.Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi inayojishughulisha na Utafiti wa Sayansi ya Jamii (REPOA), Profesa Samuel Wangwe akitoa hutuba  mbele ya Rais Jakaya Kikwete wakati wa uzinduzi wa kongamano hilo.
Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia, (COSTECH), Dk.Hassan Mshinda akizungumza katika...

 

11 years ago

GPL

SPIKA ANNE MAKINDA AWASILI ARUSHA, AKAGUA UKUMBI UTAOTUMIKA KATIKA MKUTANO WA 45 WA MABUNGE WA NCHI WANACHAMA WA JUMUIYA YA MADOLA

Spika wa Bunge, Mhe Anne Makinda akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mhe Magese Mulongo (kulia) baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Arusha, jana tayari kwa  kuhudhuria Mkutano wa  45 wa Mabunge wa Nchi wanachama wa Jumuiya ya Madola kwa Kanda ya Bara la Afrika utakaoanza tarehe 20 hadi 27 Julai Mjini Arusha .
Spika wa Bunge, Mhe Anne Makinda akipewa maelezo na Mkurugenzi wa Habari, Elimu kwa Umma na Uhusiano...

 

11 years ago

Michuzi

SPIKA ANNE MAKINDA AWASILI ARUSHA, AKAGUA UKUMBI UTAOTUMIKA KATIKA Mkutano wa 45 wa Mabunge wa Nchi wanachama wa Jumuiya ya Madola kwa Kanda ya Bara la Afrika u

 Spika wa Bunge, Mhe Anne Makinda akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mhe Magese Mulongo (kulia) baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Arusha, jana tayari kwa  kuhudhuria Mkutano wa  45 wa Mabunge wa Nchi wanachama wa Jumuiya ya Madola kwa Kanda ya Bara la Afrika utakaoanza tarehe 20 hadi 27 Julai Mjini Arusha ambapo Tanzania ndio mwenyeji wa kongamano hilo. Wapili kushoto ni Mkurugenzi wa Habari, Elimu kwa Umma na Uhusiano wa Kimataifa Jossey MwakasyukaSpika wa Bunge, Mhe Anne...

 

11 years ago

Mwananchi

Ukarabati ukumbi wa bunge wagharimu Sh8.2 bilioni

Kiasi cha Sh8.2 bilioni kimetumika kufanya ukarabati mkubwa wa Ukumbi wa Bunge pamoja na miundombinu yake kwa ajili ya shughuli za Bunge la Katiba litakalokutana kwa zaidi ya siku 70.

 

9 years ago

Dewji Blog

Vyama vya Siasa kumuaga Rais Kikwete Novemba 3 ukumbi wa JNICC

01

Msajili wa Vyama vya Siasa nchini Jaji Francis Mutungi akiongea na wajumbe wa Baraza la Vyama vya Siasa (hawapo pichani) wakati wa maandalizi ya hafla ya kumuaga Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete leo jijini Dar es salaam. Hafla hiyo itafanyika Novemba 03, 2015 katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.

02

Mhadhiri Mwandamizi wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam Dkt. Benson Bana akisistiza jambo wajumbe wa Baraza la Vyama vya Siasa (hawapo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani