Mkwasa kudumu Stars, Simba yapongeza
Baada ya timu ya taifa, Taifa Stars kuonesha kiwango cha kuridhisha, mambo yanaweza kumnyookea kocha wa timu hiyo, Charles Mkwasa kwani sasa huenda akapewa mkataba wa kudumu.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-g-jcRfZ0dYc/VhPNlx0p02I/AAAAAAABJZA/IFrHTuewW00/s72-c/A%2B1.png)
MKWASA APEWA MKATABA WA KUDUMU STARS
![](http://3.bp.blogspot.com/-g-jcRfZ0dYc/VhPNlx0p02I/AAAAAAABJZA/IFrHTuewW00/s640/A%2B1.png)
Charles Boniface Mkwasa amepewa mkataba wa kudumu kukinoa kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) kwa kipindi cha mwaka mmoja na nusu kuanzia Oktoba Mosi mwaka huu na kumalizika Machi 31, 2017.
TFF Imefikia makubaliano hayo na kocha Mkwasa baada ya kurudhika na utendaji wake katika kukinoa kikosi cha timu ya Taifa, ambapo mpaka sasa ameweza kuingoza Stars katika sare ya michezo miwili dhidi ya Uganda na Nigeria. Kufuatia kusaini mkataba huo, Mkwasa atapatiwa huduma na marupurupu...
10 years ago
Michuzi06 Aug
9 years ago
TheCitizen16 Nov
Mkwasa: Stars can still advance
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-b9ZAk_HHaPY/VYqYeIf4p-I/AAAAAAAHjWU/425CC5N9fxw/s72-c/Kocha%2BMkwasa%2B%2528kushoto%2529%2Bna%2Bmsaidizi%2Bwake%2BHemed%2BMorocco%2Bwakiongea%2Bna%2Bwaandishi%2Bwa%2Bhabari.jpg)
MKWASA AITA 26 TAIFA STARS
![](http://1.bp.blogspot.com/-b9ZAk_HHaPY/VYqYeIf4p-I/AAAAAAAHjWU/425CC5N9fxw/s640/Kocha%2BMkwasa%2B%2528kushoto%2529%2Bna%2Bmsaidizi%2Bwake%2BHemed%2BMorocco%2Bwakiongea%2Bna%2Bwaandishi%2Bwa%2Bhabari.jpg)
TAREHE 24 JUNI 2015
Katibu Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa miguu Tanzania (TFF), Mwesigwa Selestine leo amemtambuisha kocha mpya wa timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) Charles Boniface Mkwasa mbele ya waandishi wa habari.
Akiongea na waandishi wa habari, Mwesigwa amewaomba wadau wa mpira wa miguu nchini kuwapa sapoti makocha hao wazawa wanaoanza kazi...
9 years ago
Habarileo31 Aug
Mkwasa aipunguzia dozi Stars
KIKOSI cha Taifa Stars sasa kitaendelea na mazoezi mara moja tu kwa siku kwa siku zote zilizobaki za kambi yake hapa nchini Uturuki. Stars imeweka kambi ya siku nane mjini Kartepe, Uturuki kujiandaa na mechi yake dhidi ya Nigeria itakayofanyika Septemba 5 kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
10 years ago
BBCSwahili21 Jun
Mkwasa kupewa mikoba ya Stars ?
9 years ago
TheCitizen07 Sep
Mkwasa salutes Stars players
9 years ago
Mtanzania08 Sep
Mkwasa kuongezewa mkataba Stars
JUDITH PETER NA JENIFFER ULLEMBO, DAR ES SALAAM
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) linafikiria kumpa mkataba wa kudumu kocha mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’, Charles Boniface Mkwasa, pamoja na viongozi wengine wa benchi la ufundi baada ya kusaidia kuinua kiwango cha wachezaji ambao wameonekana kufurahia uwepo wake ndani ya kikosi hicho.
Viongozi wengine wa benchi la ufundi wanaofikiriwa ni Kocha Msaidizi, Hemed Morocco, kocha wa makipa Peter Manyika, Meneja Omary Kapilima na...
9 years ago
TheCitizen06 Nov
Mkwasa relishes Stars progress