Simba wamuwashia moto Juma Nyosso
![](http://api.ning.com:80/files/kPWAOYVbPQak4ho40c3jvNXlSAZY4SRibahbHunCMKuzxnjy4ElZwcf0k7ufF0HifSBb9MfxXAwOY5ozfRHXi-YWN5jFj1pq/simba.jpg)
Beki wa Mbeya City Juma Nyosso. Na Waandishi Wetu SIKU moja baada ya Gazeti la Championi kutoa picha ya beki wa Mbeya City, Juma Nyosso akionekana kumfanyia ndivyo sivyo straika wa Simba, Elias Maguri, makubwa yameibuka. Uongozi wa Simba na Maguri wote kwa pamoja wametoa kauli juu ya tukio hilo na kulikemea kwa nguvu huku wakilishukuru gazeti hili kwa kutoa picha hizo kwa kuwa Watanzania na jamii nzima imejua...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania30 Sep
Azam FC yamshukia Juma Nyosso
NA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM
TIMU ya Azam imepeleka barua rasmi Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), ikiomba wamfungie beki wa Mbeya City, Juma Nyosso, kwa kitendo cha udhalilishaji dhidi ya nahodha wao, John Bocco.
Nyosso alifanya kosa hilo wakati timu yake ilipokubali kipigo cha mabao 2-1 dhidi ya Azam, kwenye Uwanja wa Azam Complex, Jumapili iliyopita, tukio lililokemewa vikali kwa watu mbalimbali wakitaka beki huyo aadhibiwe vikali.
Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Soka Tanzania...
9 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/Mo464flx84o/default.jpg)
Juma Nyosso alivyompiga Dole John Bocco
TOA MAONI YAKO JUU YA HII VIDEO MCHEZAJI HUYU KAFUNGIWA MIAKA MIWILI NA FINE MIL 2. JE UNADHANIA WOTE WALITAKIWA KUPEWA ADHABU?.
11 years ago
GPLBAO LA 3 LA SIMBA: JUMA KASEJA VS AWADH JUMA
10 years ago
Tanzania Daima25 Aug
Awadh Juma: Sijui hatima yangu Simba
MCHEZAJI wa Simba, Awadh Juma amekiri kutofahamu hatima yake ndani ya klabu ya Simba kutokana na uvumi kuwa uongozi wake unataka kumpeleka kwa mkopo kwa timu ya Stand United ya...
10 years ago
CloudsFM17 Dec
Makipa wa timu ya Simba,Ivo Mapunda na Juma Kaseja watembelea Jahazini.
Kipa wa Klabu ya Simba Ivo Mapunda akizungumza kwenye kipindi cha Jahazi leo.
11 years ago
Michuzi23 Apr
MWAITE JUMA AENDELEZA UBABE CHALINZE,JUMA BIGLEE AMCHAKAZA JACK SIMELA
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-wfDmAgx8hhI/VIR_lqW6N6I/AAAAAAAG1vs/7r5pNJDuDX4/s72-c/unnamed%2B(86).jpg)
Dkt Shein aongoza maziko ya Muasisi wa CCM Marehemu Mzee Juma Ameir Juma
![](http://4.bp.blogspot.com/-wfDmAgx8hhI/VIR_lqW6N6I/AAAAAAAG1vs/7r5pNJDuDX4/s1600/unnamed%2B(86).jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-uDs6St6Bt4I/VIR_k41oobI/AAAAAAAG1vk/DC6dPZnDRKg/s1600/unnamed%2B(87).jpg)
11 years ago
Mwananchi21 Feb
Katiba Simba kaa la moto
9 years ago
Mtanzania21 Sep
Simba moto Ligi Kuu
*Yaiua Kagera, Kiiza akipiga ‘hat trick’, waionyeshea Yanga alama ya saa
*Azam, Mtibwa Sugar nazo zaendeleza dozi, Coastal Union mambo magumu
NA JUDITH PETER, DAR ES SALAAM
TIMU ya Simba imeonekana kuwa moto wa kuotea mbali kwenye Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL), baada ya kupata ushindi wa tatu mfululizo kwa kuichapa Kagera Sugar mabao 3-1 katika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Simba kabla ya kuingia kwenye mchezo huo iliweza kuzichapa ugenini timu za Tanga, African Sports bao 1-0...