Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nyosso akaliwa kooni

Wadau mbalimbali wa soka nchini wameonyesha kuchukizwa na kitendo cha beki, Juma Nyosso kumdhalilisha mshambuliaji, John Bocco katika pambano kati ya Azam na Mbeya City lililofanyika kwenye Uwanja wa Azam Complex jijini juzi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Nyosso ajitetea

MCHEZAJI wa timu ya Mbeya City, Juma Said maarufu Nyosso amekitaka Chama cha Wachezaji wa Soka Tanzania (SPUTANZA), kumsaidia katika kupata haki yake. Beki huyo wa kati amefungiwa na Kamati ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) saa 72 inayofuatilia mwenendo wa Ligi Kuu na Ligi Daraja la Kwanza kutokana na kitendo cha utovu wa nidhamu alichoonesha katika mchezo wa timu yake hiyo dhidi ya Azam FC kwenye Uwanja wa Azam Complex hivi karibuni.

 

9 years ago

Habarileo

Nyosso kuongezewa adhabu

KLABU ya Azam FC imesema kuwa inajipanga kuchukua hatua za kisheria zaidi katika kufuatilia sakata la mchezaji wake John Bocco kudhalilishwa na mchezaji Juma Nyosso wa Mbeya City.

 

10 years ago

GPL

Nyosso ampigia simu Maguri

Beki wa Mbeya City Juma Nyosso. Na Martha Mboma
BEKI mkongwe wa Mbeya City, Juma Said Nyosso, amekubali kuwa kitendo alichomfanyia mshambuliaji wa Simba, Elias Maguri na kuonyeshwa na Gazeti la Championi si sahihi, si cha kiungwana na anajuta kupita kiasi. Kutokana na maumivu ya moyo anayoyapata kutokana na kushiriki katika kitendo hicho, Nyosso amefanya mambo mawili, kwanza ni kumpigia simu Maguri na pili kupiga katika ofisi...

 

9 years ago

Mtanzania

Azam FC yamshukia Juma Nyosso

Juma-NyossoNA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM

TIMU ya Azam imepeleka barua rasmi Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), ikiomba wamfungie beki wa Mbeya City, Juma Nyosso, kwa kitendo cha udhalilishaji dhidi ya nahodha wao, John Bocco.

Nyosso alifanya kosa hilo wakati timu yake ilipokubali kipigo cha mabao 2-1 dhidi ya Azam, kwenye Uwanja wa Azam Complex, Jumapili iliyopita, tukio lililokemewa vikali kwa watu mbalimbali wakitaka beki huyo aadhibiwe vikali.

Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Soka Tanzania...

 

9 years ago

Raia Mwema

Tatizo si Nyosso ni mfumo wetu

MPIRA ni zaidi ya kucheza.

Abdul Mkeyenge

 

9 years ago

Habarileo

Sputanza yajitosa kwa Nyosso

MWENYEKITI wa Chama cha Wanasoka Tanzania (SPUTANZA), Musa Kisoky amesema wanawasiliana na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kuona namna ya kumsaidia beki wa Mbeya City, Juma Said ‘Nyosso’ aliyefungiwa miaka miwili pamoja na faini ya Sh milioni mbili baada ya kumdhalilisha John Bocco wa Azam FC.

 

10 years ago

GPL

Simba wamuwashia moto Juma Nyosso

Beki wa Mbeya City Juma Nyosso.
Na Waandishi Wetu
SIKU moja baada ya Gazeti la Championi kutoa picha ya beki wa Mbeya City, Juma Nyosso akionekana kumfanyia ndivyo sivyo straika wa Simba, Elias Maguri, makubwa yameibuka. Uongozi wa Simba na Maguri wote kwa pamoja wametoa kauli juu ya tukio hilo na kulikemea kwa nguvu huku wakilishukuru gazeti hili kwa kutoa picha hizo kwa kuwa Watanzania na jamii nzima imejua...

 

9 years ago

Vijimambo

Nyosso kufungiwa miaka miwili TFF.

Wakati Rais wa TFF, Jamal Malinzi.
Wakati Rais wa TFF, Jamal Malinzi, ameweka wazi kuwa shirikisho hilo la soka nchini litamwadhibu Juma Nyosso, beki huyo wa kati wa Mbeya City yuko hatarini kufungiwa miaka miwili kucheza soka kutokana na kurudia tabia yake chafu ya kupenyeza kidole katikati ya makalio ya wachezaji wa timu pinzani.

Aidha, mshambuliaji Donald Ngoma wa Yanga yuko hatarini kufungiwa mechi tatu na kupigwa faini kutokana na kumpiga kichwa kwa makusudi mbali na ulipokuwapo mpira...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Coastal Union yanawa kwa Boban, Nyosso

KLABU ya Coastal Union ya Tanga, imesema haina mpango wa kuwaongezea mkataba nyota wake Haruna Moshi ‘Boban’ na Juma Nyosso baada ya kwisha kwa mikataba yao ya awali. Ofisa Habari...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani